Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Well said , ndio maana nimesema balozi ziwe zinafatilia changamoto mbalimbali za watu wao huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwarabu anatumia physical torture wakati mzungu anatumia psychological torture, wote ni mawakala wa ibilisi
 
Huko nyumbani wanajua kuamrisha watu kuja kuripoti police tu
Lakini huu utaratibu wangeufanya pia kwenye balozi na kuwaambia hao wanaowadhamini na kuwachukua watoto wetu wawe wanawaleta au kuwatuma wafike balozini mara moja kwa mwezi na hiyo iwe kwenye mkataba anaosaini huyo Mwarabu.
Najua ubunifu ni zero kwa watu waliopewa majukumu na Rais yaani wanakula bata tu huko na hata fursa za kuchangamkia hawazioni wamefungwa macho na ufahamu.

Hakuna kusaini mkataba bila hicho kipengele kwani wanaingiza $ ngapi hao ndugu zetu kwa mwaka? Au wanaajiri engineers?
Wanawatumikisha masaa 20 kwa siku halafu na kuwapiga juu na kuwabaka juu halafu mnashindwa kuwa protect
What a shame
Kama mnashindwa kuwaangalia na kuwajali bali msitoe hizo ajira

Kuwaoana kila mwezi itasaidia sana hata kama wakilalamika kuwa wanapigwa au hawawezi kufanya kazi hizo masaa 20 unafuta mkataba with immediate effect
Hakuna kumbeba mfadhili kama anatuingizia mabillion kwetu HELL NO

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mmeacha kukaza matako hapa nyumbani, mnakwenda kulegeza huko kwa wanaume wenzenu, wacha wawavuruge na malinda kabisa pumbaavu.

Mbaga zaidi unakwenda nchi za watu ukijua kabisa security kwako ni zero, unajichanganya kwenye mitikazi siyi, wizi, utapeli, uvivu nk, unategemea muujiza gani[emoji4][emoji4][emoji4]
 

Uislam ni dini ya HAKI[emoji41]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaonewa sana mkuu na mabalozi wamekaa kimya
Na serikali haijali raia wake pia
Nchi kama UK hata mwananchi akihukumiwa kifo nchi nyingine watahakikisha mpaka waziri mkuu anaingilia au kwenda kabisa huko kumtoa.

Itakuwa wa kwetu wanaobakwa kila kukicha na hakuna wa kuwatetea
I wish I could be Balozi


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwahiyo fujo zimestopishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wahindi ni ovyooo zaidi ya ovyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unafiki upo wapi?? Hujaona post humj watu wakilalamika kihusu yanayo endelea south??

Na hii post inahusu uarabuni huko,hakuna cha unafiki hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wahindi ni ovyooo zaidi ya ovyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hii ina maajabu sana
Wahindi huko Africa wanatamba kiasi anaweza hata kukufunga kwa nguvu ya hela
Lakini najua hali zao pia huko uarabuni ambapo kazi zao ni za ndani na kusafisha vyombo na kukata garden yaani the worst jobs ndio wanafanya na makofi juu

I was there for many years na nimeshuhudia wakitumiminia kahawa huku wamesimama for hours (wakome)

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mnalalamika nini hapaa sasa..
Dini mmeletewa..mkaacha zenu mkafuata za muaarabu..

Huwezi dhaminiwa kama ww hujidhamini..acha achapwe zaidii akitoka hapo akili zitakaa sawa..

Yeyote atakae acha vyakwake akaenda kwa mwingine atabaguliwa tuu..yanii wawatandike hata na fimbo za misumari..kuondoa huo Ukumbafu uliootasugu kichwani
 
Tatizo taarifa tunapata na video clip za kutosha ila watu bado wanakuwa wabishi wanataka tu kwenda huko bora tubaki hapa na master wetu CCM kuliko kwenda kuwa na master mwarabu wale wanadharau sana hasa watu wasio wa nchi yao

mpuuzi mpuuzi tu
 
Kwa asili waarabu ni watesaji mno. Wana silka ya utesaji wanapopata nafasi. Wanaoenda huko ni vizuri wakawa na contacts na balozi zetu. Hata hivyo nakumbuka Rais Magufuli alishapiga marufuku kwenda kufanya kazi uarabuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwarabu anatumia physical torture wakati mzungu anatumia psychological torture, wote ni mawakala wa ibilisi

Ibilisii...ni hao!/sisi weusi tusiotaka/kujikubali na kuendekeza ujinga tulioaminishwa na Hawa makaburu wa Kiarabu na Kizungu, mfano Dini...

Makaburu wanafuata upumbavu wetu tuu..
#ignorance is the worse devil/jini/ibilisi etc
 
Vijana Punguzeni chuki zenu, Mana hapa kuna watu wamevamia dini ya watu, waarabu, wazanzibari. Wakuu mbona mnakua na roho mbaya kiasi hiko. Huko SA watu wanauliwa mbona mumekaa kimya mnatoa tovu kwa mtu anaepigwa mikwaju?

Na pia siku ya pili mujue kutafautisha hao si waarabu hao ni wahindi. Inaonekanwa hilo tukio kama ni Pakistan. Na mara nyingi kesi za pakistan usikute jamaa aliekwa bondi wenziwe wameingia mitiini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…