Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Jiwe kama kweli amekufa Mungu ampeleke motoni.Kiongozi gani katili ivyo leo yupo wapi na alikuwa analeta jeuri kumbe ana spare kwenye mwili wako. mungu anakusudio lake kumchukua yule jamaa.
 
Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga.

Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe Rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .
Hawezi kuundoa hata siku moja labda tupate chama kingine
 
Poleni Sana CHADEMA, Mungu wenu yu Hai, aliyewaapia CHADEMA Itakufa Kabla ya 2020 jina lake kwa sasa ni MWENDAZAKE But CHADEMA mpo imara kwa nguvu ya 5 pamoja na wale COVID-19 Kuunga Juhudi Kwa mgongo wa yule Mgogo. Maana yake ni kwamba Mwendazake alikuwa anapambana na Taasisi na ilo hakulijua hadi anaendazake.
Chadema kutoka wabunge mia hadi mbunge mmoja,bado mnajipa matumaini kuwa chama kiko imara 😄😄😄Chadema ilikufa alipoondoka slaa.sasahivi Chadema imebaki fb na jamii foram
 
Kweli Maisha yanakupa unachokitaka...mwenyekiti juzi katua kutoka Dubai mwanaharakati wake yuko nyuma ya kuta za ngome.

Bora mwenyekiti wetu Magu alikataa kwenda ulaya na marekani huko kuzulula akahaidi kukaa nasi hapa ndani mpaka kifo kinamchukua.
 
Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga.

Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe Rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .
Hii thread imenifanya nizidi kumchukia mwendazake kama kweli Mungu yupo basi Mwensazake ana hali mbaya sana katika moto wa jehanamu kwani hakupatana na aliowatesa
 
Umesahau kuwa katika dunia hii iitwayo uwanja wa fujo kila mtu ni mfungwa mtarajiwa.

Nakushauri sana ndugu yangu usikebehi mahabusu au mfungwa.
Muombe sana mungu asikupe kiburi cha kutenda hiyo dhambi.
Biblia inasema dini ya kweli ni kutembelea wagonjwa na wafungwa
 
Kuna vitu vingine mimi sioni kama vina faida kwa mtu mmoja mmoja pia ni kutesa familia zetu tu hivi kulikuwa na haja gani ya kutukana matusi yale aliyokuwa anatukana ?

Sidhani kama kuna mtu yeyote Duniani ambae hatakubali siasa alizokuwa anaendesha huyu Mdude hata siku moja hayupo

Samia naomba afute kesi zote za kisiasa japo kuna wengine wamefanya makosa kweli, ila tuache tu tuanze upya. Sidhani kama huyu (Musa) wa sasa anaweza kubali matusi aliyokuwa anatukana huyu jamaa atukanwe yeye tena huyu mmemzoesha kumsifu na kumuabudu siku mkianza kumtukana ndo mtajua na yeye nani.

Kipimo cha uvumilivu kinapimwa kwenye maumivu na shida si raha na burudani sasa mnapa burudani jaribuni kumpa shida na tabu ndo mtaona kweli ni mvumilivu au lah .
Mtu akitukana na kukashifu kuna utaratibu maalum wa kuufuata, siyo kubambikiza kesi, kutesa au kuuana. Tumeweka utaratibu wa kisheria ili tuweze kumtofautisha binadamu na mnyama au hayawani wa mwituni. Kama hili hulifahamu basi huwezi bado uko na safari ndefu sana na nakushauri ukaze mwendo ili ufike.
 
Pole sana ndugu maadamu mwenda zake kaondoka basi mambo yatakuwa sawa very soon
 
Mtu akitukana na kukashifu kuna utaratibu maalum wa kuufuata, siyo kubambikiza kesi, kutesa au kuuana. Tumeweka utaratibu wa kisheria ili tuweze kumtofautisha binadamu na mnyama au hayawani wa mwituni. Kama hili hulifahamu basi huwezi bado uko na safari ndefu sana na nakushauri ukaze mwendo ili ufike.
Hawezi kubadilika maana tayari anaamini yupo kwenye dunia yake kwa mujibu wa mafunzo yao.

Maana wana mungu wao wanaye amini ndiye kila kitu kwao
 
Back
Top Bottom