Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Unampenda sana Mtume Muhammad mpa unakumbukumbu siku aliye kufa Takbirriiiiii Allah AkbarTena Leo ni kumbukumbu ya siku aliyokufa Mtume Muhammad saw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampenda sana Mtume Muhammad mpa unakumbukumbu siku aliye kufa Takbirriiiiii Allah AkbarTena Leo ni kumbukumbu ya siku aliyokufa Mtume Muhammad saw
Wayahudi kwao Yesu ni mtu aliyekufuru na kujiita Messiah. Yaani wayahudi na ukristo ni virus hasi na chanya.Asante Yesu tena ?🤡
HUONI amepost picha ya watu wanne kati ya hao wanne yesu ni wa Pili kulia JUU, angalia vizuri uoneHapo Yesu hahusiki achana na ujinga wa kidini, hizo ni jitihada za waisraeli ndugu. Dini uendawazimu.
JesusMkuu
Kwani Yesu ndio kawaokoa?
Wenzako waliliwa na DUBU shauriyako.
Afu we mtoa mada Yesu yuko mnali na hilo taifa wacha ujinga wako kumzulia Yesu uwongo.
Yesu ni kipenzi cha Waislam kama vile Mtume Muhammad.
Yesu yuko mbali na Ukristo na Uyahudi wacheni kumzulia uwongo bila dalili.
Lini ulikwambia mama yako haya maneno?GOD bless Israel
Humuoni yesu hapo wewe? Jesus haumjui?Sasa hapo yesu anahusika vipi
Alishindwa kuzuia wasitekweYesu ni BWANA.
Bonge la handsomeHumuoni yesu hapo wewe? Jesus haumjui?View attachment 3011890
Umevutiwa na Jesus?Bonge la handsome
Hapana. Ila ni handsome😀Umevutiwa na Jesus?
Demi sema ukweli umemzimia Jesus,Hapana. Ila ni handsome😀
Wameokolewa au wameachiwa wakawakuta wamezubaazubaa?Wale Washabiki wa Magaidi wa Hamas watakuja kubisha.
Mkuu caliph kwenye hii video Noa alipotekwa kuna mmatumbi mpalestina amevaa kofia ya nike kiherehere anamkamata boyfriend wa Noa nadhani walishamuua. Wanasema kwa kiarabu alkazeze alkazeze please nitafsirie wanamaanisha nini? Ila mijitu mieusii kwa kujipendekeza.Wazima hao tena hawakuteswa miezi nane , sasa nyie taifa Mungu mnasulubu kama yesu