ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
Utajitesa bureMwanaume ni kusugua mbususu mpaka iwake moto
Mwanaume una kojoa aje sekunde mbili kama kuku? Twanga papuchi kama unacheza RugbyUtajitesa bure
Upo vizuri mkuu, embu jaribu maombi piaNimejaribu kusoma sehemu zote sijaona kasoro isipokuwa hapa nambari 7 nimejikuta napata mawazo tu, isijekuwa una ile kitu waamini waliodeep kwenye mambo ya kiroho wanaita "spiritual wife"...
Ambayo kuna watu wa kike na kiume imekuwa inawasumbua kwenye maisha yao ya kingono na wenzi wao kiasi kwamba wanajikuta wanaishi wenyewe tu bila mahusiano au ndoa...
wanawake wengi ni waelewa sema hofu yao ni ile ile kuwa ukifanikiwa tu unamuona hafai unaanza chakata ulizokuwa unazi admireFirst and foremost, kama u are that confident, a man shouldn be afraid of criticisms. Its a fukd up world. Hao watu watakaokudhalilisha and all that, u should be able to take it, so don't seek sympathy from people, ur life is yours to control. Sasa hilo tuweke kando, twende kwenye issue yako. Ntakueleza a bit from medical and psychological perspective.
Sex is more psycholpgical than physical. U JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala a woman in ur mind before you use ur dick (sijui ntapigwa ban, maana tafsida ni ngumu!). The brain ikishaamua abt sex inlead to blood flow to the penis ili mnara usome 5G. Sasa hapa unaona kbsa kua important things ni mbili. Brain and penis! Brain inabd ujue jinsi ya kucontrol hisia zako hasa hasa unapokaribia point of no return (kupizi). Na hapo mostly ni kuichenga akili to think of somethng else. Tukija kwenye penis, lazma unue ule ni msuli na unahitaji blood supply ili ufunction. So u need foods ambazo zinaongeza blood supply kwenye uume. Mfano vitunguu swaumu, komamanga (i thnk linaitwa hvo), tikiti maji, ndizi, parachichi n.k. pia unahitaji mazoezi ya uume ili kucontrol ejaculations.kegel exercises, start amd stop technique, squats ili kuimarisha misuli. Ni mambo mengi. Kuna kitabu kinaitwa multiorgasmic man, kinaongelea on how to have multiple orgasms. Sasa issue yetu wabongo hua ni kusoma. Subr nione if kinaeza kua uploaded hapa jf nikiweke kwa faoda yawengi.
Pamoja na hili bandiko refu, my nigga uko standard. Jus know every man goes through that at some point in life but with time u get through it. Pia wacha kuwa na lile wenge la "leo italala kama jana" before hujachakata. Likiwepo tu, tayari umefeli hata usihangaike. Kikubwa tunashauro tafta dem ambae amaeza kua muelewa akusaidie kwenye hili, coz mtaendabtarataibu as u build ur confidence mpka uanze kupeleka moto vzur. Shida hua ni kumpata ambae ni muelewa.
gari itazima ktkt ya safari (itasinyaa ikiwa ndani)Unapokuwa na mpenzi wako, jaribu kuhamisha mawazo, hii itakusaidia. Kwa mfano wakati unaingiza kitendea kazi chako, jaribu kuwaza kule kwenu mzee amepigwa na nondo kichwani, huku ukiendelea ku-pump. Fanya hivyo hivyo baadaye utazoea
hii imekaa kiutam sanaThanks
U a welcome
No one like you mkuu, bonge la ushauri. Nilikua nikiwaza kumshauri hivi ila nisingeweza kabisa kuiweka ulivyoiweka. Big up brother [emoji123]Pole sana kwa hilo tatizo mkuu, labda nijaribu kushauri, kama kwa sasa uko kwenye mahusiano basi fanya siku moja moja mkae wote tu ndani (wewe unaweza kuvaa boxer tu na yeye kanga moja) bila kufanya tendo.
Unaweza ukaweka movie mkaangalia wote au mkafanya usafi, kupika etc kama ratiba za kila siku. Point yangu ni hii: nahisi akili/saikoloji yako inahitaji mazoea ya kuona mwili wa mwanamke kama ni kitu cha kawaida na wala sio kitu hadimu.
Ukishakuwa na "chemistry" wewe na mwanamke especially huyo ambae uko nae kwenye mahusiano naamini confidence ya tendo itaongezeka na utakuwa sawa kwake na hata kwa wanawake wengine.
