Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

mkuu wewe una JINI MAHABA, limekuelewa kinyama kiasi halitaki uwe unaenjoy na mademu wa kibinadamu. Halafu hujaeleza ukiota ndoto nyevu unaenda bao mja dk ngapi!?
 
Hilo tatizo ni la kiakili...

".unahisi unatatizo kumbe huna,uku ukiendelea kutatuwa tatizo lisilo tatizo kumbe uhalisia unaunda tatizo usilokuwa nalo.'

(What you resist persist)--- ondoa kabisa fikra ya kupambana na hyo hali,kuwa kawaida kabsa,ukiwa na manzi fanya vile unavyojisikia....usijenge hisia yyte juu ya kuikabili hilo tatizo lako.

Najua ni kazi ngumu kuibadili/kuiaminisha akili but tumia njia ya meditation hii itakusaidia kwa wepesi zaidi na huenda ukaona mabadiliko baada ya miezi 2 au 3 mbele.

Pia usiogope kujichua kama imani yako inaruhusu but usifanya kwa kuzidisha kiasi.
 

Nasisitiza fanya iv jitahid umzoee mwanamke espe akiwa uchi ili awe kitu cha kawaida kwako
 
Sijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
 
Hehehe..mwishoni pamenichekesha aisee
 
Amesema yeye mwenyew hainjoy kitu kwa sababu anawahi.
 
mkuu wewe una JINI MAHABA, limekuelewa kinyama kiasi halitaki uwe unaenjoy na mademu wa kibinadamu. Halafu hujaeleza ukiota ndoto nyevu unaenda bao mja dk ngapi!?
Sijawahi kuota ndoto ya aina hiyo. Ndoto ninazoota ni zile najikuta tu nimekaa na demu ninayemfahamu halafu katika kumshika shika napata hisia namwaga na mara nyingi nashtuka nikiwa napizi. Yaani ile pizi iliyosababishwa na ndoto nakuwa nai feel physically nikiwa na ufahamu wangu. So huwa ni kitendo cha sekunde kadhaa...sijawahi kuota nafanya ngono na mtu yeyeote kwa muda huo unaoudhania.
 
Nashukuru kwa maoni na ushauri wako mkuu...Ila pengine unachokiongelea hukielewi kwa sababu huenda wewe ni mwanamke (Samahani kama utakuwa mwanamme). Lakini kwa mwanamme najua atakuwa ananielewa na anajua how it feels kuwa katika situation hiyo.

Huwezi kujikubali ukiwa katika hali hii. Kumwaga before penetration?. Kumwaga baada ya takle 2 baada ya penetration?. Kwa zaidi ya miaka 6 sijawahi kwenda zaidi ya sekunde 10 na muda mwingine nashindwa kabisa kwenda bado unasema nijikubali. You have never been a Man na hautakuwa kamwe (kama wewe ni mwanamke) so hii hali huwezi kuielewa kiundani.

Yote kwa yote nashukuru kwa ushauri wako kuhusu kujenga confidence yangu. Nimejitahidi kuijenga na nitaendelea kuijenga. Asante sana.
 
Naomba unishauri kuhusu meditation. Hii ikoje na naweza kuifanyaje?
 

Mkuu mpaka hapa ...tatizo lako ñi moja tu ... inaonekana una hisia Kali Sana ile kumshika mwanamke mapaja au kalio ,kumnyonya denda ,au chuchu hisia Kali zinakupanda na kumwaga mapema .....


Nimeona unasema kuwa huwa ukiwa inacheza disco na mwanamke ile umembambia ,akiwa anakupa ushirikiani unajimwagia mwenyewe .....

Mkuu hio ni madhara ya kuangalia video za ngono na punyeto trust me ....ushaharibiwa kiubongo na hata umme utakuwa hausimami kwa nguvu zote ......!

Achana na hayo mambo na jichanganye na wanawake ,penda kupiga nao story uwaone wa kawaida ,hata ukiona Tako basi ngoma inasimama tu ila kumwaga inakuwa ngumu mpaka uisugue ....

Najua hujasema hayo ya punyeto na video lakin kwa maelezo hayo ,inaonekana hivo vitu hapo juu umefanya Sana .....
 
Am a woman...bas sina la kuongeza mkuu
 
1. Wakati wa mchana tafuta kitu kitakachokufanya uwe busy kabisa usiwaze ngono, unapata wet dreams sababu ngono iko mawazoni, ngono inaplay subcounsciously kwa kuwa uko ON all the time, yaani mawazo ya ngono yako activated all the time. cha kufanya ni ku Switch OFF kwa kutoipa nafasi/muda ubongo wako kuwaza ngono. Moja ya stratergy ya ku switch off mawazo ya ngono ni kui occupy brain yako na alternative thoughts , tafuta hobby nyingine unayo ipenda, ifanye, labda kuogelea, sio tu uta enjoy kufanya hivyo, ila utakuwa huupi ubongo wako nafasi kufikiri ngono. utalala vizuri bila wet dreams, na ukilala bila wet dreams for few days utajiskia confident kuwa huna tatizo hilo....it all start with your brain hamna uchawi
 
First and foremost, kama u are that confident, a man shouldn be afraid of criticisms. Its a fukd up world. Hao watu watakaokudhalilisha and all that, u should be able to take it, so don't seek sympathy from people, ur life is yours to control. Sasa hilo tuweke kando, twende kwenye issue yako. Ntakueleza a bit from medical and psychological perspective.
Sex is more psycholpgical than physical. U https://jamii.app/JFUserGuide a woman in ur mind before you use ur dick (sijui ntapigwa ban, maana tafsida ni ngumu!). The brain ikishaamua abt sex inlead to blood flow to the penis ili mnara usome 5G. Sasa hapa unaona kbsa kua important things ni mbili. Brain and penis! Brain inabd ujue jinsi ya kucontrol hisia zako hasa hasa unapokaribia point of no return (kupizi). Na hapo mostly ni kuichenga akili to think of somethng else. Tukija kwenye penis, lazma unue ule ni msuli na unahitaji blood supply ili ufunction. So u need foods ambazo zinaongeza blood supply kwenye uume. Mfano vitunguu swaumu, komamanga (i thnk linaitwa hvo), tikiti maji, ndizi, parachichi n.k. pia unahitaji mazoezi ya uume ili kucontrol ejaculations.kegel exercises, start amd stop technique, squats ili kuimarisha misuli. Ni mambo mengi. Kuna kitabu kinaitwa multiorgasmic man, kinaongelea on how to have multiple orgasms. Sasa issue yetu wabongo hua ni kusoma. Subr nione if kinaeza kua uploaded hapa jf nikiweke kwa faoda yawengi.
Pamoja na hili bandiko refu, my nigga uko standard. Jus know every man goes through that at some point in life but with time u get through it. Pia wacha kuwa na lile wenge la "leo italala kama jana" before hujachakata. Likiwepo tu, tayari umefeli hata usihangaike. Kikubwa tunashauro tafta dem ambae amaeza kua muelewa akusaidie kwenye hili, coz mtaendabtarataibu as u build ur confidence mpka uanze kupeleka moto vzur. Shida hua ni kumpata ambae ni muelewa.
 
Jaribu kujichua uone inakuwaje, muda mwingine husaidia.
 
Naomba unishauri kuhusu meditation. Hii ikoje na naweza kuifanyaje?
Humu zipo mada nyingi kuhusiana na meditation(tahajudi) pitia pitia...

Pia unaweza ukagoogle kuna tips mbali mbali kuhusu meditation...

Ukipitia na ukakwama sehemu usisite kuuliza tunaweza tukasaidiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…