Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka balozi zetu.
Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu.
Nina uhakika idadi na taarifa zao mnazo ila ni uvivu tu wa kuwafatilia na kujua wanaendeleaje.
Maeneo au MACHINJIO ya waafrika wengi ni SAUDI ARABIA NA OMAN....HAYA NI MAENEO HATARI SANA SIO KAMA DUBAI AU QATAR, TAFADHALI BALOZI ZA OMAN NA SAUDI ARABIA SAIDIENI WATANZANIA.
View attachment 1070124
Sent using Jamii Forums mobile app
MHF.