comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
SomaMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Bro hujawah kukutana na watu wa aina hiyo ndio maana, nishawahi kua na mwanamke anayo tena Yule jini mkali kabisa, usiombe yakukute au imkute dada yako, ogopa sana mzee nishakutana na watu wa aina hiyo sio poa kabisaHakuna huo upuuzi suala la kufanya mapenzi ni subconscious mind ubongo una kawaida ya kuendelea kufanya kazi ukiwa umelala ni km tape ya cassette iliyowekwa pause ukiwa umelala ukiwa kwenye deep sleep ubongo unakuchagulia tape ya kuplay kisha ubongo inabonyeza play ndio hapo km ulitunza memory ulipokua unasex
SomaMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Na wewe soma hapaBro hujawah kukutana na watu wa aina hiyo ndio maana, nishawahi kua na mwanamke anayo tena Yule jini mkali kabisa, usiombe yakukute au imkute dada yako, ogopa sana mzee nishakutana na watu wa aina hiyo sio poa kabisa
Ukimaliza kusoma hio soma na hiiBro hujawah kukutana na watu wa aina hiyo ndio maana, nishawahi kua na mwanamke anayo tena Yule jini mkali kabisa, usiombe yakukute au imkute dada yako, ogopa sana mzee nishakutana na watu wa aina hiyo sio poa kabisa
Mimi siwezi kusoma maana nishakutana nayo hayo mambo na nayajua siwezi kusoma maandishi wakati kitu nilikiishi na mwanamke nliekua nae karibia miaka mitatu, hizo notes soma weweNa wewe soma hapa
Six Amazing Facts About Jinn According to the Holy Qur'an
Jinns are one of the scariest things we learn about in Islam! How much do you know about the jinn? Here are 6 facts taken directly from the Holy Qur'an.themuslimvibe.com
Pole mkuu, njia rahisi ya kuvunja mikataba ya kiroho zoezi la pumzi, lala chali ukiwa mtulivu then anza kuvuta na kutoa pumz kwa haraka, lifanye daily zoezi mikataba yote mibaya itavunjika na utakua sawa.Kwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego
Km ukiwa na dukuduku zaidi soma hapa kuongezea maarifaBro hujawah kukutana na watu wa aina hiyo ndio maana, nishawahi kua na mwanamke anayo tena Yule jini mkali kabisa, usiombe yakukute au imkute dada yako, ogopa sana mzee nishakutana na watu wa aina hiyo sio poa kabisa
Sasa wewe ndio nilikua nakutaka haya tuelezee sababu kuu ya huyo mwanamke kuingiwa na huyo kiumbe?Mimi siwezi kusoma maana nishakutana nayo hayo mambo na nayajua siwezi kusoma maandishi wakati kitu nilikiishi na mwanamke nliekua nae karibia miaka mitatu, hizo notes soma wewe
Hii inafanyaje kaziPole mkuu, njia rahisi ya kuvunja mikataba ya kiroho zoezi la pumzi, lala chali ukiwa mtulivu then anza kuvuta na kutoa pumz kwa haraka, lifanye daily zoezi mikataba yote mibaya itavunjika na utakua sawa.
Mimi sio mganga WA kienyeji, siwezi kujua sababu lakini naongea kitu nilichokiona, nayeye ALIIPATA hayo mambo tokea akiwa primary school, minaona tuishie hapa maana naona upo kwa aJili ya kubishana ..Sasa wewe ndio nilikua nakutaka haya tuelezee sababu kuu ya huyo mwanamke kuingiwa na huyo kiumbe?
Haya sawa wewe ushakumbana nayo sasa mwaga mchele elezea sababu kuu iliyofanya hicho kiumbe kitoke kwenye ulimwengu huo kuja kumuingia huyo mwanamke uliekua unaishi nae au na wewe ndio wale wale sababu kuu huijui?Mimi siwezi kusoma maana nishakutana nayo hayo mambo na nayajua siwezi kusoma maandishi wakati kitu nilikiishi na mwanamke nliekua nae karibia miaka mitatu, hizo notes soma wewe
Sawa wewe sio mganga wa kienyeji ila sasa tuelezee kwa experience yako uliambiwa sababu kuu ya yeye kuingiliwa na huyo kiumbe ni nini? Unajua hapa tusiwe tunapigana porojo tunabishiana kitu ambacho mtu huna maelezo ya kutosha eleza sababu kuu huyu kiumbe alimuingia kwa sababu moja mbili tatu hizi ndio zilizogundulika kua ni sababu kuu, sasa unaposema tu juu juu unakua hueleweki unashabikia tu kitu bila kua na maelezo ya kutoshaMimi sio mganga WA kienyeji, siwezi kujua sababu lakini naongea kitu nilichokiona, nayeye ALIIPATA hayo mambo tokea akiwa primary school, minaona tuishie hapa maana naona upo kwa aJili ya kubishana ..
Mimi najua uhalisia wewe Baki na unachokiamini
Am out
Haya kwa kukusaidia basi soma na hii ubongo ufunguke vizuriMimi sio mganga WA kienyeji, siwezi kujua sababu lakini naongea kitu nilichokiona, nayeye ALIIPATA hayo mambo tokea akiwa primary school, minaona tuishie hapa maana naona upo kwa aJili ya kubishana ..
Mimi najua uhalisia wewe Baki na unachokiamini
Am out
Sababu zipo nyingi Sana, mengine ya kurushiwa, linaweza likakuvaa tuu ukiwa unapita hasa asubuhi Sana, Tabia ya kukojoa chin ya miti mikubwa.Haya sawa wewe ushakumbana nayo sasa mwaga mchele elezea sababu kuu iliyofanya hicho kiumbe kitoke kwenye ulimwengu huo kuja kumuingia huyo mwanamke uliekua unaishi nae au na wewe ndio wale wale sababu kuu huijui?
Ukimaliza soma na hiiMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Aliekudanganya jini mahaba NI lazima amuingilie mwanamke NI Nani?? Jini mahaba anaweza akawa kwa mwanamke na asiwe anamuingilia ila anakua na kazi nyingineSawa wewe sio mganga wa kienyeji ila sasa tuelezee kwa experience yako uliambiwa sababu kuu ya yeye kuingiliwa na huyo kiumbe ni nini? Unajua hapa tusiwe tunapigana porojo tunabishiana kitu ambacho mtu huna maelezo ya kutosha eleza sababu kuu huyu kiumbe alimuingia kwa sababu moja mbili tatu hizi ndio zilizogundulika kua ni sababu kuu, sasa unaposema tu juu juu unakua hueleweki unashabikia tu kitu bila kua na maelezo ya kutosha
Babu babu babu nimekuita mara tatu wewe toa hizo sababu kwani unawahi wapi? Si uelezee sababu mboni unasema tena huwezi kuziweka hapa unataka ukaziweke wapi na umekuja hapa? Weka hapa hizo sababu moja baada ya nyingineSababu NI nyingi Sana siwez kuziweka hapa
Babu ndio uelezee hio kazi nyingine ni ipi au ni zipi mboni mnafichaficha? Elezea vizuri hizo kazi nyingine ni zipi dafadua moja kwa nyingine vizuri kwa utulivu kabisaAliekudanganya jini mahaba NI lazima amuingilie mwanamke NI Nani?? Jini mahaba anaweza akawa kwa mwanamke na asiwe anamuingilia ila anakua na kazi nyingine