Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Jini mahaba anasababishwa na upigaji punyeto wa muda mrefu ata hivyo majini wanamilikiwa na wachawi ndio ambayo huyatuma kwako kuja kubeba nyota yako ni vyema kabla ya kulala ufanya sala na Dua kukemea hayo mapepo wabaya kwa damu ya Yesu pia aamke usiku kufanya maombi kama yatakuja yakuja yatashindwa kufanya jambo hiloasilimia zaidi ya 90 maisha tunayoishi hutokana na machaguo tuliofanya jana. jitathmini staili yako ya maisha kitu gani unakiweka kwenye mfumo wako wa mawazo. muda wako mwingi unautumia kufanya nini?!. jini mahaba na hayo Mataka taka mengine hayaji hivi hivi isipokuwa wewe umeyapa nafasi.
kabla hujafikiria kuyatoa. fikiria kubadilisha mfumo wako wa maisha kama ulikuwa unakawaida ya kuangalia video za ngono, kufanya ngono kiholela ( ikiwa hujaoa). zote hizo ni source za mikosi na laana kwenye life lako. achana na takataka kwenye mwili wako.
Amua leo amua sasa ishi maisha yasio na mawaaa. soma neno la Mungu jizoeshe kuomba. hilo jini mahaba litakimbia lenyewe
Nini huwa kinatokea mtu mpaka anaingiliwa na majini haya?
Jini mahaba huwa anatumia sura ya mwanamke mzuri sana akiwa na umbo la kuvutia anamsogelea mtu aliyelala huku akiwa uchi kwa hitaji la kufanya ngono