Experience ya kutokuwa na wanawake huko nyuma inaweza ikawa ndo sababu.
Salaam wakuu
Hii ni stori yangu ya kweli kuhusu jambo linalonitesa na kuniumiza kwa muda wa mrefu sasa. Nitaweka kila kitu wazi katika angle zote ili niweze kupata msaada. Tafadhali sana, naomba kwa yeyote atakayeweza kunipa mawazo ya kunisaidia asisite kufanya hivyo. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Sasa twende moja kwa moja kwenye Mada. Tatizo langu hasa ni UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka chini ya 30. Mkasa wangu unaanzia mbali sana wakati nasoma shule ya sekondari. Mimi ni mmoja wa wale vijana ambao aibu ilikuwa inatutawala na tulichelewa sana kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi licha ya mara kwa mara kuwa na tamaa za kimwili kama binadamu wengine.
Kama nilivosema awali, nilichelewa kujihusisha na mapenzi sio kwamba sikuwa na matamanio, bali ni uamuzi wangu binafsi niliokuwa nao. Katika kipindi chote hicho, kuna mambo yaliyokuwa yananitokea ambayo nilikuwa nayaona ni kawaida tu. Mfano, unajikuta labda uko kwenye mziki unacheza na binti yupo mbele yako. Katika hali ya kucheza nae unashangaa umepata msisimko wa ajabu na kujikuta ukijipiga bao. Hii hali ilikuwa ikinitokea lakini sikushituka kwasababu nilihisi kabisa labda kwakuwa sijawahi kushiriki tendo la ndoa, basi vile vitu vinakuwa vimejaa sana. Nilikuwa nachukulia kawaida. Mfano wa pili ni ile hali inakutokea upo kwenye mtihani au unafanya shughuli yoyote ya haraka na muhimu. Mara ghafla unaambiwa muda umekaribia kuisha. Unajikuta napata msisimko wa hatari na kujipiga bao. Hii ilinitokea huko nyuma wala sikujali kwa sababu niliamini chupa kimejaa kwa sababu sijawahi shiriki tendo la ndoa.
Lini sasa niligundua kuwa nina tatizo?
Baada ya kumaliza kidato cha sita nikiwa na miaka 22, hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kushiriki tendo la ndoa. Kabla ya hapo sikuwahi kushiriki tendo hilo na wala sikuwahi kuwa na hofu yoyote juu ya tendo hilo wala upungufu wa nguvu kwasababu sikuwahi kuona weakness yoyote kwenye mwili wangu.
Naikumbuka jioni moja ya mwezi Mei miaka 7 iliyopita. Nilikuwa na miadi na mtoto ambaye nilikuwa kwenye mahusiano naye. Ile tumefika guest, shauku ikawa juu sana na katika kuandaana pale pale nikajikuta namwaga...kabla hata sija penetrate. Ile hali ilinishangaza sana kuona uumea umesinyaa na kuwa kama wa mtoto. Nikajiuliza kwa kupanic hiki ni nini? Kwasababu sikuwahi kuelewa chochote kuhusu kujamiiana na wala sikujua kama halia ya kusinyaa uume huwa inatokea kwahiyo nilipanic. Mtoto alikuwa mzoefu hivyo alinituliza pale na kuniambia ni hali ya kawaida. Basi shughuli ikawa imeishia pale. 15k yangu ya chumba ikapotea.
Nakumbuka siku ile sikulala vizuri. Nilikuwa na mawazo sana na niliwaza maisha yangu yatakuwaje kama niko vile. Mtoto aliendelea kunifariji na kunipa moyo na maisha yakaendelea.
Baada ya pale niliendelea na mahusiano na yule binti. Na tulikutana kimwili mara kwa mara. Lakini katika mara zote nilizokutana nae bado bao la kwanza lilikuwa linanitoka hata kabla sijamuingia. Ni ile katika kupeana romance na maandalizi najikuta nimemwaga. Nakaa muda wa dakika kadhaa uume unasimama na najaribu kupenetrate ila simalizi dakika namwaga. Sio kwa raundi ya pili au ya tatu. Sijawahi kuzidi sekunde 30. Siujui huo utamu na inaniumiza sana
Kama walivyowanaume wengi, matamanio ni maisha yetu. Hivyo nilikuwa na mahusiano na mabinti wengine pia. Lakini kote huko niliishia kuumbuka. Nikijitahidi sana basi lile bao la kwanza litakuja baada ya kupiga takle mbili tatu. Na hapo nafanya bila kumuandaa mwenza wangu maana nikisema nimuandae tu namwaga hata kabla sijavua nguo. Ni mateso sana. Naumia na inaitesa sana hii hali.
