Haya kajiingize pombe ulewe ulaleMimi nilijua mlishawatafuna, yaani waislamu bana, kwenu mumekufa karibu 40,000 na mlikua mnaishi na mateka ndani muda wote huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kajiingize pombe ulewe ulaleMimi nilijua mlishawatafuna, yaani waislamu bana, kwenu mumekufa karibu 40,000 na mlikua mnaishi na mateka ndani muda wote huu.
Walivyowaua waisrael wakati wa sherehe yao walitegemea nini?Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Hujaelimika bado huyo netanyahu mwenyewe hana shida na hao mateka maana ameshashindwa kuwaokoa ,mateka 200 umewaona wanne ni kitu cha kujisifia kweli? Hizo shule mnaendaga kucheza mdako?Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.
View attachment 3011849
Good News from GAZA.
Wale wayahudi waliuliwa na serekali yao ya kiyahudi.Tumia akili ndogo tu.Hivi mwanamgambo,anaweza kuvamia nchi,yenye security camera za kisasa na mifumo ya ulinzi wa kisasa?Kwa mwenye akili,anajua wazi ule ni mpango wq serekali ya Israel,kufanyisha kundi la kuvamia,halafu wao Israel,kuwaua waliokuwa kwenye sherehe,ili ionekane wanamgambo wa Hamas,ndio wamefanya hivyo.Wale wayahudi mliowaua ile night ya kwanza mlipovamia Israel umewahesabu? mpigwe tuu maana mnachotaka ni kimoja tuu kuwasafisha wayahudi kwenye hii dunia
Mademu wanapata nao mashababy 70?unawaza ukiwa na dada yako inakuaje huko? 🤣
Israel kwao mtu mmoja ni wa thamani sn kwaoNi hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani
Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo
Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😃
Na hii ndiyo dawa yao, wapigwe haswaWale wayahudi mliowaua ile night ya kwanza mlipovamia Israel umewahesabu? mpigwe tuu maana mnachotaka ni kimoja tuu kuwasafisha wayahudi kwenye hii dunia
Mademu wanapata nao mashababy 70?unawaza ukiwa na dada yako inakuaje huko? 🤣
Wakimcheleweshea posho huwa anasimama kwenye ukweliNina wasiwasi pengine ID ya Yohana imetekwa nyara na wajanja. Iweje azungumzie Utanganyika na kwamba Wanasiasa wake wamejikita kwenye ufisadi? Huyo si Yohana tuliyemzoea.
Wapigwe mpk washike akiliWA KULAUMIWA NI ANAYEWAWEKA WATOTO NA RAIA KAMA NGAO DHIDI YA MATEKA...HAMAS WAMEFELI NA WALAUMIWE WAO
Naunga mkono hojaUandishi wa hivi hujenga maswali sana kwa wasomaji, maswali yasiyo na ulazima wowote!
Hao 210 waliouawa kwa ajili ya wanne(4), wameuawa lini maana kila uchao inatolewa takwimu yake mpya, vita hii ina takribani mwaka ikipiganwa sasa.
Toa taarifa ama andika kibobezi ili kila mtu aelewe moja kwa moja kuliko kutoa taarifa inayojenga maswali.
Lakini haya mambo hamas wenyewe ndio wanasababisha kwanini wanajificha maeneo ya raia kama hospitalini, shuleni, kwenye nyumba za raia na raia wakiwaona hamas wanakuja kukaa karibu nao kwanini wasiondoke mpaka wanakufa wote hamas kama ni watetezi wapalestina wangeenda kujenga makambi yao ya kigaidi jangwani sio maeneo ya raiaNi hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani
Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo
Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote [emoji2]
Akiwepo na mazeri unamjengea picha naye..... Na vijana 70 wamemzunguka...... 🤣 Wanataka kumpiga pipe.
Mademu wanapata nao mashababy 70?unawaza ukiwa na dada yako inakuaje huko? 🤣
Akiwepo na mazeri unamjengea picha naye..... Na vijana 70 wamemzunguka...... 🤣 Wanataka kumpiga pipe
Classic mbinu za magaidi,mfanye wenyewe then mnatuletea conspiracy theories ili kudanganya watu, michezo ya kitoto hii wenzako walishafanya sana walifeli tuuWale wayahudi waliuliwa na serekali yao ya kiyahudi.Tumia akili ndogo tu.Hivi mwanamgambo,anaweza kuvamia nchi,yenye security camera za kisasa na mifumo ya ulinzi wa kisasa?Kwa mwenye akili,anajua wazi ule ni mpango wq serekali ya Israel,kufanyisha kundi la kuvamia,halafu wao Israel,kuwaua waliokuwa kwenye sherehe,ili ionekane wanamgambo wa Hamas,ndio wamefanya hivyo.