Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

Aljazeera wanapendelea upande mmoja, watimuliwe israel wakajifunze kuripoti bila kupendelea upande mmoja
 
Wewe jamaa jinga sana. Israel wameambiwa wapeleke ushaidi UN wa kuthibitisha madai yao ya wafanyakazi wa UNRWA kushiriki ktk operation ya 7 October. Israel imeshindwa kupeleka ushaidi na hawana huo ushaidi. Wewe umelishwa maujinga na upumbavu
 
Ndugu gani?
Au umaanisha ndugu katika uisilam
Sasa kwa mfano kama IDF wanapiga makombora walipo Hamas, hayawezi kuwaua hata mateka?
Mimi siyo Muislam! Siungi mkono vita kwa sababu vita haileti muafaka bali maafa!
 
Hivi mwanaume rijali unaanzaje kuua mabinti warembo kama hao?
 
Wewe jamaa jinga sana. Israel wameambiwa wapeleke ushaidi UN wa kuthibitisha madai yao ya wafanyakazi wa UNRWA kushiriki ktk operation ya 7 October. Israel imeshindwa kupeleka ushaidi na hawana huo ushaidi. Wewe umelishwa maujinga na upumbavu
Israel hana ujinga wa ushahidi kupeleka sijui wapi.. maana kila taasisi inawapenda Hamas japo magaidi.. so Israel anachofanya anakuonesheni video kisha anaweka target ya hukumu kifo kama hutojisalimisha. Ndio maana awe muandishi sijui dr.UN N.k ukiikosea Israel umesign kifo chako.... no muda wa kesi as long ulidhamiria kuiangamiza Israel kwa namna moja au nyingine.... Hamas must die..
 
Kwahyo mnavyoishambulia gaza mnataka wafe wapalestine utafikiri hayo mabomu mnayoangusha yanajua huyu myahudi
 
Waliambia IDF wasishambulie Gaza watauwa watu wao hawakusikia sasa hiyo ndio hali
 
Bila kuvamia Rafah Marehemu wangeozea Rafah shame on UN and other wajinga wote waliokuwa wanapinga IDF kuingia Rafah
😄 Hamasi wanauliza hao maiti wamewakuta wapi?

Hata Hamasi wanawashangaa wanatafuta ushindi hata kwa maiti wasio wajua hahaha

Any way habari ni hi hapa fresh waisrael wa njombe.

Mjumbe wa Baraza la Knesset la Israeli na naibu mkuu wa zamani wa Mossad, Ram Ben Barak, amesema kwamba "vita vya Gaza havina lengo na ni wazi tunashindwa" na "uchumi wetu unaanguka."

Nyie bakini huko njombe mnakunywa pombe 😄
 
Soma hii mabwana zako wametema bungo tayari.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1791894020798517480?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaokota maiti za wanajeshi wao wanasema mateka😀

Hamas wamewauliza mmewaokota wapi hao maiti? Hawasemi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…