Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Hahaha wacha awaonyeshe kawaokolea wapi. hizo ni propoganda za Israel anatafuta ushindi wa uwongo.

Anashindwa nini kuchukua video kuwaonyesha namna alivyo waokoa.

Afu Hamasi wakiongea mie ndio takubali kama ni kweli wamewaokoa lakini jeshi la pampers nani analiamini?

Labda watu wamesahau ile Bollywood move ya Al Shifaa Hospital 😄
Acha utoto basi!
 
Unawezaje kumtenga mhayudi na wazungu?Bila myahudi dunia kusingekuwa mahali pazuri kuanzia kwenye uzalishaji,matibabu,uchumi na teknolojia.Wazungu wanamhitaji myahudi kuliko myahudi anavyowahitaji wao!
Ongezea na ushoga humo
 
Wewe huwezi kuishughulisha akili ?
Nini maana ya kuwa binadamu ?
Kitu kidogo kama hiki unatoa povu upewe taarifa kamili ?
Kweli unaweza kusoma vyuo vya kimataifa kama Open Univesity ambako hakuna mwalimu na chaki ubaoni?
Wadhani nakuuliza kwakutokujua?

Mwalimu anatunga swali kwa jambo asilolijua?

Jisahihishe na uandishi wako mbovu.
 
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani

Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo

Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😃
acha MACCM waendelee kutawala milele, kwa kujenga hoja kwa njia hii. Ni ujinga
 
Majibu gani we mvaa kobazi,alla kawaacha mkufe anasubiri akawape bikra au we hutaki kwenda kwenye danguro la ala
Danguro unalijua wew hao wote tunaozeshwa na kwa halali kabisa na Mwenyezi Mungu wewe nenda kaimbe mbinguni ndicho ulicho ahidiwa
 
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani

Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo

Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😃
WA KULAUMIWA NI ANAYEWAWEKA WATOTO NA RAIA KAMA NGAO DHIDI YA MATEKA...HAMAS WAMEFELI NA WALAUMIWE WAO
 
Uandishi wa hivi hujenga maswali sana kwa wasomaji, maswali yasiyo na ulazima wowote!

Hao 210 waliouawa kwa ajili ya wanne(4), wameuawa lini maana kila uchao inatolewa takwimu yake mpya, vita hii ina takribani mwaka ikipiganwa sasa.

Toa taarifa ama andika kibobezi ili kila mtu aelewe moja kwa moja kuliko kutoa taarifa inayojenga maswali.
Mkuu umeuliza kisomi sana
 
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani

Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo

Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😃
Fafanua mkuu
 
Haha America ndio walio waokoa hao hostages kwa kujidai wanapeleka msada kumbe ni jeshi, afu Jeshi la Israel likaja wauwa raia pale shenzi type.
 
Upo wapi wewe mambo yote hadharani. Hiyo bandari ya kupokelea misaada ni kichaka cha wanajeshi wa marekani kuisaidia israeli kuendesha operation za kipumbavu kama hii unaua watu 150 kuokoa watu wanne. Very unprofessional
Mdogo wangu unajua unaongea na kaka zako......acha story za vijiweni
Unaongea na Nelson Jacob Kagame natumia real identity...na ni mwandishi mzoefu wa habari za kivita
 
Nina wasiwasi pengine ID ya Yohana imetekwa nyara na wajanja. Iweje azungumzie Utanganyika na kwamba Wanasiasa wake wamejikita kwenye ufisadi? Huyo si Yohana tuliyemzoea.
 
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.

Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.

Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.

View attachment 3011849

Good News from GAZA.
Ao waliopatikana hawajui Yesu
 
Back
Top Bottom