Matendo ya kihuni yaliyofanywa na mashabiki na viongozi wa Simba 2024

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, hebu niweke mambo ya ajabu yaliyofanywa na Simba mwaka 2024

1. Kung'oa Viti 256 uwanja wa Taifa na kuwadhuru warabu wa Tunisia, Taifa limepata aibu kubwa

2. Kuvunja vioo na milango uwanja wa CCM Kirumba

3 Kumdhalilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza pamoja na police

4. Kumpigia shabiki wa mwenzao wa Simba aitwae Mchome

5 kusema kwamba kufungua Whatsapp channel ni mafanikio

6. Mafanikio ya Kibegi

7. Wazee wa Simba kutukana na kutishia watu

8. Kutaka kuhamia ligi ya Burundi

9. Kuwasha moto uwanjani huko South Africa

10 kuingiza gari kinyume nyume

11. Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kutukana wahandishi wa habari eti ni malofa

12. Mkutano mkuu kutokusomewa mapato na matumizi

13. Jezi kujaa stika za metl ( jezi mbaya)

14. Manzoki kupiga kampeni za Mangungu

15 Mangungu atupishe, Bado yupo

16. Siku ya Simba day, Mo kutambulisha mashangazi, mabibi na wahindi wote

17 uwanja wa bunju kufugia njiwa

18 Kufungwa mara nne mfululizo na kipigo heavy cha goli Tano kutoka Kwa Yanga

19. Kaduguda Kiongozi pale Simba kusema shirikisho ni mashindano ya akina mama na Sasa timu lake lipo shirikisho

20. Kufurahia ushindi wa shirikisho
Yaani UMISETA ya watoto wa shule

Tuongeze matukio mengine

Ubaya ubwege

Yanga bingwa
 
Mchome hajawahi kuwa shabiki wa Simba.
Na watu waliong'oa viti natamani wakamatwe waeleze nani aliwatuma kufanya hivyo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo hawa walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wao wa zamani! Halafu msimu uliopota walisema eti hawamtaki Mwenyekiti wao Mangungu!!
 
Hujaweka kutumia sindano za nguvu na ulozi wenu mliokuwa mnafanya Azam bila kusahau faini za fifa na tff za kutumia milango isiyotakiwa na kesi ya Magoma.
 
Mwanayanga mwenzangu. Hebu sasa tuanze kuongelea team yetu. Hizi nyuzi za Simba unaanzisha kila baada ya masaa machache ni kama kuna jambo linakuuma au Simba imekujaa sana moyoni. Tujiandae na matches zetu tuachane na hao Simba maana kuwataja taja ni sawa na Mwanamke ambaye ameachwa ila kila saa ana mzungumzia mumewe.
 
Mbumbumbu akiwa kichakani
 
Malizia mwenyewe
IMG-20241220-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom