Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.​

Na bado mpaka mseme

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni shabiki siyo mchambuzi hivyo sioni hata kama kuna watu watazingatia upumbavu wako
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.

Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha

Msemaji wa IDF amesema no stone katika Gaza litakalobaki bila kufumuliwa.. Worning kwa Wajinga wanaounga mkono Hamas Magaidi maandazi

IDF Confirms: Bodies of three hostages recovered from Gaza​

IDF Spokesman Rear Admiral Daniel Hagari confirmed in a statement on Friday that IDF forces recovered the bodies of three hostages from the Gaza Strip.​

View attachment 2992756

Aljazeera wao news zao za kipumbavu eti

‘Shame on the world’: Israel tanks, jets ‘wipe out everything’ in Jabalia

Umeandika nini sasa hapa, sasa kama mateka wamekufa si ni aibu kwa Israel na pigo kwao watu wao kufa kwa ujinga, waliambia wasimamishe vita kabisa kabisa warejeshewe watu wao wakiwa salama wakaleta siasa za kiyahudi hayo ndio matokeo yake sasa
 
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.

Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha

Msemaji wa IDF amesema no stone katika Gaza litakalobaki bila kufumuliwa.. Worning kwa Wajinga wanaounga mkono Hamas Magaidi maandazi

IDF Confirms: Bodies of three hostages recovered from Gaza​

IDF Spokesman Rear Admiral Daniel Hagari confirmed in a statement on Friday that IDF forces recovered the bodies of three hostages from the Gaza Strip.​

View attachment 2992756

Aljazeera wao news zao za kipumbavu eti

‘Shame on the world’: Israel tanks, jets ‘wipe out everything’ in Jabalia

Mateka wote wanauliwa na mazayuni wenyewe. Wameshawaua zaidi ya 70 mpaka sasa.

Mazayuni wanachezea kichapo Ghaza, hakuna picnic Rafah.
 
Kila lenye tija majukumu yenu ,teketezeni
Tija ipi? Mwezi wa nane unaingia majeshi yote kimagharibi na mashoga zao wakizayuni, wanahenyeshwa na Wapalestina.

Si mchezo kichapo wanaochochezea. Leo wameanza kutoka nduki wakajipange upya.
 
kumbe !
 
bibi yako bado yupo hai? muislam akifa peponi. mkiristo motoni
Ndio ostadhi wako alikudanganya huu upupu,
Sasa nenda kamwambie nimesema Mungu Sio Shemeji yako mpaka umpangie watu wa kwenda peponi na Motoni
Kama ulivyompangia shemeji mahari ya dadaako umenipata Mwamedi?
😁😁😁
 
bibi yako bado yupo hai? muislam akifa peponi. mkiristo motoni
Huko peponi, Allah atatoa wanawake mabikra 72 na mito ya Pombe. Hapo Muislamu lazima aende peponi tu 😁😁😁😁😁
Huko peponi hakuna tofauti na majumba ya kuchezea filamu za ngono
 
Mateka wote wanauliwa na mazayuni wenyewe. Wameshawaua zaidi ya 70 mpaka sasa.

Mazayuni wanachezea kichapo Ghaza, hakuna picnic Rafah.
Kama wanachezea kichapo mazayuni kwanini mko ICJ?
Kama upo tayari, nikulipie nauli mpaka Sudan, nikakukabidhi kwenye kikosi cha maarabu maislamu ya Rapid Support Force (RFS) maana wanaroho nzuri sana
 
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.

Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha

Msemaji wa IDF amesema no stone katika Gaza litakalobaki bila kufumuliwa.. Worning kwa Wajinga wanaounga mkono Hamas Magaidi maandazi

IDF Confirms: Bodies of three hostages recovered from Gaza​

IDF Spokesman Rear Admiral Daniel Hagari confirmed in a statement on Friday that IDF forces recovered the bodies of three hostages from the Gaza Strip.​

View attachment 2992756

Aljazeera wao news zao za kipumbavu eti

‘Shame on the world’: Israel tanks, jets ‘wipe out everything’ in Jabalia

Uwong mtupu, etie mateka waliuwawa on 7 October. Hamas hawakuwa na muda wa kubeba maiti.

Hao wameuwawa kwa mashambulizi ya ovyo yanayofanywa na IDF. Kwa kuogopa hasira za wananchi, wameamua kuja na huo uwongo wa kijinga. Manyumbu pekee ndio watakaoamini
 
Kama wanachezea kichapo mazayuni kwanini mko ICJ?
Kama upo tayari, nikulipie nauli mpaka Sudan, nikakukabidhi kwenye kikosi cha maarabu maislamu ya Rapid Support Force (RFS) maana wanaroho nzuri sana
Hujuwi nani aliyeenda ICJ?

Kama huelewi, basi elewa kuwa ni yule ambae na yeye aliitwa gaidi na kudhulumiwa kama anavyodhulumiwa na kuitwa gaidi Hamas hivi sasa na serikali ya Tanzania ikamsaidia kwa hali na mali.

Huelewi hilo?
 
Mateka wote wanauliwa na mazayuni wenyewe. Wameshawaua zaidi ya 70 mpaka sasa.

Mazayuni wanachezea kichapo Ghaza, hakuna picnic Rafah.
Hivi wakati israel inaua wapalestina zaidi ya 35,ooo Hamas walikuwa wapo wapi mbona hawapo mstari wa mbele kuzuia wapalestina wasiuwawe?
 
Kweli ni aibu kwa Dunia kwa kushindwa kuwazui wazayuni Israeli kufanya dhulma kwa wapalestina na serikali ya Israeli ndio magaidi wanaua watoto na wanawake wasio na hatia sio Hamas
Wakati Israel wanaua watoto na wanawake hamas huwa wanakuwa wapi? kuwapambania hao wasiuwawe
 
Back
Top Bottom