Matengenezo ya gari

Matengenezo ya gari

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,194
Reaction score
7,602
Wakuu habari.

Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue.

Vipi gharama ya engine na gear box pamoja na essentials zingine zote zinaweza kuwa TSH ngapi?

Nahitaji gari la shamba na Chaka to Chaka. Help please
 
Matengenezo sijui,Ila chuma ipo nataka milion 4,unatembea,Kama unataka picha nitaweka hapa hapa
 
Gari ipo 15M kuwasha na kutembea popote Tanzania, haiihitaji service wala rangi. Kama uko serious cheki PM
 
Back
Top Bottom