My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
AlishahukumiwaNdiyo nani huyo kwanza? Sasa kama alishahukumiwa si atumikie kifungo chake kwa makosa aliyoyafanya au? Sisi inatuhusu nini? Kama aliua mtu/watu na amehukumiwa huko jela sisi wananchi inatuhusu nini? Au anatuletea maji safi au hospitali huku vijijini? Barabara je.. au ni fundi ujenzi muhimu mpaka tupoteze muda kumfikiria kwamba anahitajika kutuboreshea miundombinu na huduma bora kwa wazee huku vijijini?
Siku ikifika zamu yao kulipa wanalia kama mapakawewe unayeweka watu korokoroni Mungu nakuona
Inategemeana na umuhimu wako kwenye jamii ,kama wewe huna umuhimu yann uvae ,Mimi nilikua nashauri tu kwahao makamanda wasije au wakawapelekea gerezani jamaa au wao wakaambukizwa wakaleta mtaani.sijui utakua umeelewa ubishi huo baba yenu ndo umempozaBarakoa ni jukumu la kila mmoja anayejali uhai wake na kama hataki basi huyo ameamua.
Tumeshazikainategemeana na umuhimu wako kwenye jamii ,kama wewe huna umuhimu yann uvae ,Mimi nilikua nashauri tu kwahao makamanda wasije au wakawapelekea gerezani jamaa au wao wakaambukizwa wakaleta mtaani.sijui utakua umeelewa ubishi huo baba yenu ndo umempoza
Habari Makamanda jasiri sana. Inasikitisha sana, inauma sana, bila kosa lolote ndani ya nchi yako unakuwa kama uko Jehanam. Ee Mungu tuokoe na hali hii ya ajabu ndani ya Tanzania yetu pendwa sana inayoharibiwa na wapuuzi, walafi, waroho, wanafiki na mafidhuli wachache waliouweka rehani utu wao kumtumikia IBILISI kiongozi wao. Ee Mungu utuhurumie wote hata hawa watesi wetu na hata kwa hili wanalomfanyia Mdude na Makamanda wenzake kwani kisasi si cha kwetu ni chako BABA.Na John Pambalu
Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na Kamanda Mwaipaya tukaingia ndani ya lango la Gereza.
Mwenyekiti umekuja?. Ilikuwa sauti ya Mdude aliyekuwa akichechemea na urefu wake huku akiinamia mkono wake wa kushoto. Mwenyekiti umekuja?, aliuliza kwa mara ya pili, sikumjibu kitu nikiwa mwenye moyo wenye huzuni nikimuona kamanda akichechemea kuzikabili nyavu zinazotenganisha mahabusu/wafungwa na watu wanaokwenda kuwaona.
Wamesema ninafanya biashara ya madawa ya kulevya, ninayasafirisha kutoka Pakistan. Sijui nilikuwa nasafirishaje Tanzania na Pakistan ilihali hata passport ya kusafiria sina kamanda, alisema Mdude.
Oh! Mwaipaya ni wewe kamanda, umehitimu mafunzo ya gereza. Hongera sana kamanda, naamini kuna kitu umejifunza. Moja kati ya faida kuu ya jela ni kukufanya uwe na ujasiri wa kukipigania kile unachokiamini. Najua sasa wewe ni jasiri. Alimueleza Mdude.
Makamanda wamenipiga, wananiuliza kwa nini ninaisumbua serikali?. Walikuwa wamevalia mizura wamenipiga kamanda. Walinipiga nikiwa naumwa, walinitoa kwenye Zahanati ya jela nikiwa mgonjwa wakaja kunisulubu nje huku wafungwa wenzangu wakishuhudia. Wamenipiga alirudia tena akizungumza huku akiwa mwenye ujasiri na akizungumza kwa sauti ya ushupavu.
Ninachokiamini mimi, sikumkosoa Magufuli kwa kuwa nilikuwa namchukia, hapana. Wala sikumkosoa kwa sababu ya sura yake, bali kwa sababu ya uovu wa mfumo wa Serikali yake. Najua Mungu ni mkubwa ipo siku nitatoka.
