Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Unawezaje kumtenga mhayudi na wazungu?Bila myahudi dunia kusingekuwa mahali pazuri kuanzia kwenye uzalishaji,matibabu,uchumi na teknolojia.Wazungu wanamhitaji myahudi kuliko myahudi anavyowahitaji wao!Kweli lakini Hamasi bado hawaja confirm, nimeona news lakini katika 120 ndio kabahatika kukomboa jumla 7 na leo wanne afu Hamasi bado hawajatupa sababu vipi walivyo kombolewa tutapa jibu badaye.
Yani kasaidiwa kumbe na vibaraka pamoja na uingereza hivi hivi asinge waokoa