Mateso anayonipa jini mahaba

Jini mahaba anasababishwa na upigaji punyeto wa muda mrefu ata hivyo majini wanamilikiwa na wachawi ndio ambayo huyatuma kwako kuja kubeba nyota yako ni vyema kabla ya kulala ufanya sala na Dua kukemea hayo mapepo wabaya kwa damu ya Yesu pia aamke usiku kufanya maombi kama yatakuja yakuja yatashindwa kufanya jambo hilo
Nini huwa kinatokea mtu mpaka anaingiliwa na majini haya?
Jini mahaba huwa anatumia sura ya mwanamke mzuri sana akiwa na umbo la kuvutia anamsogelea mtu aliyelala huku akiwa uchi kwa hitaji la kufanya ngono
 
Sio ukweli ni assumptions tu za watu ubongo hufanya kazi kwa kuchakata taarifa, hujawahi kuota mtu anakuua wewe hujawahi kuota mtu anakukaba mpaka unashindwa kuamka hujawahi kuota unakimbizwa ndotoni hujawahi kuota unapigwa ndotoni hujawahi kuota unafanya mtihani darasani ndotoni hujawahi kuota unaongea na watu usiowajua ndotoni, wote hao ni majini mahaba wamepitia mlango huo wa hayo matukio?
 
Sio ukweli hio ni assumptions na mythology za kale zipo tangu na tangu zinaelezwa hivyo ila hakuna ukweli wowote wapo watu hawapigi masterbation ila wanapatwa na wet dreams, ni sawa na mtoto anaekojoa kitandani ukiwa umezaliwa ile memory inabakia hivyo hivyo mpaka ukiwa mtu mzima kuna kipindi inarudi mpaka kule ndani kabisa unakua mtoto mdogo ambae hawezi kunyanyuka akaenda kukojoa chooni, wewe ulipokua mtoto ulikua unanyanyuka mwenyewe kwenda kukojoa au ulikua unakojoa hapo hapo, hivi unafikiria ile memory imefutika unajua umejikojolea mara ngapi na umebadirishwa nepi mara ngapi hivi unafikiria ile memory ukiwa mtoto unajikojolea imefutika huko kwenye subconscious mind?
 
Acha kutafuta kuombewa,,,tafuta maarifa ya neno la Mungu na ujiombee mwenyewe..Soma biblia na pia vitabu sahihi vya watumishi sahihi..Toa wazo la kuombewa kwenye kichwa chako..
Hapana acha kumkatisha tamaa.
Kuna vifungo huwezi kujifungua wewe mwenyewe.
That's why baadhi ya watumishi wa Mungu pamoja na kufanya huduma lakini wana vifungo ambavyo vimekuwa kama ulemavu wao. Hawataki kusema walipokwama na kuruhusu mtumishi mwingine amfungue.
Kuna wachungaji malaya sana na wakihubiri unasema muhubiri ndiye huyu
 
Kamaa hilo tatizo linamtokea MTU Mara kwa Mara - lazima something is wrong.
Halitakiwi kua mara kwa mara ila sio suala la kusema kwamba ni tatizo, wewe nikuulize swali unaweza kukaa muda gani bila kwenda chooni kunya unaweza kukaa Mwezi haujanya?
 
Jini mahaba kwenye mada yako yupo paragraph gani?
 
Hilo sio tatizo ila watu wanaliongelea tofauti tu, ukikaa miezi zaidi ya mitatu au minne iwe una umri wowote adolescent au adult hujakutana na mwanamke kwa mwanaume wet dream lazima ikupate hio ipo wazi kabisa, ndio hapo likaja suala la ndoa hivi mnafikiri ndoa ya mke na mume imeanzishwa na sababu zipi? Au mnaona ni fashion tu walioanzisha walikua wanafanya maonyesho tu?

Lakini km wewe kila siku unapatwa na wet dream basi wewe utakua na tatizo lingine tofauti na kawaida
 
Hiki kitu hakipo hakuna scientific proof ya haya makitu kwa hio msimezeshane upuuzi dawa ni kutembelea makaburi ndio utaelewa vizuri
Scientific proof ina limit haina perfection 100% ndiyomaana hadi leo hii haijathibitisha chanzo cha Binadamu na maisha baada ya kifo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Scientific proof ina limit haina perfection 100% ndiyomaana hadi leo hii haijathibitisha chanzo cha Binadamu na maisha baada ya kifo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ndio hivyo hivyo chanzo cha wet dreams ni assumptions tu ni sawa na wale wanaosema hakuna Mungu hakuna shetani ila kuna wapuuzi wanaamini kwamba Mungu yupo na shetani yupo huwaambii kitu
 
Ndio hivyo hivyo chanzo cha wet dreams ni assumptions tu ni sawa na wale wanaosema hakuna Mungu hakuna shetani ila kuna wapuuzi wanaamini kwamba Mungu yupo na shetani yupo huwaambii kitu
Binadamu tuko limited na upeo wetu kimaarifa, mfano respiratory system (oxygen and carbon dioxide in human body) bado kabisa haijathibitishwa by tangibility and visibility.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuja nbox
 
nashukuru sana ntaanza Leo hii hii
 
nashukuru sana ntaanza Leo hii hii
Soma mwezi mzima hii mistari ya biblia uishike kichwani

Luka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.

Zaburi 44:5
Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu;
Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao.

Zaburi 91:13
Utawakanyaga simba na nyoka,
Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.

Tatizo lako litaisha kwa Jina la Yesu
 
Amina nashukuru nafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…