Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mimi nilijua mlishawatafuna, yaani waislamu bana, kwenu mumekufa karibu 40,000 na mlikua mnaishi na mateka ndani muda wote huu.
Haya kajiingize pombe ulewe ulale
 

Attachments

  • Screenshot_20240605-124626_Facebook.jpg
    Screenshot_20240605-124626_Facebook.jpg
    271.4 KB · Views: 3
Hawa HAMAS kama kweli wanataka kuwakomboa wapalestina waache kuyatibua na kujificha uraiani ,,maana wanafanya hao raia wanaosema wanawatetea kuuliwa,, hio mbinu iliwezekana Ukraine tu na kwasababu mrusi anaona wa Ukraine kama watu wake yeye alitaka wanajeshi tu,,,,ila Israel hana akili kama ya mrusi yeye ua wake m1 atalipiza hata kwa wako 10 na hajali ni katika mazingira gani
 
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.

Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.

Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.

View attachment 3011849

Good News from GAZA.
Hujaelimika bado huyo netanyahu mwenyewe hana shida na hao mateka maana ameshashindwa kuwaokoa ,mateka 200 umewaona wanne ni kitu cha kujisifia kweli? Hizo shule mnaendaga kucheza mdako?
 
Wale wayahudi mliowaua ile night ya kwanza mlipovamia Israel umewahesabu? mpigwe tuu maana mnachotaka ni kimoja tuu kuwasafisha wayahudi kwenye hii dunia
Wale wayahudi waliuliwa na serekali yao ya kiyahudi.Tumia akili ndogo tu.Hivi mwanamgambo,anaweza kuvamia nchi,yenye security camera za kisasa na mifumo ya ulinzi wa kisasa?Kwa mwenye akili,anajua wazi ule ni mpango wq serekali ya Israel,kufanyisha kundi la kuvamia,halafu wao Israel,kuwaua waliokuwa kwenye sherehe,ili ionekane wanamgambo wa Hamas,ndio wamefanya hivyo.
 
Uandishi wa hivi hujenga maswali sana kwa wasomaji, maswali yasiyo na ulazima wowote!

Hao 210 waliouawa kwa ajili ya wanne(4), wameuawa lini maana kila uchao inatolewa takwimu yake mpya, vita hii ina takribani mwaka ikipiganwa sasa.

Toa taarifa ama andika kibobezi ili kila mtu aelewe moja kwa moja kuliko kutoa taarifa inayojenga maswali.
Naunga mkono hoja
 
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani

Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo

Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote [emoji2]
Lakini haya mambo hamas wenyewe ndio wanasababisha kwanini wanajificha maeneo ya raia kama hospitalini, shuleni, kwenye nyumba za raia na raia wakiwaona hamas wanakuja kukaa karibu nao kwanini wasiondoke mpaka wanakufa wote hamas kama ni watetezi wapalestina wangeenda kujenga makambi yao ya kigaidi jangwani sio maeneo ya raia
 
Wale wayahudi waliuliwa na serekali yao ya kiyahudi.Tumia akili ndogo tu.Hivi mwanamgambo,anaweza kuvamia nchi,yenye security camera za kisasa na mifumo ya ulinzi wa kisasa?Kwa mwenye akili,anajua wazi ule ni mpango wq serekali ya Israel,kufanyisha kundi la kuvamia,halafu wao Israel,kuwaua waliokuwa kwenye sherehe,ili ionekane wanamgambo wa Hamas,ndio wamefanya hivyo.
Classic mbinu za magaidi,mfanye wenyewe then mnatuletea conspiracy theories ili kudanganya watu, michezo ya kitoto hii wenzako walishafanya sana walifeli tuu
 
Back
Top Bottom