Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Ulitakiwa uwashukuru US special Forces waliopo kwenye bandari ya misaada hapo Gaza kwa unyama walioufanya wa kuuwa zaidi ya wapalestina 200 hata hivyo majibu watayapata soon.
ndio maana Hamas waliwahi kulivurumishia makombora lile gati kabla ya kubomolewa na kimbunga.Walijua halikna kheri kwao.
Israel peke yake hana tena ubavu wa kupambana na Hamas.Lazima apate msaada wa Marekani.
 
Sasa unabisha nini wakati wakazi jirani na hapo wanasema kulikuwa na mashambulizi makali eneo hilo ya ndege na wanajeshi wa israel nakupelekea raia 210 kuuawa na magaidi 80
Kwa hiyo hao majirani walikuwa wapo wanashuhudia kama sinema wakati wa hayo mashambulizi?

Walio uliwa ni raia na si wapiganaji ,hiyo ya wapiganaji 80 ni kwamujibu wa Israel na siku hizi walisha julikana kuwa ni watu wa propaganda na wala hakuna mtu mwenye akili atawazingatia.

Alafu Hamas hawezi kuhifadhi mateka katikati ya watu hali ya kuwa wanajua kuwa majasusi wa Israel wapo kila sehemu miongoni mwa raia.
Nimekuuliza swali unawakumbuka mateka 3 ambao Hamas iliwaachia na kuwapeleka mpaka karibu na kambi ya wanajeshi wa Israel badala yake Israel ikawauwa kwa sababu ya woga?
Je iwapo hao mateka wasinge uawa situngeshuhudia propaganda kama ambazo tunaziona sasa hivi?

Mambo mengine muwage mnatumia akili.
 
Hao ndugu zako Hamas wangekuwa ni vidume vya mbengu. Wangekaa pale mpaka mwa Gaza na Rafah kuwazuia jeshi la Israel kutoingia.
Gaza na Rafah imekuwa magofu ndiyo unawaona ni vidume? Watu wanajificha kwenye mashimo km panya. Watoke nje, wapigane
Mbona Netanyau na genge lake walikimbilia kujificha kwenye mashimo baada ya Iran kurusha makombora?
 
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani

Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo

Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😃
---
Gaza hostage rescue latest: 210 killed in IDF operation, Hamas says - as it claims some hostages were also killed

Israel announces it has rescued four hostages on Saturday in an operation that took place in Gaza. The Hamas-run health ministry says 210 people have been killed by Israeli operations in the area of the rescue.
---
Israel on Saturday carried out its largest hostage rescue operation since the war with Hamas began, taking four to safety out of central Gaza amid the military’s heavy air and ground assault. The bodies of at least 210 Palestinians, including children, were brought to local hospitals, a health official said.

Israelis were jubilant as the army said it had freed Noa Argamani, 25; Almog Meir Jan, 21; Andrey Kozlov, 27; and Shlomi Ziv, 40, in a daytime operation in the heart of Nuseirat, raiding two locations at once while under fire. The hostages were taken by helicopter for medical checks and reunions with loved ones after 246 days in captivity.

Argamani, one of the most widely recognized hostages, was taken, like the other three, from a music festival in southern Israel. The video of her abduction, among the first to surface, showed her seated between two men on a motorcycle as she screamed, “Don’t kill me!”

Her mother, Liora, has brain cancer and had released a video pleading to see her daughter. Israel’s Channel 13 said Argamani was moved to the hospital where her mother is being treated.

In a message released by the government, an elated Argamani tells Prime Minister Benjamin Netanyahu by phone that she is “very excited,” saying she hasn’t heard Hebrew in a long time.

Netanyahu in a statement vowed to continue fighting until all hostages are freed. The operation was “daring in nature, planned brilliantly and executed in an extraordinary fashion,” Defense Minister Yoav Gallant said.

Los Angels Times
 
Israel kaokoa matekwa wake 4, labda ni mtego wa Hamasi ili Israel akatae kusimamisha vita sababu Hamasi anataka kuwamaliza jeshi la Pampers.

Afu inawezekana pia si kweli hizo ni propoganda za Israel.

Mimi mpaa Hamasi wakiri ni kweli ndio takubaliana ni hi news.

Afu we mtoa mada Yesu yuko mbali na hilo taifa wacha ujinga wako kumzulia Yesu uwongo.

Yesu ni kipenzi cha Waislam kama vile Mtume Muhammad.

Yesu yuko mbali na Ukristo na Uyahudi wacheni kumzulia uwongo bila dalili.
😅 😅 😅 😅

JamiiForum ituite wote itupime akili
 
ndio maana Hamas waliwahi kulivurumishia makombora lile gati kabla ya kubomolewa na kimbunga.Walijua halikna kheri kwao.
Israel peke yake hana tena ubavu wa kupambana na Hamas.Lazima apate msaada wa Marekani.
Wale jamaa wa humanitarian Aid ndio wamewasaidia kwa vile walijipenyeza , ila hao IDF hamna kitu kabisa ,
 
Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Raia mmoja wa Israel ni sawa na wapelestina 1000 kwahiyo hiyo 100 ni ndogo sana haijafika lengo kabisa.

Na kingine usichokijua wao wenyewe wapelestina hawauthamini uhai wao wanaimani wakifa katkat ya mashambulizi basi straight peponi na ukiwaona sehemu wamejazana kama kumbikumbi basi ujue eneo hilo Kuna wanamgambo tele wa Hamas wanawatumia kama Kinga Yao kwahiyo acha kupoteza muda kuwahurumia watu wasiojihurumia.
 
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani

Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo

Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😃
Uandishi wa hivi hujenga maswali sana kwa wasomaji, maswali yasiyo na ulazima wowote!

Hao 210 waliouawa kwa ajili ya wanne(4), wameuawa lini maana kila uchao inatolewa takwimu yake mpya, vita hii ina takribani mwaka ikipiganwa sasa.

Toa taarifa ama andika kibobezi ili kila mtu aelewe moja kwa moja kuliko kutoa taarifa inayojenga maswali.
 
Wewe mbona upo nyuma ya taarifa. Wanajeshi wa marekani waliopo pwani ya Gaza ndo wamefanya hilo tukio na kuwaua raia zaidi ya 200 hata hivyo muda si mrefu majibu watayapata kwa walichokofanya.
Majibu gani we mvaa kobazi,alla kawaacha mkufe anasubiri akawape bikra au we hutaki kwenda kwenye danguro la ala
 
Goddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?

Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.
Punguza jazba za kidini
 
Uandishi wa hivi hujenga maswali sana kwa wasomaji, maswali yasiyo na ulazima wowote!

Hao 210 waliouawa kwa ajili ya wanne(4), wameuawa lini maana kila uchao inatolewa takwimu yake mpya, vita hii ina takribani mwaka ikipiganwa sasa.

Toa taarifa ama andika kibobezi ili kila mtu aelewe moja kwa moja kuliko kutoa taarifa inayojenga maswali.
Wewe huwezi kuishughulisha akili ?
Nini maana ya kuwa binadamu ?
Kitu kidogo kama hiki unatoa povu upewe taarifa kamili ?
Kweli unaweza kusoma vyuo vya kimataifa kama Open Univesity ambako hakuna mwalimu na chaki ubaoni?
 
Back
Top Bottom