Kiufupi sijawahi kufurahia sex. Kwangu mimi kwenda dakika moja bila kumwaga ni muujiza sana achilia mbali kwenda nusu saa. Sijawahi kuzidi sekunde 30. Sio kwa bao la kwanza, la pili au mia moja. Inaniumiza sana.
Napata hamu ya ngono ila sina uwezo wa kufanya ngono. Huniumiza sana kimoyomoyo nikikaa na wenzangu wakiwa wanafurahia faragha zao. Natamani wangejua mateso ninayopitia kijana mwenzao. Nina kila kitu ila sina furaha ya mapenzi. Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa nipo katika age anbayo natakiwa kuwa na familia. Kuna binti nampenda sana, nayeye ameonesha kunipenda ila huwa namkimbia. Sitaki kuaibika. Hata kununua malaya siwezi kwasababu nisawa na nitapoteza hela yangu bure. Kuperform chini ya nusu dakika ni zaidi ya showtime. Ni fedheha na maumivu makubwa sana.
NB:
1. Asilimia kubwa ya maisha yangu nimekulia mkoani ambako vyakula vya asili ndio vyakula vyetu. Maisha yangu hayana uzungu kusema labda aina ya vyakula ninavyokula.
2. Katika maisha yangu sijawahi kujichua.
3. Mi ni kijana ninaecheza soka. Kwahiyo mazoezi yamekuwa ni sehemu ya maisha yangu toka enzi hizo.
4. Sidhani kama ni swala la kisaikolojia maana kama confidence ninayo. Siku ya kwanza nakutana na mwanamke nilikuwa niko sawa kimwili na kiakili. Sikuwa na hofu yoyote. Hata baada ya yaliyotokea. Yalinitesa mwanzoni ila badae nikajijenga kisaikolojia na kujiamini lakini bado.
5. Katika kukua kwangu nimesumbuliwa sana na gesi tumboni. Nimekuwa mbovu wa tumbo toka enzi za utoto.
6. Kipindi fulani cha maisha yangu nilikuwa na fungus sehemu za siri kwa muda mrefu sana.
7. Hadi leo bado nateswa na wet dreams, kuna muda hata bila kuota naamka najikuta nimechafuka.
8. Kuna muda uume wangu unasinyaaa na kuwa mdogo sana kama wa mtoto wa primary. Ila kikawaida nikiwa katika full erection, uume wangu ni inch 6.
9. Nina hisia zote za kimwili. Inshu kubwa ni perforamce. Naweza nikiwa nimekutana na mwanamke namtongoza au mtoto yeyote mzuri ambaye sijamuweka katika kundi la marafiki. Basi huwa nasimamisha uume. Niko active sana. Mtu akiniona anaweza sema huyu jamaa hatari maana uume unasimama active sana ila kimbembe nikifika room. Nusu dakika haizidi. Hiyo ni kwa kila round.
10. Sijawahi tumia mkongo wala viagra.
Nimeweka NB hapo juu ili kwa mtu mwenye nia ya dhati ya kunishauri aweze kujua kila kitu na kuondoa assumptions. Niliwahi kumfungukia baba yangu mzazi ambae hadi leo anaumia kwa ajili yangu. Amepambana sana kwa ajili yangu lakini bado. Anaumia sana kama mzazi.
Imefikia hatua nimekata tamaa ya kupona. Sielewi tatizo ni nini. Mateso ninayopitia ni zaidi ya kusimulia. Najua kwa mwanamme yeyote anajua thamani ya uanaume wake. Kwangu mimi ni tofauti.
Naumia, nateseka na ninahangaika sana. Nimekuja kwenu nikiamini kwenye wengi kuna mengi. Naomba kwa yeyote mwenye kuwa na mawazo namkaribisha sana.
Mimi ni binadamu ambaye sijapenda kuwa hivi. Kwa yeyote atakaekuja na comments za kejeli na dharau ajue kabisa kuwa zitaniumiza na kunipa machungu sana kwasababu sikuchagua kuwa katika hii hali. Najua watu wa aina hiyo hawakosekani ila ni vema tu ukihisi unataka kunikejeli ufikirie mara mbili kabla ya kuniumiza kwa maneno ya dhihaka. Mpaka nakuja hapa nimefikia kiwango cha mwisho cha kukata tamaa. Sihitaji kingine zaidi ya msaada na faraja. Nitawasamehe wote watakaonidhihaki ila sitawasahau kwa jinsi watakavyokuwa wameniumiza sana.