Nikasogelea zaidi nyavu zinazotutenganisha. Nikamwambia Mhe. Freeman anakusalimia, akaniambia msalimie Mwamba mwambie naisubiria kwa hamu hotuba yake. Nikamwambia Mhe. Mnyika anakusalimia, akaniambia najua amewaandikia barua wenye mamlaka kuhusu madai yangu ya kuteswa gerezani, nimeambiwa. Wamekuja kuniomba radhi nikawaambia tutayamaliza nilikoyasemea.
Wakazungumza na Mwaipaya na kupeana vifungu vya biblia, nikamrudia nikamwambia kuna vitu kadhaa tumekuletea, wana wamekuchangia fedha kidogo. Akasema wapeni wanaonipikia chakula wanajua nini cha kufanya. Wamefanya kazi nzuri sana sijawahi teseka. Waambie watanzania ninawapenda
Aluta continue akatueleza akirejea ndani ya gereza akivuta mguu wake.
Tukaachana naye kulikabili Gereza la Songwe lililopo zaidi ya kilometa 100 kutoka mjini mbeya wanakoshikiliwa wapiganaji wenzetu wapatao 60, kati yao wanaume 53 na wanawake 7 Gereza la Songwe. Wengi wao wakituhumiwa wa kesi za mauaji na uhujumu uchumi.
Leo tutahitimisha ziara yetu katika mahakama huku mkoani Njombe kusikiliza kesi ya mauaji inayowakabili viongozi wetu, akiwemo Mhe. George Sanga Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Njombe.
Unaweza kuchangia chochote kwa ajili ya mahitaji kwa wafungwa wenzetu kwa 0746 777 845 Voda Jina Twaha Mwaipaya
Wasalaam
John Pambalu
jpambalu@gmail.com
0676250710
Mpeni poleNa John Pambalu

Mkuu kwa kuchagua avatar ya jina hili hukukosea, umejiekti kama alivokua enzi za kupigania uhuru wa Rhodesia sasa Zimbabwe, wakati huo akina Mugabe na Nkomo wapo kwenye harakati za ukombozi, yeye Sithole yupo upande wa I Smith anaewakandamiza wazimbwabwe mwisho lakini Zimbabwe iko huruWapumbavu woote wamejaa ngeo vichwani na usoni.lkn wenye hakika woote wana sura zao halisi.mdude nyangali anapata stahiki yake,tuache ushabiki,mdude alikuwa anautumia vibaya ndomo wake,na mdomo uliponza kichwa,wachina wana msemo mmoja,mdomo ni siraha kubwa sn ukiutumia vzr unaweza kujiokoa katkati ya jeshi kubwa la wanajeshi 1000,lkn pia mdomo ukiutumia vibaya unaweza kupoteza kichwa chako,
nawaza tu, hivi huyu mwendazake angetawala miaka 10 zaidi kama wapambe wake walivyotaka iwe je nchi ingefikia wapi? too sad!!Na John Pambalu
Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na Kamanda Mwaipaya tukaingia ndani ya lango la Gereza.
Mwenyekiti umekuja?. Ilikuwa sauti ya Mdude aliyekuwa akichechemea na urefu wake huku akiinamia mkono wake wa kushoto. Mwenyekiti umekuja?, aliuliza kwa mara ya pili, sikumjibu kitu nikiwa mwenye moyo wenye huzuni nikimuona kamanda akichechemea kuzikabili nyavu zinazotenganisha mahabusu/wafungwa na watu wanaokwenda kuwaona.
Wamesema ninafanya biashara ya madawa ya kulevya, ninayasafirisha kutoka Pakistan. Sijui nilikuwa nasafirishaje Tanzania na Pakistan ilihali hata passport ya kusafiria sina kamanda, alisema Mdude.
Oh! Mwaipaya ni wewe kamanda, umehitimu mafunzo ya gereza. Hongera sana kamanda, naamini kuna kitu umejifunza. Moja kati ya faida kuu ya jela ni kukufanya uwe na ujasiri wa kukipigania kile unachokiamini. Najua sasa wewe ni jasiri. Alimueleza Mdude.
