Mateka wa Israel akimbusu kwa upendo Mpiganaji wa Hamas stejini wakati wa kuachiwa

Unajuaje kama hataruhusu?
 
Viongozi wa serikali ya Israel iliyopo na asili ya wazazi wao.

Morocco

Morocco

Morocco

Morocco

Iraq (huyu ana msimamo mkali, Netanyahu afadhali) ni far right. Ikibidi hata Gaza yote ifutwe kwa mtazamo wake.

Tunisia

Morocco

Morocco

Ukraine

Serbia

Poland

Ireland

Poland

Sasa wewe mwafrica kweli unaelewa kweli hizi siasa na kipi hasa Jews wanachopigania (ideology yao).
 
Mzuka wana jamvi...

Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356
Awa HAMAS ni Binadam ISRAEL mtoa rohoo sio Watu wale mishetani ile!!! Wapelestina Mateka zaid ya w3 Wamechukuliwa GAZA wazima!!

lkn Wameachiwa kutoka uko Israel kwa migaid ya Israel wote Wa3 Wamekatwa miguuu m1 kweli Taifa teule!!!!! MZUNGU na MYAHUDI wapi na wapi WAZUNGU ni mikatili sana
 
Yule masikio upawa kimbelembele kuongea kwenye media simpendi kinyama nae sijui Taifa gani .
 
Hamas Wana utu gani WA kufata watu majumbani mwao na kuwaua na kuteka wengine?
 
Wote ni wa Mwenyezi Mungu....wabarikiwe kwa kumtunza vyema 🙏
 
Mzuka wana jamvi...

Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356
Kwa mujibu wa kitengo cha habari cha shirika la kijajusi MOSSAD wanasema Omar Shem Tov alisema alishurutishwa na Hamas kufanya hivyo kama sehemu ya propaganda.
View picha 👇
 
Attachments

  • 20250222_172015.jpg
    97.8 KB · Views: 2
Mbona walishakataza tokea mateka wa kwanza kabisa kuachiwa?
Walikatazwa hata kushare chochote kwenye mitandao bila ruhusa yao, hufuatilii kwa ukaribu?
Duh hapo kumbe ni hatari sikuwa na taarifa
 
Duh! Kumbe Israel ina Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…