Ndugu zanguni, hili tatizo lisikie kwa mwingine. Ni tatizo kubwa sana. Linatesa na kuumiza sana. Watu wana familia zao, wana mademu zao na wanaenjoy maisha yao ila nipo mimi ambaye kwa nje ni furaha ila kwa ndani ni huzuni kubwa sana. Sio uongo, ni kweli nakimbia wanawake. Nakimbia kuficha aibu yangu. Sifurahii hii hali ila nitafanyaje???
Naamini panapo uhai nitarudi na ushuhuda wa kupona hapa mbele yenu. Imani hiyo ni kubwa sana. Karibuni sana kwa msaada ndugu zang
Pole sana, ulijaribu tiba mbadala? Unaishi mkoa gani?Salaam wakuu

Naamini panapo uhai nitarudi na ushuhuda wa kupona hapa mbele yenu. Imani hiyo ni kubwa sana. Karibuni sana kwa msaada ndugu zangu.
Pia wanawake uliowahi kukutana nao walikuwa wabakwambiaje? Walikuwa wanakwambia maneno ya kejeli? Maana hiyo inaongezaga ukubwa wa tatizo.Salaam wakuu

Umejuaje kama wanaume wengi wanawahi?Sijui labda sijaelewa...mbona mi sioni tatizo hapo mkuu...maana kusimama inasimama,kufanya unafanya ila unawahi....kuwahi mbona asilimia kubwa wanaume wengi wapo ivo.Unataka wote wafungue nyuzi hapa?...kuna watu haisimami kabisa na wamekubali kula bata na pesa zao na hawaachi kutafuta pesa ila wameachana na masuala ya mapenzi....mi nahisi shida uliyonayo ni kujikubali tu ....jikubali kamanda ondoa hofu....kama utakaefanya nae anajisemesha kwa kutokuridhika we inuka vaa nguo mpe ya kuoshea mbususu then sepa ......atakutafuta tu....wanawake na pesa ni kilele tosha....uchumi wenyewe huu
Pole sana ila nikurekebishe hapa sio kwamba haupati raha ya kufanya mapenzi maaa raha ya mapenzi kwa mwanaume ni kumwaga yaani ule utam ukiwa unaachia bao ndio burudani kwako kitu ambacho pia na wewe unakipata, mambo mengine ni mbwembwe tu yaani ni furaha physical yaani unafurahi ile unaona umemkunja mwanamke unaempenda.
Ile unaskia anagugumia na kutoa sauti za mahaba anavyojinyonga nyonga ndio furaha ambayo pengine unakosa Ila ule utam wenyewe kwa mwanaume unapatikana wakati unamwaga tu, pia pengine hauna tatzo lolote kibaya umeshajijengea kisaikolojia kuwa uko hivyo tangu day one kwa hiyo kila ukikutana na mwanamke unakuta ndani ya nafsi yako tayari unamajibu ya mchezo kwa hiyo unachofanya ni kwenda kukamilisha tu ratiba ambayo tayari ushaipanga kichwani.
Ushauri usitumie pesa yako kwenda kununua dawa za nguvu za kiume UTAPIGWA, NARUDIA TENA UTAPIGWA HAKUNA KITU KAMA HIYO, nakupa akili ya ziada utanikumbuka Siku ukipata mwanamke hakikisha unakunywa pombe, na sio unywe pombe hakikisha unalewa ili pombe ikusaidie kuondoa mawazo ambayo yamejijenga kichwani mwako ambayo hukuletea matokeo katika tendo hakikisha umelewa haswa alafu anza shoo, ukishinda niletee pesa yangu PM ambayo ungetumia kununua dawa za wapigaji.
Siyo kweli, Raha Huwa tunaisikia kuanzia kabla hata hatukojoa, Inamaana wewe kabla ya kukojoa husikii Raha kabisa!!?? Unasikiaga nini sasaPole sana ila nikurekebishe hapa sio kwamba haupati raha ya kufanya mapenzi maaa raha ya mapenzi kwa mwanaume ni kumwaga yaani ule utam ukiwa unaachia bao ndio burudani kwako kitu ambacho pia na wewe unakipata, mambo mengine ni mbwembwe tu yaani ni furaha physical yaani unafurahi ile unaona umemkunja mwanamke unaempenda.