Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Biashara ya utumwa na uislam vina uhusiano itakuwa. Kwasababu umejaribu kutetea lakini hao mawakala ni waarabu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo waislam ndo walikuwa wanafanya biashara ya utumwa peke yao dunia nzima!

NB:
Siwatetei waarabu kwa unyama wanaotufanyia waafrika tena nawachukia mno.....ila mambo ya kiimani sidhani kama yanaingiliana hapa ila nachojua mtu akiwa na tabia mbaya au roho mbaya haiwezi kuhusiana na imani yake
 
Ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you a Whiteman?
 
Ndo maana nikasema sisi mnatuona kama waungu wenu
Waungu gani kwani Zanzibar inaizidi nini Tanganyika. Kuanzia rasimali mpaka ardhi, idadi ya watu, mnaendeleo, viwanda. Kwanza hata umeme mnategemea utoke Bara mpaka visiwani. Ninyi ndio wategemezi. We unafikiri Sisi tunategemea nini Zanzibar. Niny ndio mnaongoza kuitaja bara . O bara wanatunyonya . Mnanyonywa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa Eti mmetuzidi maendeleo hayo maendeleo yako wapi ...baraka ya njaa na dhiki ...umshukuru Nyerere tu wewe bila ya yeye mpaka leo usingelikua unacomment kwa kiswahili hapa!!!
 
estupide
 
nakubali ...ila yote kwa yote waarabu ni wapumbavu
 
Mabolozi wetu wa huko huzibwa midomo kwa mlungula mnene wa pesa za mafuta...hawawez sema kitu.
Raia wetu wa huko ni vizur waje nyumbani tuvumilie wote njaa maana si kwa mateso hayo...
 
Uminywaji wa democracy, ufinyu wa ajira na ugumu wa maisha uliopo nchini ndo hupelekea vijana kwenda uarabuni kutafuta maisha
 
Ukweli nimejaribu kufatilia sana na kuna dada wawili waliendaa oman , kwa kipindi kirefu ...wakaja na shuhuda za uwongo eti wanalipwa mshahara mkubwa laki 7 kwa mwezi katika kuchunguza na kudadisi kumbe ni sh 75,000/- tu kwa mwezi

Na wengine wanafanyishwa mpk kazi za ukahaba matako yalishalegea wakifika huko wananyangwanya pasport na maajent wao

Wengine wananyofolewa mpk figo na maini yanaenda kuuzwa hospital kubwa kwa ajili ya tras planting kwa matajiri wenye hela zao

Dar es salamu na mombasa ndio kumejaa sana hao maagent wa kuwapeleka nje ambao wao kila mwezi wanapata kamisheni kupitia mishahara ya walio wapeleka

Waarabu co watu wazuri makatili sana ... Dada zangu nawasihi msiwe wepesi kiasi hicho ...kuahidowa mishahara mizuri hao ni waongo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…