KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu 'Pulchra Animal' kuna aina ya watu, wewe ukiwa mmoja wao hawana uwezo wa kuelewa ya nini kupoteza muda na watu kama nyinyi?Mkuu, I am having hard time understanding what you’re trying to convey. Your argument appears to be a combination of some new unsubstantiated election fraud claims and a programming GIGO rhetoric.
Jaribu kufafanua na kuwa more specific tukuelewe!
Wa kwako ndo mdogo zaidi..... Tena chini ya kiwango.... FoolUwezo wako Wa kufikiri ni mdogo mno...samahani lakini huo ndo ukweli.
Pathetic!
You gotta be very open minded. Just because you voted for your variant of Mr. Savimbi, it doesn’t mean the majority of Tanzanians has! Can’t you tell even from this platform that not everybody agrees with you?
For the sake of argument, even if all followers of Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) agree with you, your total headcount is nowhere close to the majority of Tanzanians. Obviously, there’s no reason to believe that your variant of Mr. Savimbi won this election.
Just call upon your colleagues to concede and move on. There’s life after election!
Ingependeza zaidiHaa
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Mnaanza Kuchokoa Huku Mnaweka Utambi Kwenye Jipu Liive Haraka
kama hawajapelekewa na kujiridhisha wakubali nini hapo. ? wakubari kwa kuona kwenye clip? Hv unajua kuna pesa feki na zinapita kwenye mikono mingi tu hadi zitambuliwe? utajuaje km si kwa kuchunguza ukiwa nayo? hz karatasi ht wewe unaweza kutengeneza na kuzitumia kwa lengo lako. Kuona kwenye tv au clip haitoshi kuhalalisha kuwa ni kweli. Wapelekeeni au kafungueni kesi ili waitwe kuthibitisha au kuzikana kuwa si zao.Kura feki zilizokamatwa sio zote ZIMECHOMWA MOTO rekebisha kwanza hapo.
pili swali langu linabaki pale pale kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?wakati zinaonekanaaa .wanaficha nini?
NAOMBA JIBU.
kama hawajapelekewa na kujiridhisha wakubali nini hapo. ? wakubari kwa kuona kwenye clip? Hv unajua kuna pesa feki na zinapita kwenye mikono mingi tu hadi zitambuliwe? utajuaje km si kwa kuchunguza ukiwa nayo? hz karatasi ht wewe unaweza kutengeneza na kuzitumia kwa lengo lako. Kuona kwenye tv au clip haitoshi kuhalalisha kuwa ni kweli. Wapelekeeni au kafungueni kesi ili waitwe kuthibitisha au kuzikana kuwa si zao.
sijui usichoelwa ni nini hapo? kukataa au kukubali inategemea na mtu jinsi anavyojiridhisha na taarifa zilizopo. Tz ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona. Una uhakika kuwa zile ni kula feki? umetumia njia ipi kujirizisha? karatsi iliyotumika ni ya nec na inafanana kila kitu na karatasi halisi? serial namba zilizopo ni za nec? umeangalia alama za siri zote zinafanana?Nadhani hayo maswali ungewauliza NEC.
Hivi serikali ilishawahi kukataa kuwa HAKUNA NOTI FEKI?
sasa kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?.
Kuwepo kura feki inawezekana ikawa ni Jambo la kawaida.
Ila KWANINI WANAKATAA WANASEMA HAKUNA KURA FEKI?.
wanamtetea NANI?hapa ndipo shida inapokuja.
kama hawajapelekewa na kujiridhisha wakubali nini hapo. ? wakubari kwa kuona kwenye clip? Hv unajua kuna pesa feki na zinapita kwenye mikono mingi tu hadi zitambuliwe? utajuaje km si kwa kuchunguza ukiwa nayo? hz karatasi ht wewe unaweza kutengeneza na kuzitumia kwa lengo lako. Kuona kwenye tv au clip haitoshi kuhalalisha kuwa ni kweli. Wapelekeeni au kafungueni kesi ili waitwe kuthibitisha au kuzikana kuwa si zao.
sijui usichoelwa ni nini hapo? kukataa au kukubali inategemea na mtu jinsi anavyojiridhisha na taarifa zilizopo. Tz ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona. Una uhakika kuwa zile ni kula feki? umetumia njia ipi kujirizisha? karatsi iliyotumika ni ya nec na inafanana kila kitu na karatasi halisi? serial namba zilizopo ni za nec? umeangalia alama za siri zote zinafanana?
ukiweza kuthibitisha haya, hiyo ndio itakuwa feki.
