Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

Angekua baba yako mzazi ndio mateka, naye ungemdhihaki kwa kumuita shoga
Cha ajabu hao wanaoitwa mashoga wanawahenyesha wasio mashoga makumi ya miaka sasa kwa kifupi wasio mashoga wamenyang'anywa ardhi na mashoga😂🤣😆
yasiyo mashoga yanalialia kuomba huruma za dunia nzima😂🤣😆.
Yasiyo mashoga yamejificha yanawatumua watoto na wanawake kuwa ngao na bado wanauwawa!
Yaani marijali madume shabab na midevu yao wameporwa nchi na mashoga🤣😂😆 na wameshindwa kuirudisha kabisaaa hata baada ya kupata misaada tena ya nchi kibao
 
Nawashangaa wanaowasikitikia hao waarabu wanaouliwa na waisrael hawakumbuki hao magaidi wa Hamas walivyowauwa kikatili watanzania wasiohusika kabisa na mgogoro wao. Mimi naona ngoja wauwawe tu hao magaidi waabudu shetani. Bure kabisa.
 
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.

Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha

Msemaji wa IDF amesema no stone katika Gaza litakalobaki bila kufumuliwa.. Worning kwa Wajinga wanaounga mkono Hamas Magaidi maandazi

IDF Confirms: Bodies of three hostages recovered from Gaza​

IDF Spokesman Rear Admiral Daniel Hagari confirmed in a statement on Friday that IDF forces recovered the bodies of three hostages from the Gaza Strip.​

View attachment 2992756

Aljazeera wao news zao za kipumbavu eti

‘Shame on the world’: Israel tanks, jets ‘wipe out everything’ in Jabalia

Aibu kwa Israel,mabomu yao wanaopiga,,ndio yamewauwa hao,watu wasio na hatia.Israel ni magaidi wa kimataifa
 
IDF wamawaua wenyewe bado list ni ndefu wameua wenzao , hao mateka utawapataje kwa kulipua hapo Gaza na Rafah 😀 😀
 
Kweli ni aibu kwa Dunia kwa kushindwa kuwazui wazayuni Israeli kufanya dhulma kwa wapalestina na serikali ya Israeli ndio magaidi wanaua watoto na wanawake wasio na hatia sio Hamas
Walaumu Hamas
 
Uwong mtupu, etie mateka waliuwawa on 7 October. Hamas hawakuwa na muda wa kubeba maiti.

Hao wameuwawa kwa mashambulizi ya ovyo yanayofanywa na IDF. Kwa kuogopa hasira za wananchi, wameamua kuja na huo uwongo wa kijinga. Manyumbu pekee ndio watakaoamini
Enh uislam unadanganya hadi TV.. kwahiyo Ndugu zetu watanzania kina Mollel Maiti zao Hamas waliziacha kule KIBBUTZ, tambua Tanzania bado tunasubiria Mwili wa Mtanzania mwenzetu urejeshwe.. so bila Sinwar kudedishwa tutasubiria sana..

Yaani unakuja jf unaongea huku umebana pia eti Hamas hawana muda wa kubeba Miili ya watu iliyoeaua..

Wafanyakazi tu wa Unrwa video ipo wakipakia maiti kwenye magari ya UN back to gaza..

Uongo bakini nao na aljazeera na Misikitini
 
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.

Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha

Msemaji wa IDF amesema no stone katika Gaza litakalobaki bila kufumuliwa.. Worning kwa Wajinga wanaounga mkono Hamas Magaidi maandazi

IDF Confirms: Bodies of three hostages recovered from Gaza​

IDF Spokesman Rear Admiral Daniel Hagari confirmed in a statement on Friday that IDF forces recovered the bodies of three hostages from the Gaza Strip.​

View attachment 2992756

Aljazeera wao news zao za kipumbavu eti

‘Shame on the world’: Israel tanks, jets ‘wipe out everything’ in Jabalia

Wewe punguani kweli unaongea uharo tu maneno ya kishoga eti aibu 😀

View: https://x.com/ptvbreaking1/status/1791717040635408454?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kwanza HAMAS wamefanya makosa makubwa kuendelea kuwashikilia hao kenge mnaoita mateka. Ilikiwa ni kuwauwa tu.
Kilichofanywa na israel kule gaza na sasa rafa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Jumuiya za kimataifa sijui ziko wapi. Mauwaji yanayofanywa na israel dhidi ya wapalestina ni mauwaji ya kimbari.
Mnaofurahia madhilila yanayowapata Palestina mnapaswa kupimwa akili.
 
1. Hivi inawezekana au ni halali kutumia maneno haya HAMAS na Wapalestina interchangeably?
2. Jumuiya za kimataifa zinafahamu IDF (majeshi ya Israel) wanapigana dhidi ya HAMAS (Kikundi cha wapiganaji kilichopo Palestina) na HAMAS inatambulika kama ni kikundi cha kigaidi. Hizo ni pande mbili ktk vita hiyo inayoendelea.
Inakuwaje vita hiyo (IDF vs HAMAS)inapewa sura ya mauaji ya Kimbari? Nijuavyo mimi, Mauaji ya kimbari huwa ni ndani ya Taifa (Nchi) moja na huwa ni baina ya makabila mawili (yanayohasimiana) ndani ya nchi hiyo-hiyo kutokana na chuki zao za muda mrefu. (I stand to be corrected.). IDF na HAMAS hawatoki/hawapo ndani ya nchi moja. Kwa mantiki hiyo, mauaji yanayoendelea sio sahihi kuyaita ni mauaji ya kimbari. Labda litumike jina lingine.
3. Kuna "sintofahamu" inayojitokeza kwamba HAMAS (au ni mashabiki sijui)inadai kwamba inawadhibiti IDF kikamilifu, lakini inashangaza kwamba tangu vita hiyo ianze 07 Oct.2023 ni HAMAS hao-hao wanalialia mara imekuwa hv au vile na watoto ,wanawake wanauawa n.k.n.k. Inakuwaje mbona IDF wanakufa (na hilo liko wazi) lakini hatujasikia wakilalamika wala kujisifu? Ingefaa Matokeo ya Vita hiyo tuyape fursa ili yajisemee yenyewe.
 
Back
Top Bottom