Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga.

Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe Rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .

Nimedhani ni mimi mwenyewe machozi yamenitoka nimeona uchungu mwingi sana. Mungu huwa hawahi wala hachelewi
 
Na mwendazake leo ni funza tu, Mungu ni mkuu kweli kweli
Hata babu wa babu yako nae leo ni funza tu, hapo sijataja mitume au manabii wa Mungu. Sote tumeumbwa kwa udongo na udongoni tutarejea
 
Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga.

Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe Rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .
Alazimishwe sio kuombwa
 
Ni vyema na picha ya mdude nyangali ikawekwa hapo
 
8DF65316A9M Imethibitishwa.
Tarehe 15/4/21 12:55 PM
Pokea Tsh5,000.00 kutoka 255746777845 - TWAHA SALIM MWAIPAYA, Salio ni
Tsh.0.16.
 
Mateso tuyaite maraha; mauaji ya watu tuyaite mauaji ya mbwa, wizi tuite kusogeza! Lugha za stara jamani! chonde chonde mnaombwa huku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…