chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
weka picha ya kijana mwenye busaraNiweke picha gani
ila si babu❌
weka picha ya kijana mwenye busaraNiweke picha gani
Sawa kijana ila hapo kwenye mshenga acha sitaki ndoa🤣
Sawa mkuuweka picha ya kijana mwenye busara
ila si babu❌
Umeanza u serious 😅Ni chaguo lako, ntu akitaka ndoa, au asitake yupo sahihi tuu.
Endelea kujiamulia mamboKwa neno hili la hekima ya kiroho natangaza rasmi wewe ni mkwe wangu💪🏿
Sio u serious, ni chaguo la mtu.Umeanza u serious 😅
Sawa kijana wa makamoSio u serious, ni chaguo la mtu.
Siku ukibadili mawazo yako kuhusu ndoa pia tuambie. chai ya rangi , apate jiko.Sawa kijana wa makamo
Sawa nitawaambia 😅Siku ukibadili mawazo yako kuhusu ndoa pia tuambie. chai ya rangi , apate jiko.
Chivundu asante sana kwa kunipigania mpaka hatua hiiSawa nitawaambia 😅
Tupo pamoja, ngoja niende kwenye uzi mpya.Chivundu asante sana kwa kunipigania mpaka hatua hii
Wape na hii wasome.. Halafu usiwaamini maana wengine hawajitambui kama ni mateka
Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho | JamiiForums Tanzania Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho
Nahisi mkuu hii mada ulintungia mmZamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku.
Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi mijini na vijijini kwa mfumo wa kisasa zaidi...!
hawapotezi muda kuchukua mwili wako, wanateka nafsi yako ukiwa bado unatembea na suti zako mitaani.
Ugonjwa mkubwa wa mateka hawa wa kiroho upo kwenye mzunguko wao wa uchumi. Hapa tunazungumzia utumwa wa kisasa ambapo unakuwa na akili timamu, una kazi nzuri au dili zinazokupa pesa ndefu, lakini uhalisia wa mfuko wako ni wa kilio na kusaga meno.
Pesa unapata kwa jasho, lakini hazikai kabisa; zinayeyuka kama barafu juani bila kufanya maendeleo yoyote ya maana.
Ukweli ni kwamba, wengi wetu tumenaswa kwenye madhabahu za viapo batili zilizowekwa na mababu, ukoo, au hata sisi wenyewe kupitia mahusiano na marafiki wa ajabu.
Hizi madhabahu huwa hazizuii wewe kupata pesa; zinachofanya ni kusubiri ushike mkondo wa fedha, kisha zinarusha mishale ya dharura zisizoisha.
Utasikia gari limeharibika injini ghafla, magonjwa yasioeleweka ndani ya nyumba, starehe bila mipaka au unafanya maamuzi ya hovyo ya kitapeli ambayo ukiisha kufilisika ndio unazinduka na kujiuliza "nilikuwa nina akili gani?".
Huu ni utumwa wa siri wa ulimwengu wa giza ambapo adui amekugeuza wewe kuwa mhudumu (baba wa kambo) wa fedha zako mwenyewe.
Unafanya kazi usiku na mchana, lakini matunda ya jasho lako yanaenda kulisha falme za giza na dharura za kishetani. Unabaki na jina kubwa la mtu mwenye hela, lakini kiuhalisia unamiliki madeni na msongo wa mawazo kuliko hata asiye na ajira.
Kama unahisi unalima lakini huvuni kitu, na pesa zako zinaishia kwenye mifuko yenye matundu, ujue upo chini ya mateka wa kiroho. Kujikomboa hapa hakuhitaji ushauri wa kifedha , kunahitaji kusimama imara kiroho, kubomoa madhabahu za ukoo, na kuvunja kila viapo batili vinavyofyonza jasho lako.