Makamanda wamenipiga, wananiuliza kwa nini ninaisumbua serikali?. Walikuwa wamevalia mizura wamenipiga kamanda. Walinipiga nikiwa naumwa, walinitoa kwenye Zahanati ya jela nikiwa mgonjwa wakaja kunisulubu nje huku wafungwa wenzangu wakishuhudia. Wamenipiga alirudia tena akizungumza huku akiwa mwenye ujasiri na akizungumza kwa sauti ya ushupavu.
Ninachokiamini mimi, sikumkosoa Magufuli kwa kuwa nilikuwa namchukia, hapana. Wala sikumkosoa kwa sababu ya sura yake, bali kwa sababu ya uovu wa mfumo wa Serikali yake. Najua Mungu ni mkubwa ipo siku nitatoka.
Nikasogelea zaidi nyavu zinazotutenganisha. Nikamwambia Mhe. Freeman anakusalimia, akaniambia msalimie Mwamba mwambie naisubiria kwa hamu hotuba yake. Nikamwambia Mhe. Mnyika anakusalimia, akaniambia najua amewaandikia barua wenye mamlaka kuhusu madai yangu ya kuteswa gerezani, nimeambiwa. Wamekuja kuniomba radhi nikawaambia tutayamaliza nilikoyasemea.
Wakazungumza na Mwaipaya na kupeana vifungu vya biblia, nikamrudia nikamwambia kuna vitu kadhaa tumekuletea, wana wamekuchangia fedha kidogo. Akasema wapeni wanaonipikia chakula wanajua nini cha kufanya. Wamefanya kazi nzuri sana sijawahi teseka. Waambie watanzania ninawapenda
Aluta continue akatueleza akirejea ndani ya gereza akivuta mguu wake.
Tukaachana naye kulikabili Gereza la Songwe lililopo zaidi ya kilometa 100 kutoka mjini mbeya wanakoshikiliwa wapiganaji wenzetu wapatao 60, kati yao wanaume 53 na wanawake 7 Gereza la Songwe. Wengi wao wakituhumiwa wa kesi za mauaji na uhujumu uchumi.
Leo tutahitimisha ziara yetu katika mahakama huku mkoani Njombe kusikiliza kesi ya mauaji inayowakabili viongozi wetu, akiwemo Mhe. George Sanga Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Njombe.
Unaweza kuchangia chochote kwa ajili ya mahitaji kwa wafungwa wenzetu kwa 0746 777 845 Voda Jina Twaha Mwaipaya
Wasalaam
John Pambalu
jpambalu@gmail.com
0676250710
Umempa Credit kumjibu.... Watu went Mavi kichwani Ni kuwaangalia tuuPunguza upuuzi Jo...
Umewayelekeza wazazi wako huku mwandiga.Hakuna jipya
Mataga kapigwa za menoNi neno sahihi linalotumika katika lugha ya Englisha na lina acronyms zake pia.View attachment 1752461
Upo vizuriPole yake sana na si jambo zuri sana, ila pia huyu dogo alikosa washauri kwanamna nchi ilipokuwa na harakati zake, hakujitathmini na kugundua nyakati alizopo.
Wanasheria msaidieni kijana huyu
umeambiwa hawakuruhusiwa kuingia na simu mkuuNadhani ungeweka picha ya Mdude badala ya Pambalu ingependeza zaidi!
Wewe ni mpuuzi na mpumbavu sana! Endelea kuwaimbia mapambio na kuwaita miungu binadamu tu. Muda wako unakuja! Muumba ameanza na kiongozi wenu nyie mashetani baada anakuja kwenu trust me!Wapumbavu woote wamejaa ngeo vichwani na usoni.lkn wenye hakika woote wana sura zao halisi.mdude nyangali anapata stahiki yake,tuache ushabiki,mdude alikuwa anautumia vibaya ndomo wake,na mdomo uliponza kichwa,wachina wana msemo mmoja,mdomo ni siraha kubwa sn ukiutumia vzr unaweza kujiokoa katkati ya jeshi kubwa la wanajeshi 1000,lkn pia mdomo ukiutumia vibaya unaweza kupoteza kichwa chako,