Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Goddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?

Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.
Why should they care about you? Why have you panicked? The guy is informing us. Just calm down. Stress za maisha yako usipelekee wengine. Mi sioni kosa la jamaa. Nimefurahi coz hao magaidi waliua watanzania wetu wawili.
 
Upo wapi wewe mambo yote hadharani. Hiyo bandari ya kupokelea misaada ni kichaka cha wanajeshi wa marekani kuisaidia israeli kuendesha operation za kipumbavu kama hii unaua watu 150 kuokoa watu wanne. Very unprofessional
Kwanini Hamas wanaficha mateka katika eneo lenye raia?!
 
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.

Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.

Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.


Good News from GAZA.
Mwaka mzima wameokoa watu wanne halafu wanajiita wanajeshi kweli?
Kwa akili zao mbovu hawa waisrael sishangai hata yesu walimsulubu, na kwa akili za wakristo wa tanzania wanavyopenda wazungu wangekuwepo kipindi hicho still wangeshangilia tu ,akili zao wanazijua wenyewe
 
Danguro unalijua wew hao wote tunaozeshwa na kwa halali kabisa na Mwenyezi Mungu wewe nenda kaimbe mbinguni ndicho ulicho ahidiwa
Kwa hiyo mkuu wewe ukifa unaozeshwa mabinti bikira 72 kwenye pepo ya allah?
 
Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Janja janja zenu myahudi anazijua. Arabs wamejaribu kutumia viongozi wa UN ili waidhibiti Israel, kwa kigezo cha Israel kuua watoto na wanawake, waandishi wa habari lakini wanashindwa kushinikiza hamas waachie mateka, Israel mara zote imesema hamas wakiachia mateka leo leo vita inaisha. Hiyo vita ya hamas na Israel ina hasara kubwa kwa Palestiniana. Ni kitu gani kinasababisha hamas wasiachie mateka wa kiyahudi ili vita iishi na watoto, wanawake wasiendelee kuuliwa?
 
Hahaha wacha awaonyeshe kawaokolea wapi. hizo ni propoganda za Israel anatafuta ushindi wa uwongo.

Anashindwa nini kuchukua video kuwaonyesha namna alivyo waokoa.

Afu Hamasi wakiongea mie ndio takubali kama ni kweli wamewaokoa lakini jeshi la pampers nani analiamini?

Labda watu wamesahau ile Bollywood move ya Al Shifaa Hospital 😄
Hata kifo cha Osama Bin Laden watu walibisha baadae kimyaaaaa
 
Mateka wanafichwa kwenye kambi za wakimbizi! Ndio maana Israelis huwa wanalipua hizi kambi watu wanashanga.
 
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.

Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.

Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.


Good News from GAZA.
It is good for nothing hao mateka wako kwa mamia huko makorokoroni wameshikiliwa na Hamas
 
Back
Top Bottom