This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Uislam Ni fujo. Ugaidi!Safi sana kuwaonyesha kwa vitendo, sio kukaririshwa na marekani kuwa uislamu ni dini ya magaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam Ni fujo. Ugaidi!Safi sana kuwaonyesha kwa vitendo, sio kukaririshwa na marekani kuwa uislamu ni dini ya magaidi
Na hii inatoka kitabu gani mkuu!Ni sahihi, wameufanya uislam wenyewe kabisa, kwa mafunzo ya mtume. Sio mijitu inafanya hovyo hovyo, inachinja watu wasio na hatia huku ikitaja jina la allah, jitu linaemda kujilipua, linaua watu hawana hatia, wanaupaka matope uislam
Al Jazeera is a terrorist television station na kazi yake kueneza propaganda za Qatar ambao ndiyo financiers wakubwa wa HAMAS. we kama utakumbuka wakati wa kombe la Dunia walimleta Zakir Naik yule muhubiri wa kihindi aliyepigwa marufuku India kwa uchochezi wa itikadi za kiislam na akakimbilia Malaysia. Qatar walimleta ili afanye dawah kwa mashabiki wasio Waislam.Mambo kama haya asilani abadani huwezi kuyapata Al Jazeera hata kwa bahati mbaya.
Na hapa yanatamka kwa midomo yao ushetani uliowajaa mioyoni mwao; na zaidi inatangaza kuwa vita hiyo ni ya kila Muislam Duniani. Je mnafikiri sisi tutakuwa salama kweli?Na hii inatoka kitabu gani mkuu! View attachment 2793711
Toka wakiwa watoto wanafunzwa.Uislam Ni fujo. Ugaidi!
Allah uwa anamtaja Mungu kwenye verse zake uyu Mungu ni yupi?Inaendelea mpaka aya ya 194 anahitimisha kwa kusema, ndani ya hiyo aya.
"
Anaye kushambulieni nanyi mshambulieni, kwa kadiri alivyo kushambulieni. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamungu."
Hujaeleweka, anyway alichouliza mwenzako nishamjibu.Allah uwa anamtaja Mungu kwenye verse zake uyu Mungu ni yupi?
Mathayo 5:43-48
Mathayo 5:43-48 BHN
“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako.’ Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi
Allah chuki zake zipo waziHujaeleweka, anyway alichouliza mwenzako nishamjibu.
Ni aidha umesoma majibu bila kujua aliuliza nini?
Mwenzako alinukuu kipande kidogo, mfano ulichoandika hapo, yoote hayo ya mbele ayaache kisha "Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako" ndio akichukue, sijui kakopi tu mtandaoni, au kaona tu sehemu. Ndio nikamuelekeza asome kuanzia mwanzo.
Maelezo yangu hapo kwenye comment uliyonikopi umeyaelewe, umeyakubali ama kukataa, tumalize hapo kisha sasa twende kwingine.
Hiyo sasa ligi, nakuuliza kwa mara ya mwisho, majibu yale umeyaelewa na umeyaafiki?Allah chuki zake zipo wazi
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying: Msiwasalimie wayahudi na wakristo kabla hawajawasalimia nyie waislamu na muislamu anapo kutana na mkristo au myahudi barabarani amlazimishe mkristo au myahudi apite sehemu nyembemba au amdumbukize mtaroni. Sahih Muslim 2167
Waislamu mna maandiko ya uongo 😂😂😂😂, unaniletea hadithi tena, tuanze kuchambua usahihi wake, kama ukweli au uongo.
Ona mlivyojaa chuki za kipumbavuAllah uwa anamtaja Mungu kwenye verse zake uyu Mungu ni yupi?
Mathayo 5:43-48
Mathayo 5:43-48 BHN
“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako.’ Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi