Mateso ya Jackline Wolper

Mateso ya Jackline Wolper

Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.

Niliyaona jana mahojiano hayo kwenye kituo kimoja cha televisheni...huwa mahojiano ya namna hii siyapendi na wala huwa siangalii, ila mazingira ya jana nyumbani kwangu yalinifanya niangalie...Kwa kawaida mimi ni mtu wa huruma sana...lakini katika mahojiano ya jana sikuwa na tone la huruma, yaani ndiyo kwanza nilipata hasira namna mabinti wetu wanavyonyanyasika kwa makusudi na watu wa nje kwa kujitakia...yaani nilipata hasira sana...naishia hapo
 
Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
You were very right from the very beginning ila ulipoweka personal hate hapo ndo umeharibu na kufanya all ulichoandika kufikiriwa kua ni sababu ya hate ....
 
Hana lolote hayo machozi ni yakinafki tu, ataka aonewe huruma na watu wayabariki hayo madudu yao na huyo mtoto.

Eti "nampenda Raji(harmonize) coz ana khofu ya Mungu..."

Sina mbavu mie.
wanawake si ndo zenu lakini kudanganywa?
 
bi dada kitandani kuna mambo mengi yanayoendelea tena ni invicible, we huoni mwenzako anayaona na kuyafanya pasipo wewe kujielewa.,. Ukishakuwa celeb kuwa makini na mambo ya faragha..!
Vitu vingine inabidi uachane navyo tu maana vitakuumiza kichwa bure. Dada analalamika kupigwa picha akiwa kalewa wakati ukiingia kwenye IG ya Harmonize wamepost video wakinyonyana ndimi adharani mbele za watu. Baadae atatuambia nayo alikuwa kalewa
 
Wachaga nyie si mafundi WA kudeadisha wanaume si adeadishe na huyo mutu ya Congo sasa.
Imekula vidono hiyo Hapo Ni kiburi kwa kiburi.
Weka Kule Hiyo Mkisha zinguliwa kelele but before hakuna matata.
Experience and mistakes are mostly said to be the best teachers in the world.
Ajifunze.
 
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
BabaAaa kuna thread ilishawekwa hapa .. Wadada sio kwamba wanakurupukia wakongo bure kuna inside the box
 
Bongo muvi wote hata mahusiano yao ni muvi tu yaani hakuna uhalisia ndo maana katika watu wanaofel katika mahusiank kwa hapa bongo ni pamoja na hao bongo muvi sijajua matatizo yao ni ule umaarufu wa kuonekana kwenye kideo ama nini ukiachana na huyo Jacklyne bado wangine mapenzii yao ni maluwe luwe tu
Lulu+auny ezekiel+kidoti+ mama lao wema+ weka na gigy dadeki+ jumlisha na ki wolopa sasa
 
Naona dogo ray keshakamatwa na mtoto feza kessy ...ila ndio maisha ya usupa star hayo..
Naona now Shigongo ana news kibao za kuandika
 
Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.[/QUOTE]
Kwa Kweli alichofanya mwanaume Sio kizuri na serious kitamridia but ni mipango ya shetani na Maisha
Yanaendelea
 
Umejaribu kupata na hadithi ya huyo mtuhumiwa? My brother ask me about those yellow pigs (sorry to say this)huwafamu bongo movie vizuri they are pretenders and most hated creatures. . . nobody with his nerves can date them...! Namaanisha...[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mkuu nakuheshimu sana... Ila kwa hili mkuu it can't be reason enough kukubali afanyiwe hivo, pamoja na mapunguvu nao wanahitaji ubinadamu na utu.
 
ila wolper umenisikitisha sana kuanika kila kitu namna ile kwenye tv ili upate sympathy ya fans wako na kimakonde chako...hovyooo!!
mwanamke hujui uongee nini uache nini kwenye media?kweli unahitaji shule my dear ,,,yani jak umenichosha jana ckutegemea upo brainwashed namna ile....unaongea kama upo chumbani na shost wako while ile ni tv??tena ya mmbea kama zamaradi....zama lini ameyaanika yake?grow up

Yule zamaradi anapenda kweli ya wenzake ..tena wakifunguka vile ili kakipindi kake kapate viewers wengi
 
Mkuu nakuheshimu sana... Ila kwa hili mkuu it can't be reason enough kukubali afanyiwe hivo, pamoja na mapunguvu nao wanahitaji ubinadamu na utu.
Najua kabisa sikuandika kitu kizuri na ndio maana nikatangulia kuomba radhi nawaheshimu sana wanawake na nachukia unyanyasaji lakini hao bongo movie ni habari nyingine jaribu kuchukua muda wako ucheki historia ya huyu binti
 
Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
Kumbe ndivyo alivyo wanatumia wanatema kama bigjeee, bado hajawa cha pombe
 
WCB hizo ndio kanuni Za Maisha lazima watoke Na watu wazima angazia Daimond vs Zari,Mose lyobo vs Anti Ezakiel na Harmonies vs Jack Wolper
hapa nimekupata, wakitaka kutoka vijana ni lazima watoke kupitia vibibi kama mama zao vile, kwa kuwa hawajui kutongoza kisomi zaidi, walisahau enzi za kumsomesha demu hadi anabadili njia.
 
Back
Top Bottom