Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Why should they care about you? Why have you panicked? The guy is informing us. Just calm down. Stress za maisha yako usipelekee wengine. Mi sioni kosa la jamaa. Nimefurahi coz hao magaidi waliua watanzania wetu wawili.Goddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?
Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.