Kadri unavyotoa povu na matusi ndo unazidi kuthibitisha kuwa ni kweli uwezo wako Wa kufikiri ni mdogo mno.Wa kwako ndo mdogo zaidi..... Tena chini ya kiwango.... Fool
labda sielewi una maanisha nini unaposema kura feki na wakubali kuwa zipo. yaani wakubali kuwa wamezitengeneza wao au wamezitoa wao au zimeibwa kwao?Unapokataa kitu Ina maana una USHAHIDI NACHO.
Sasa Kama nec wanashindwa kujua kuna kura feki zilizokamatwa.NI AIBU HAWAFAI KUONGOZA UCHAGUZI.
waseme kuwa hawajui Kama kuna kura feki.
SIO WAKATAE KUWA HAMNA.
Wakisema hamna wakati zinaonekanaaa ni wazi wameshindwa KAZI.
Kama wameshindwa kujua hujuma ya kura feki kuna udanganyifu mingapi itakuwa imefanywa kwenye uchafuzi huu na hawajui?
sijui usichoelwa ni nini hapo? kukataa au kukubali inategemea na mtu jinsi anavyojiridhisha na taarifa zilizopo. Tz ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona. Una uhakika kuwa zile ni kula feki? umetumia njia ipi kujirizisha? karatsi iliyotumika ni ya nec na inafanana kila kitu na karatasi halisi? serial namba zilizopo ni za nec? umeangalia alama za siri zote zinafanana?
ukiweza kuthibitisha haya, hiyo ndio itakuwa feki.
Hayapingwi mahakamani ushaambiwa. Acha kutumia kichwa kufugia nyweleLakini, tusisahau kwamba mashahidi wa upinzani ni mawakala wao.
Je, mawakala wao wametoa feedback ipi?
Msingi wowote wa madai yao waanzia kwa feedback kutoka kwa mawakala.
Mawakala wakitokeze na wazungumze na vyombo vya habari na kiongozi wao aeleze shida ya kila kituo cha kupiga kura.
Kwa sasa wanachofanya akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe hakina maana.
Jambo la msingi ni hilo la mawakala na kisha kwenda mahakamani.
Tundu Lissu ni mwanasheria nguli na mwenye uelewa mkubwa sana, hivyo aandae hoja za kisheria na wapeleke hoja hizo mahakamani.
Kama wameamua kuingia barabarani wafanye hivyo na kitaeleweka hukohuko barabarani.
Hizo ni karatsi tu zinatengezwa tena watoto wadogo watundu. Nimkuuliza maswali, zina serial namba za nec? mfanano wa rangi usikubabaishe mkuu. Linganisha zile alama muhimu za siri na karatasi halisi. Kenye picha unaweza kutengezwa vyovyote watakavyo na ikaonekana halisi.Ebu angalieni .nini hicho?
Yaani na hili nalo bado unataka ushahidi?.
Makaratasi ya KURA ya uchaguzi MKUU wa kuchagua rais,mbunge na diwani yamekuwa Kama takataka?View attachment 1617000
labda sielewi una maanisha nini unaposema kura feki na wakubali kuwa zipo. yaani wakubali kuwa wamezitengeneza wao au wamezitoa wao au zimeibwa kwao?
mkuu, wao hawawezi kusema unavyotaka wewe. hayo maswali ni vizuri wakajibu walioonyesha. wao wana uhakika kwa ulinzi na mikakati yao, hakuna karasi yao halisi iliyopotea au kuibiwa. sasa wakujibu kuwa zimetoka wapi wao watajuaje? ndio maana wanaseama hakuna hicho kitu.Waseme hizo karatasi zimetoka wapi ikiwa wao ndo wasimamizi.
Na Kama zimeibiwa Nani kaiba?.
Na Wana uhakika gani kuwa hizo kura feki hazijaingizwa kwenye masanduku ya kura.
IKIWA WAO HAWAJUI
Umemjibu vizuri, wana tabia ya kudandia majibu mepesi ya wenzao na wao wanayabeba wanatembea nayo mchana kutwa!.Kura feki zilizokamatwa sio zote ZIMECHOMWA MOTO rekebisha kwanza hapo.
pili swali langu linabaki pale pale kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?wakati zinaonekanaaa .wanaficha nini?
NAOMBA JIBU.