Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

BBC wanasema wameonekana wakiwa na afya njema, hata mchubuko hawana. wamekaa nusu mwaka. huo ndio uislam na waislam wanavyowafanyia wasiokuwa waislam. wakiristo wakiwateka waislam basi hapo wakitoka masikio hawana au macho
Wale magaidi walioua ndugu zetu Joshua na Mollel huku wakiimba Takbiiir ni wakiristo sio?
 
DEVELOPING NEWS:

1,000 soldiers from various special army units, police, and even the Yamam Division participated in the hostage operation

Nontheless, the American “hostage” team special Naval force in “israel” assisted in the release of the 4 prisoners. What a shame!

Hebrews sources
 
Jeshi la Israel linasema kuwa vikosi vyake vimewaokoa mateka wanne kutoka katikati mwa Gaza wakati likizidisha mashambulizi katika eneo lililozingirwa na kushambuliwa kwa mabomu.

Tangazo kuhusu uvamizi wa Nuseirat siku ya leo Jumamosi lilikuja huku maafisa wa afya wa Palestina wakisema kuwa takriban watu 210 waliuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya Israel katikati mwa Gaza. Wakaazi wa eneo hilo walisema kuwa Nuseirat ilikabiliwa na mashambulizi makali ya ndege zisizo na rubani na ndege za Israel, huku watoto wakiwa miongoni mwa waliouawa.

Israeli army says four captives rescued amid heavy strikes on Gaza
 
Taarifa zinasema kati ya magaidi 80 wa hamas waliouawa yupo Mastermind Mohamed Deif gaidi 3 wa hamas naye ameuawa kwenye operation ya kuokoa mateka
Katika akili za kawaida Hamas atatumia wapiganaji 80 kwa ajili ya kuwalinda mateka 4 tena sehumu moja?
Alafu lini Deif akawa na uwezo wa kushiriki mapigano hali yakuwa ni mlemavu?
Umesahau kuna kipindi Hamas walisha waachia mateka 3 na kuwaelekeza wanajeshi wa Israel walipo baada ya kufika wakawauwa kwa kuwapiga risasi?
Hao mateka wenyewe wameoneshwa wakiwa wasafi utadhani walikuwa wanaishi hotel ya nyota 5.
 
Ulitakiwa uwashukuru US special Forces waliopo kwenye bandari ya misaada hapo Gaza kwa unyama walioufanya wa kuuwa zaidi ya wapalestina 200 hata hivyo majibu watayapata soon.
 
Katika akili za kawaida Hamas atatumia wapiganaji 80 kwa ajili ya kuwalinda mateka 4 tena sehumu moja?
Alafu lini Deif akawa na uwezo wa kushiriki mapigano hali yakuwa ni mlemavu?
Umesahau kuna kipindi Hamas walisha waachia mateka 3 na kuwaelekeza wanajeshi wa Israel walipo baada ya kufika wakawauwa kwa kuwapiga risasi?
Hao mateka wenyewe wameoneshwa wakiwa wasafi utadhani walikuwa wanaishi hotel ya nyota 5.
Sasa unabisha nini wakati wakazi jirani na hapo wanasema kulikuwa na mashambulizi makali eneo hilo ya ndege na wanajeshi wa israel nakupelekea raia 210 kuuawa na magaidi 80
 
Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
 
Katika akili za kawaida Hamas atatumia wapiganaji 80 kwa ajili ya kuwalinda mateka 4 tena sehumu moja?
Alafu lini Deif akawa na uwezo wa kushiriki mapigano hali yakuwa ni mlemavu?
Umesahau kuna kipindi Hamas walisha waachia mateka 3 na kuwaelekeza wanajeshi wa Israel walipo baada ya kufika wakawauwa kwa kuwapiga risasi?
Hao mateka wenyewe wameoneshwa wakiwa wasafi utadhani walikuwa wanaishi hotel ya nyota 5.
Hao ndugu zako Hamas wangekuwa ni vidume vya mbengu. Wangekaa pale mpaka mwa Gaza na Rafah kuwazuia jeshi la Israel kutoingia.
Gaza na Rafah imekuwa magofu ndiyo unawaona ni vidume? Watu wanajificha kwenye mashimo km panya. Watoke nje, wapigane
 
Huu ndo ukweli ila wanavyojigamba sasa hawajamaa wameachiwq tu pengine kutokana na afya zao ..na ni bahati jamaa hawakuwamiminia risasi kama kawida yao
Hawajaachiliwa wewe wakazi wa karibu na eneo hilo wanasema kulikuwa na mashambulizi makali ya ndege za israel na wanajeshi wa israel magaidi wamepigwa mpaka wamekimbia wengine na wengine kuuawa wakawasahau mateka
 
Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Sasa inabidi ujiulize ni akili gani waliitumia HAMAS kuwaficha matela katika eneo lenye raia wengi.
Hamas wanaficha mateka kwenye wanawake na watoto afu wanategemea nini.....IDF watakuja na bisikuti kuwapa hao watoto wadogo.
Afu hamas wanaua pia raia wakizidiwa kimapambano......na mbinu yao ya kuvaa kiraia na kuvua magwanda ya kijeshi haijawapa mafanikio...
Sasa nani shetani hapo mkuu???
 
Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Ukificha mateka kwenye raia.....lazimamadhara yatawakuta raia....risasi hazina macho.
Hamas ndio wa kulaumiwa kwa hili...huwezi kuwaweka mateka ndani ya watoto wadogo afu utegemee madhara yasitokee
 
😂🤣🤣🤣🤣🤣 unajua propaganda kama TAREK WAZIR WA HABARI WA IRAQ ENZI ZA SADAMM HUSSEIN
Upo wapi wewe mambo yote hadharani. Hiyo bandari ya kupokelea misaada ni kichaka cha wanajeshi wa marekani kuisaidia israeli kuendesha operation za kipumbavu kama hii unaua watu 150 kuokoa watu wanne. Very unprofessional
 
Back
Top Bottom