Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
And I like you so..🥰🥰Am a woman...bas sina la kuongeza mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And I like you so..🥰🥰Am a woman...bas sina la kuongeza mkuu
No komaa mkuuDaaaah! Wanaume tunapitia mengi sana.
Mimi nishakataga tamaa kabisa!
I'll b there!Thanks
U a welcome
Pole mkuu. Nawewe unapitia changamoto hii?Daaaah! Wanaume tunapitia mengi sana.
Mimi nishakataga tamaa kabisa!
Upwiru, huyu hapa anafaa kuwa daktari wako.Sijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
Kinondoni.Pole Sana
Umekulia Mkoa Gani
🙄🙄Vega mtumePole mzee..
Nilikua natamani kujua experience yako kwenye kutumia dawa kama Vega nk za kusimamisha mashine, ikoje
Matokeo ya experience iyo tunaweza angalau kujua tatizo lilipo
Mkuu watu wanaweza wasikuelewe ila hii kitu ina uhalisia.Mimi kwangu nyeto ilikua therapy kuji balance.Sina mengi ya keueleza hapa 😂Anza kufanya masturbation kama namna ya kucontrol na kuujua mwili wako kimapenzi
Yeah mtulatula nimewahi kuisoma mahali inasaidia kuimarisha haja ya tendo hasa kwa MePole sana ndugu, nimeumia pia kwa ajili yako hasa nikifikiria kuna wakati napiga show mpaka naamua kuahirisha bila kumwaga,
Jaribu kuwa unatumia mizizi ya mtulatula unatoa maganda ya juu unakwangua na kisu kisha unatafuna,naamini inaweza kukusaidia na pia hata isipotatua tatizo bado haina madhara yoyote kiafya,pole sana
Huu hapaAsante sana ndugu yangu kwa kuyahisi maumvi yangu. Bahati mbaya huo mtulatula siufahamu. Pengine naufahamu kwa jina jingine na nitashukuru ukinifafanulia zaidi au hata picha.