Goddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?
Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.
Yesu ni BWANA.Goddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?
Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.
Nimeona hiyo operation ngumu sana kwenye majengo mawili pia uokoaji huo umepelekea vifo vya magaidi wa hamas 80 akiwepo mastermind mohameid Deif gaidi namba 3 kazi nzuri sana IdfMateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel
Source BBC
Hahaha wacha awaonyeshe kawaokolea wapi. hizo ni propoganda za Israel anatafuta ushindi wa uwongo.Mateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel
Source BBC
Haya wale mashabiki wa magaidi mliosema oooh israel haina lolote ni propaganda hata ile operation ya entebe sasa imeokoa mateka 4 wakiwa haiMateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel
Source BBC
Ingia kwenye tweeter ya idf utaona hiyo operation Daniel Hagari msemaji wa idf kaelezea vizuri maana waislamu kwa ubishi mko vizuriHahaha wacha awaonyeshe kawaokolea wapi. hizo ni propoganda za Israel anatafuta ushindi wa uwongo.
Anashindwa nini kuchukua video kuwaonyesha namna alivyo waokoa.
Afu Hamasi akiongea ma kukubali kweli wamewaokoa mimi ndio tamini lakini jeshi la pampers nani analiamini?
Labda watu wamesahau ile Bollywood move ya Al Shifaa Hospital [emoji1]
Kwa hiyo habari inayotumwa kuhusu israel imelenga wewe kuiapprove kwanza?Hahaha wacha awaonyeshe kawaokolea wapi. hizo ni propoganda za Israel anatafuta ushindi wa uwongo.
Anashindwa nini kuchukua video kuwaonyesha namna alivyo waokoa.
Afu Hamasi wakiongea mie ndio takubali kama ni kweli wamewaokoa lakini jeshi la pampers nani analiamini?
Labda watu wamesahau ile Bollywood move ya Al Shifaa Hospital 😄
Tena Leo ni kumbukumbu ya siku aliyokufa Mtume Muhammad sawIngia kwenye tweeter ya idf utaona hiyo operation maana waislamu kwa ubishi mko vizuri
Kweli lakini Hamasi bado hawaja confirm, nimeona news lakini katika 120 ndio kabahatika kukomboa jumla 7 na leo wanne afu Hamasi bado hawajatupa sababu vipi walivyo kombolewa tutapa jibu badaye.Ingia kwenye tweeter ya idf utaona hiyo operation maana waislamu kwa ubishi mko vizuri