reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hayo mandoto ya usiku unaota unafanya mapenzi na mtu?
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa hilo tatizo mkuu, labda nijaribu kushauri, kama kwa sasa uko kwenye mahusiano basi fanya siku moja moja mkae wote tu ndani (wewe unaweza kuvaa boxer tu na yeye kanga moja) bila kufanya tendo.
Unaweza ukaweka movie mkaangalia wote au mkafanya usafi, kupika etc kama ratiba za kila siku. Point yangu ni hii: nahisi akili/saikoloji yako inahitaji mazoea ya kuona mwili wa mwanamke kama ni kitu cha kawaida na wala sio kitu hadimu.
Ukishakuwa na "chemistry" wewe na mwanamke especially huyo ambae uko nae kwenye mahusiano naamini confidence ya tendo itaongezeka na utakuwa sawa kwake na hata kwa wanawake wengine.
Experience ya kutokuwa na wanawake huko nyuma inaweza ikawa ndo sababu.
Tuwekee picha mkuu.mtulatula
Hehehe..mwishoni pamenichekesha aiseeSijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
Amesema yeye mwenyew hainjoy kitu kwa sababu anawahi.Sijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
Sijawahi kuota ndoto ya aina hiyo. Ndoto ninazoota ni zile najikuta tu nimekaa na demu ninayemfahamu halafu katika kumshika shika napata hisia namwaga na mara nyingi nashtuka nikiwa napizi. Yaani ile pizi iliyosababishwa na ndoto nakuwa nai feel physically nikiwa na ufahamu wangu. So huwa ni kitendo cha sekunde kadhaa...sijawahi kuota nafanya ngono na mtu yeyeote kwa muda huo unaoudhania.mkuu wewe una JINI MAHABA, limekuelewa kinyama kiasi halitaki uwe unaenjoy na mademu wa kibinadamu. Halafu hujaeleza ukiota ndoto nyevu unaenda bao mja dk ngapi!?
Amesema yeye mwenyew hainjoy kitu kwa sababu anawahi.
Nashukuru kwa maoni na ushauri wako mkuu...Ila pengine unachokiongelea hukielewi kwa sababu huenda wewe ni mwanamke (Samahani kama utakuwa mwanamme). Lakini kwa mwanamme najua atakuwa ananielewa na anajua how it feels kuwa katika situation hiyo.Sijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
Naomba unishauri kuhusu meditation. Hii ikoje na naweza kuifanyaje?Hilo tatizo ni la kiakili...
".unahisi unatatizo kumbe huna,uku ukiendelea kutatuwa tatizo lisilo tatizo kumbe uhalisia unaunda tatizo usilokuwa nalo.'
(What you resist persist)--- ondoa kabisa fikra ya kupambana na hyo hali,kuwa kawaida kabsa,ukiwa na manzi fanya vile unavyojisikia....usijenge hisia yyte juu ya kuikabili hilo tatizo lako.
Najua ni kazi ngumu kuibadili/kuiaminisha akili but tumia njia ya meditation hii itakusaidia kwa wepesi zaidi na huenda ukaona mabadiliko baada ya miezi 2 au 3 mbele.
Pia usiogope kujichua kama imani yako inaruhusu but usifanya kwa kuzidisha kiasi.
Sijawahi kuota ndoto ya aina hiyo. Ndoto ninazoota ni zile najikuta tu nimekaa na demu ninayemfahamu halafu katika kumshika shika napata hisia namwaga na mara nyingi nashtuka nikiwa napizi. Yaani ile pizi iliyosababishwa na ndoto nakuwa nai feel physically nikiwa na ufahamu wangu. So huwa ni kitendo cha sekunde kadhaa...sijawahi kuota nafanya ngono na mtu yeyeote kwa muda huo unaoudhania.
Am a woman...bas sina la kuongeza mkuuNashukuru kwa maoni na ushauri wako mkuu...Ila pengine unachokiongelea hukielewi kwa sababu huenda wewe ni mwanamke (Samahani kama utakuwa mwanamme). Lakini kwa mwanamme najua atakuwa ananielewa na anajua how it feels kuwa katika situation hiyo.
Huwezi kujikubali ukiwa katika hali hii. Kumwaga before penetration?. Kumwaga baada ya takle 2 baada ya penetration?. Kwa zaidi ya miaka 6 sijawahi kwenda zaidi ya sekunde 10 na muda mwingine nashindwa kabisa kwenda bado unasema nijikubali. You have never been a Man na hautakuwa kamwe (kama wewe ni mwanamke) so hii hali huwezi kuielewa kiundani.
Yote kwa yote nashukuru kwa ushauri wako kuhusu kujenga confidence yangu. Nimejitahidi kuijenga na nitaendelea kuijenga. Asante sana.
Humu zipo mada nyingi kuhusiana na meditation(tahajudi) pitia pitia...Naomba unishauri kuhusu meditation. Hii ikoje na naweza kuifanyaje?