Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Kutokana na njaa ya watu wa Gaza iliyolazimishwa kwao wakaona watumie na gari la misaada kuingia mpaka ndani kabisa kuwafanyia hujuma.
Ndio mbinu za kupambana na ugaidi.
Adui yako muombee njaa ili umtandike vizuri
 
W
Hamas ni wapumbavu,badala waachie mateka mambo yaishe, wanawatoa sadaka wapalestina wasio na hatia
Hamas kwa wasio na akili wanawaona watetezi kumbe NJ sehem ya dili la kuchukua ardhi ya wapalestina. Jiulize kulikua na sababu gani kuua Ile tarehe 7 October? Na leo ardhi zaidi ya Ekta 980 zishachukuliwa
 
Back
Top Bottom