Usiropoke usichokijua Jpm alitenda mambo mema na alitubu kabla ya kufa sasa jiulize wewe utapata hiyo nafasi ya kutubu sio kumtabiria mtu mwenye Jehanum kwa mihemko ya chuki naushabiki wa upinzani
Unauliza majibu, Listi ni ndefu sana. Ametuua wengi sana hasa sisi CHADEMA na hatutamsamehe.
Jinsi alivyo muua Kamanda Mawazo kinyama namna ile, Ben Saanane na wenginaeo weeengiiiii.
Mwache achezee vitasa kaburini.