Mateka wa Israel akimbusu kwa upendo Mpiganaji wa Hamas stejini wakati wa kuachiwa

Mateka wa Israel akimbusu kwa upendo Mpiganaji wa Hamas stejini wakati wa kuachiwa

Mzuka wana jamvi...

Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356
Inabidi akubaliane na maelekezo anayopewa na watesi wake ambao wamemshikia Silaha za moto. Hana jinsi yeye ni mateka hana maamuzi hapo anatekeleza tu maagizo alivyoelekezwa kabla ya kuletwa hapo uwanja . Ni wajinga na wapumbavu tu kama wewe wataamini hizi Propaganda Uchwara za wazi kabisa hata mtoto mdogo Ana elewa kuwa hii nikanyaboya lakini mijitu mingine mikubwa lakini haitaelewa kitu!!
 
Hamas wajuba,kataifa kenye kelele duniani ka kuletewa Mateka mezani!!!

Khaaaa.
 
Mzuka wana jamvi...

Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.View attachment 3245356
Siku myahudi akipokea mareka wake wote kelele za pray for Palestine zitakuwa nyingi mno
 
Hivi kwa nini mnajitoa ufahamu kiasi hicho? Fikiria hao walitekwa nyara na familia zao wengi waliuwawa na wengine kujeruhiwa wengine walibakwa na wengine waliuwawa wakiwa huko huko utumwani wametekwa kwenye mahandaki kwa miezi 16, walikuwa wanakosa mahitaji yao ya kila siku walikuwa na mateka wamekufa wakiwa kwenye mazingira magumu, Harafu wanatokea viumbe wanaamini hilo busu ni la dhati wakati kwa wayahudi si kawaida yao. Nijuavyo Mimi na wengine hayo ni maelekezo wamepewa hata wale walioachiwa walipewa maelekezo ya kuta aśramu na kuwapungia mkono magaidi hao.
 
Attachments

  • -2446044658611917535.mp4
    10.7 MB
Huamini eeh!!
Unataka kutiaminisha kuwa waislam wanaweza kuwavamia watu wakaua ndugu na marafiki zao,wakawaficha kwenye maandaki kinyume na walivyozoea kuishi,lakini baada ya kuwateka kwa zaidi ya mwaka mateka wanabadilika kuusifia uislam na magaidi ya kiislam?
Jaribuni kitu kingine ila I assure you kwamba handing over ikiisha Hamas hawatakuwepi kbs
 
Kama hili hulikubali hata huo ushahidi unaoutaka ukiletwa utakuja na jambo lingine sababu umeshachagua upande.
Ngoja mimi nimfę ushahidi tuone kama ataukubali lakini Nina uhakika Wafuga Midevu na Majini hawawezi kuukubali pamoja na kwamba nimeonyesha na Mishale kuashiria
 
Attachments

  • 0222(1).mp4
    30.6 MB
Unataka kutiaminisha kuwa waislam wanaweza kuwavamia watu wakaua ndugu na marafiki zao,wakawaficha kwenye maandaki kinyume na walivyozoea kuishi,lakini baada ya kuwateka kwa zaidi ya mwaka mateka wanabadilika kuusifia uislam na magaidi ya kiislam?
Jaribuni kitu kingine ila I assure you kwamba handing over ikiisha Hamas hawatakuwepi kbs
Hapo wanasifia uislam!?..uko obsessed na uislam kila kitu unaona uislam tu!!..huo ni ugomvi wa ardhi...utaliwa kama pilau kenge wewe,mtu. Mwenyewe mzinzi,mlevi,muongo..lakini unajifanya mkiristo siasa kali
 
Watanzania wako wapi..?? Hapo mashabiki wa magaidi hawaongei kabisa.
 
Siku myahudi akipokea mareka wake wote kelele za pray for Palestine zitakuwa nyingi mno
Kwa sasa hawa waandamanaji washajulikana ni wapuuzi maana wakiulizwa maswali huwa hawana majibu ya akili zaidi ya uendawazimu..

Ukiwauliza from the river ti the sea hawajui, free free Palestina waliambiwa means Israel iishe wanasema hapana Israel isiishe wanasema Arabs and jews waishi pamoja wanaambiwa Arabs hawataki hiyo kitu.. wanashangaa.

So Israel ana haki ya kupigana na ni bora anamaliza tu tushachoka na uongo wa iblis
 
Niliona hili tukio nikashtuka sana, nikadhani pengine nimeona vibaya hadi niliporudia tena.

Hii inaonesha jinsi gani Hamas wana utu, ningependa kusikia zaidi kutoka kwa hao mateka wanaoachiwa na Hamas maisha yao yalikuwaje huko mafichoni?
Ila ndio Netanyahu hatokaa aruhusu waongee.

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Sunday,
February 23, 2025

Hisham al-Sayed’s father: ‘He’s broken, in a state of mental torture. He may have been held alone. He does not speak’​

Today, 8:28 am
Freed hostage Hisham al-Sayed, left, meets his father at the Re'im facility near Gaza, after being released by Hamas following 10 years in captivity, February 22, 2025. (IDF)
Freed hostage Hisham al-Sayed, left, meets his father at the Re'im facility near Gaza, after being released by Hamas following 10 years in captivity, February 22, 2025. (IDF)

The father of Hisham al-Sayed, who was released by Hamas yesterday after nearly a decade in captivity, says his son is in a very bad state and it appears he is not used to contact with other human beings.
“Hisham feels very bad. He is broken and may have been held alone. It is strange for him to see people,” Sha’ban al-Sayed tells Walla. “He does not speak. He has no voice, he was in a very difficult place and his situation is very difficult.”
“He is not well, he was not in our world. A kind of Tarzan after living for 10 years with animals. He does not communicate,” he tells Channel 12 news.

“Hamas are liars, they are not as respectful as they claimed when they released him without ceremony. They didn’t want people to see what state he was in, and that’s why there was no ceremony. If they had any respect for people, they would have released him a long time ago. What respect?” he says.
Hamas did not stage a propaganda ceremony for al-Sayed’s release. It claimed the move was “out of respect for the Arabs of Israel,” despite having held him for nearly a decade, as well as murdering and abducting several Arab Israelis during the October 7, 2023, onslaught.
“Before [captivity] he would talk, he would write,” Sha’ban al-Sayed tells Channel 12. “He made wrong decisions, but he would communicate. Now we have a person who has disappeared. He tries to talk and to share, but he doesn’t succeed. He says a lot of incomprehensible things. He speaks in a whisper, maybe out of fear. I believe he is in a state of mental torture.”
Hisham al-Sayed, a Bedouin Israeli, entered the Strip near the Erez Crossing in April 2015 when he was 28 years old. According to Human Rights Watch, in the years prior to his entering Gaza, al-Sayed was “diagnosed with schizophrenia and a personality disorder, among other conditions” and was repeatedly institutionalized.

Wema wa Allah​

Niliona hili tukio nikashtuka sana, nikadhani pengine nimeona vibaya hadi niliporudia tena.

Hii inaonesha jinsi gani Hamas wana utu, ningependa kusikia zaidi kutoka kwa hao mateka wanaoachiwa na Hamas maisha yao yalikuwaje huko mafichoni?
Ila ndio Netanyahu hatokaa aruhusu waongee.
Ni vigumu sana kuamini kuwa hao Hamas eti waliwanyonga watoto wa Bibas!Haiingii akilini hata kidogo,Netanyahu ameudanganya Umma ili kufanikisha malengo yake ambapo ameonekana kufeli vibaya maana hakuna alichofanikisha Gaza kwa military operation!
 
Back
Top Bottom