comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hiyo ishu kwa mwanamke inakua mbaya zaidi maana hata kushika mimba inakua mziki, kama wewe mwanaume Una la kike yanakua na wivu Sana hayataki uwe na mwanamke, na ukilazimisha kua nae ukifika eneo la tukio mzigo unaweza kugoma kusimama, nicheki inbox kuna mtu anaweza kuksaidia ila yupo Arusha hayupo dar