ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, hebu niweke mambo ya ajabu yaliyofanywa na Simba mwaka 2024
1. Kung'oa Viti 256 uwanja wa Taifa na kuwadhuru warabu wa Tunisia, Taifa limepata aibu kubwa
2. Kuvunja vioo na milango uwanja wa CCM Kirumba
3 Kumdhalilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza pamoja na police
4. Kumpigia shabiki wa mwenzao wa Simba aitwae Mchome
5 kusema kwamba kufungua Whatsapp channel ni mafanikio
6. Mafanikio ya Kibegi
7. Wazee wa Simba kutukana na kutishia watu
8. Kutaka kuhamia ligi ya Burundi
9. Kuwasha moto uwanjani huko South Africa
10 kuingiza gari kinyume nyume
11. Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kutukana wahandishi wa habari eti ni malofa
12. Mkutano mkuu kutokusomewa mapato na matumizi
13. Jezi kujaa stika za metl ( jezi mbaya)
14. Manzoki kupiga kampeni za Mangungu
15 Mangungu atupishe, Bado yupo
16. Siku ya Simba day, Mo kutambulisha mashangazi, mabibi na wahindi wote
17 uwanja wa bunju kufugia njiwa
18 Kufungwa mara nne mfululizo na kipigo heavy cha goli Tano kutoka Kwa Yanga
19. Kaduguda Kiongozi pale Simba kusema shirikisho ni mashindano ya akina mama na Sasa timu lake lipo shirikisho
20. Kufurahia ushindi wa shirikisho
Yaani UMISETA ya watoto wa shule
Tuongeze matukio mengine
Ubaya ubwege
Yanga bingwa