Mateka aisifu Hamas

Mateka aisifu Hamas

Ni sahihi, wameufanya uislam wenyewe kabisa, kwa mafunzo ya mtume. Sio mijitu inafanya hovyo hovyo, inachinja watu wasio na hatia huku ikitaja jina la allah, jitu linaemda kujilipua, linaua watu hawana hatia, wanaupaka matope uislam
Na hii inatoka kitabu gani mkuu!
Screenshot_20231016-193618.jpg
 
Mambo kama haya asilani abadani huwezi kuyapata Al Jazeera hata kwa bahati mbaya.
Al Jazeera is a terrorist television station na kazi yake kueneza propaganda za Qatar ambao ndiyo financiers wakubwa wa HAMAS. we kama utakumbuka wakati wa kombe la Dunia walimleta Zakir Naik yule muhubiri wa kihindi aliyepigwa marufuku India kwa uchochezi wa itikadi za kiislam na akakimbilia Malaysia. Qatar walimleta ili afanye dawah kwa mashabiki wasio Waislam.
 
Inaendelea mpaka aya ya 194 anahitimisha kwa kusema, ndani ya hiyo aya.
"
Anaye kushambulieni nanyi mshambulieni, kwa kadiri alivyo kushambulieni. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamungu."
Allah uwa anamtaja Mungu kwenye verse zake uyu Mungu ni yupi?

Mathayo 5:43-48​

Mathayo 5:43-48 BHN​

“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako.’ Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi
 
Hujaeleweka, anyway alichouliza mwenzako nishamjibu.
Ni aidha umesoma majibu bila kujua aliuliza nini?

Mwenzako alinukuu kipande kidogo, mfano ulichoandika hapo, yoote hayo ya mbele ayaache kisha "Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako" ndio akichukue, sijui kakopi tu mtandaoni, au kaona tu sehemu. Ndio nikamuelekeza asome kuanzia mwanzo.
Maelezo yangu hapo kwenye comment uliyonikopi umeyaelewe, umeyakubali ama kukataa, tumalize hapo kisha sasa twende kwingine.
 
Allah chuki zake zipo wazi

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying: Msiwasalimie wayahudi na wakristo kabla hawajawasalimia nyie waislamu na muislamu anapo kutana na mkristo au myahudi barabarani amlazimishe mkristo au myahudi apite sehemu nyembemba au amdumbukize mtaroni. Sahih Muslim 2167
 
Hiyo sasa ligi, nakuuliza kwa mara ya mwisho, majibu yale umeyaelewa na umeyaafiki?

Kauliza toka kwenye quraan nami nimemjibu kwa quraan, unaniletea hadithi tena, tuanze kuchambua usahihi wake, kama ukweli au uongo.

Kama umeridhika na yale majibu sema nitakaribisha maswali..
Hujaridhika sema pia.
 
Back
Top Bottom