Yap, akikubali yeye ndio kweliKwa hiyo habari inayotumwa kuhusu israel imelenga wewe kuiapprove kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, akikubali yeye ndio kweliKwa hiyo habari inayotumwa kuhusu israel imelenga wewe kuiapprove kwanza?
Alkazeze ni kiyahudi dogo sio kiarabu.Mkuu caliph kwenye hii video Noa alipotekwa kuna mmatumbi mpalestina amevaa kofia ya nike kiherehere anamkamata boyfriend wa Noa nadhani walishamuua. Wanasema kwa kiarabu alkazeze alkazeze please nitafsirie wanamaanisha nini? Ila mijitu mieusii kwa kujipendekeza.
adriz incharge Adiosamigo Jagina mjingamimi green rajab
View attachment 3011893
Hao jamaa zako wala hawamjui YesuNguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.
View attachment 3011849
Good News from GAZA.
Kuna video yoyote inayoonyesha wakiwa wanawaokoa? Kama hakuna video yoyote inayoonyesha uhokoaji, basi mimi nitakuwa wa mwisho kuamini jambo hiloHao jamaa zako wala hawamjui Yesu
Watanznaia ni mafala sana yesu anaingiaje hapoNguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.
View attachment 3011849
Good News from GAZA.
Huu ndo ukweli ila wanavyojigamba sasa hawajamaa wameachiwq tu pengine kutokana na afya zao ..na ni bahati jamaa hawakuwamiminia risasi kama kawida yaoWameokolewa au wameachiwa wakawakuta wamezubaazubaa?
Tulia wewe unifsirie lugha pekee Allah anayojua na kuelewa.Alkazeze ni kiyahudi dogo sio kiarabu.
Afu we unadhani waislamu wauwaji kama nyie na mashoga zenu wayahudi.
Naku-love weweDemi sema ukweli umem-love Jesus
Cha ajabu mpa mda hu Hamasi hawajakiri kuwa kuna matekwa wa Israel wameokolewa, hi mimi nashaka ni Bollywood movie tu.Kuna video yoyote inayoonyesha wakiwa wanawaokoa? Kama hakuna video yoyote inayoonyesha uhokoaji, basi mimi nitakuwa wa mwisho kuamini jambo hilo
Nadhani kaguswa kwasababu ya ubinadamu tu. Sina uhakika kama nikitekwa au ukiteka hao wa Somali au wamsumbiji kama watajali.Goddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?
Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.
WMEPATIKANA HATA MCHUBUKO HAWANA KWA MUJIBU WA BBC. HAWA NDIO WAISLAM WANAVYOWATENDEA WAKIRISTO NA MAYAHUDI WAKIWATEKA KATIKA VITA. KAMA INGALIKUWA WAKIRISTO WAMEWATEKA WAISLAM WANGALTOKA HAWANA MASHIKIO NA AU MACHO.Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.
View attachment 3011849
Good News from GAZA.
BBC wanasema wameonekana wakiwa na afya njema, hata mchubuko hawana. wamekaa nusu mwaka. huo ndio uislam na waislam wanavyowafanyia wasiokuwa waislam. wakiristo wakiwateka waislam basi hapo wakitoka masikio hawana au machoMateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel
Source BBC
😂😂😂BBC wanasema wameonekana wakiwa na afya njema, hata mchubuko hawana. wamekaa nusu mwaka. huo ndio uislam na waislam wanavyowafanyia wasiokuwa waislam. wakiristo wakiwateka waislam basi hapo wakitoka masikio hawana au macho
😂😂😂 Nimeokota dodoNaku-love wewe
😆😆😆😂😂😂 Nimeokota dodo
Hahaha kumbe ni America alingia kuwasaidia wava Pampers na huyu kapewa infomation na nchi za kiarabu, nilitaka kushanga wavaa Pampers wakawaokoe hao matekwa, no ajabu sana.
Na hio temporary port alio jenga America pale Gaza ndio imetumika kwenda kufanya mashambuliz i alijidai anajenga kwa ajili ya kusaidia kuleta chakula shenzi type sana hawa America
Lakini vita h.tashinda ngojeni mtakipata tu, afu mmeokoa wanne mmepoteza wanajeshi zaidi ya kumi. mnajidai mmoja ndio kafa hahaha
Yani hio operation ndio zero kabisa ndio mana hataki kuonyesha hio operation kwa aibu ya kipigo alicho kipata, zaidi ya kuonyesha Helicopter inabeba eti matekwa.
Yani ushindi wa kuwapoza waisrael kuwa jeshi limeokoa matekwa 😄
View: https://youtu.be/8241SipbYNA?si=F-LBGBD6-x7upxbN