Wewe ni muongoKuna mwaka Messi aliktaa kucheza na timu ya Israel , hao wanaua watoto kila siku wala hamna uhusiano na Hmas....Hamas watoto wa juzi wameukuta mgogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muongoKuna mwaka Messi aliktaa kucheza na timu ya Israel , hao wanaua watoto kila siku wala hamna uhusiano na Hmas....Hamas watoto wa juzi wameukuta mgogoro
Hilo swali ni zuri ungwauliza wafia dini kuna faida gani kuendelea kuwashikilia mateka 124 huku israel inaendelea kuwaua wapalestina wengi na hamas kama kuku huku mkimtegemea Allah hata hawasaidii kila vita mnapigwaSijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Unachokoza Nchi yako iharibiwe na kuteketezwa Kwa kushikilia Mateka 72? Hao Mateka ulioshikilikia wanaweza kurudisha walikuwa Gaza na Miundombinu na huduma za Jamii zilizoharibiwa?Uandishi wa hivi hujenga maswali sana kwa wasomaji, maswali yasiyo na ulazima wowote!
Hao 210 waliouawa kwa ajili ya wanne(4), wameuawa lini maana kila uchao inatolewa takwimu yake mpya, vita hii ina takribani mwaka ikipiganwa sasa.
Toa taarifa ama andika kibobezi ili kila mtu aelewe moja kwa moja kuliko kutoa taarifa inayojenga maswali.
So Hilo tu Bali Masheikh wao wanalia kuwa Waislam wanauacha uislam
View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1799461446126014563
Sasa kwanini wanaita mauaji ya wayahudi ni HOLOCAUST if at all ni halali kuua raia? Au Akifanya Hitler ni kosa ila Netanyahu ni haki?Hawa HAMAS kama kweli wanataka kuwakomboa wapalestina waache kuyatibua na kujificha uraiani ,,maana wanafanya hao raia wanaosema wanawatetea kuuliwa,, hio mbinu iliwezekana Ukraine tu na kwasababu mrusi anaona wa Ukraine kama watu wake yeye alitaka wanajeshi tu,,,,ila Israel hana akili kama ya mrusi yeye ua wake m1 atalipiza hata kwa wako 10 na hajali ni katika mazingira gani
Sasa mbona wewe huongelei rais wa iran kaporomoshwa kwenye helkopta kaokotwa korongoni amekaangwa kama ndafu chezea kisasi cha myahudi weweMbona Netanyau na genge lake walikimbilia kujificha kwenye mashimo baada ya Iran kurusha makombora?
Akiwepo na mazeri unamjengea picha naye..... Na vijana 70 wamemzunguka...... 🤣 Wanataka kumpiga pipe
Mtume weu ndio kawafundisha ushetani.. Waislam wote wanaua its matter of time tu.. si Allah kawaambieni Itakuja siku Wayahudi wakijificha nyuma ya mawe basi mawe yatasema kuna myahudi hapa kajificha njooni mumuue.. Allah ndie IblisAlkazeze ni kiyahudi dogo sio kiarabu.
Afu we unadhani waislamu wauwaji kama nyie na mashoga zenu wayahudi.
Kutokana na njaa ya watu wa Gaza iliyolazimishwa kwao wakaona watumie na gari la misaada kuingia mpaka ndani kabisa kuwafanyia hujuma.Wamekuja na gari la misaada . America delta force ndo wameingia kwa kuuwa watu wengi sana IDF peke yao hawawezi ni waoga vibaya mno.
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.
View attachment 3011849
Good News from GAZA.
Are Muslim? because Muslim ameruhusiwa na Allah kudanganya. Israel hafichi vifo vya Wanajeshi wake sababu sio Muslims japo kuna wajeshi Muslim but kuongopa ni kazi ya Allah anapokezana na Iblis kuongopea Dunia..Pia Israeli nayo imepoteza wanajeshi 18
View attachment 3012198
Mtume weu ndio kawafundisha ushetani.. Waislam wote wanaua its matter of time tu.. si Allah kawaambieni Itakuja siku Wayahudi wakijificha nyuma ya mawe basi mawe yatasema kuna myahudi hapa kajificha njooni mumuue.. Allah ndie Iblis
Huyu nae utakuta ni mzima na ana familia kabisaNi hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani
Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo
Yaliyotokea Gaza Leo yanaogopesha
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote [emoji2]
Unatutia wasiwasi unashabikia mashoga . Hawa hapa wameifanya Jerusalemu kuwa Gay centre
View: https://youtu.be/fNLYhCy1dEo