Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman


MHF.
 
Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mung
😂😂 mwingine huyu 👇
Usiwaseme vibaya wa arabu,waafrika wanateswa hata hapo South Afrika,tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao!tuache unafiki,ubaguzi upo sehemu zote,ngozi nyeusi inateswa popote pale,
 


Bro tuanzie hili wa kufungana kwenye viti ndio hoja ya msingi kabisa!

Sisi tukianza kuwapiga hivi waarabu si Dunia nzima itasema?
 
wakimtumia mange hii video itaenda viral balaa, lazima ubalozi wajitokeze kupinga dadeki!!!
Itawafikia tu wote, TAARIFA ZA UHAKIKA KWA MARA YA MWISHO UBALOZI WA TANZANIA KUFANYA KIKAO NA WATANZANIA OMAN ILIKUWA NI MWAKA JANA MWEZI WA 3, HADI LEO HAWANA MREJESHO WOWOTE WA KILICHOTOKEA KWA WATU WAO KWA MWAKA NA ZAIDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnafikiri hao mashetani waarabu wanaamini kwamba biashara ya utumwa imeisha? Kwao wanaamini watu weusi bado ni watumwa wanaouzwa na kununuliwa madukani kama kuku tu, na bado tunaenda tu. Huu uzi naunganisha na ule uzi wangu wa utumwa katika picha.

 
Jamaa aliwekwa bond na drug dealers jamaa wameuza mzigo pesa hawajalipa kwa mwarabu
 
Kwa hiyo wewe hutaki watu walalamike? Au wewe ni Mwarabu na inaonekana wewe ndiyo miongoni mwa wanyanyasaji.
 
Duh au jamaa alikuwa ameiba ubwabwa wa kwenye shughuli za mashekhe
 
Kaka uwe unaandika ukiwa na uhakika. Ramaphosa amekemea vikali sana kuhusu hili lakini kiongozi mkubwa wa upinzani Julius Malema amewaambia Wasouth ni bora hata wasimpe kura uchaguzi wa May kuliko kuendelea kuwaua na kuwaharibia biashara Waafrika wenzao. Fuatilia hotuba hizo YouTube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nadhani mmoja wa mawakala wa kupeleleka hao ndg zetu huko....Hujaskia kauli ya Rais wa SA? auj kauli ya JULIUS MALEMA? Ww ndg wale wa SA ni ugomvi kwa ajili ya ajira,je na huyo aliefungwa kwenye kiti na kuzibwa mdomo nae anagombea ajira na hao watesi wake? Acha uzwazwa na ushamba kutetea mijitu yenye roho ya kishetani!

East and west home is the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…