Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku ninakunywa maji at least 3litres.
Not only I but you as well will suffer another 5yrs of more hardships and torments, you can't be sane by advocating such misconducts and inequivocalities to deter and defile the majority democratic decision through THEFT; --- God is the one who chooses a right person through people's choice, if at all any thing happens contrary to a majority decision then let God be the judge.
Kutokupiga kura maana yake ni kukubali status quo. Wangekuwa hawataki utawala uliopo, wangepiga kura kuonyesha chaguo lao. Lissu hakufanikiwa kuwahamasisha watu kupiga kura dhidi ya Magufuli.Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.
Milioni 17 hawakupiga kura??
Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..
This is rejection mchana kweupe
NdotoChukulia, kura halali ni Milioni 5
Lisu - Milioni tatu
Magu - Milioni Mbili
###########
Halafu tume itangaze hivi,
###########
Magu - Milioni 4 Laki 9
Lisu - Laki moja
Matokeo yakishatangazwa hakuna pakupinga. We utafanyaje?
Spana kila konaVibendera Chalii
Wamebakia na wimbo ule ule Kuibiwa kura
Yaani wanamgombea Wa Hovyo wategemee kushinda
Hahaha tulisema Wakipata Kura 20% Wameshinda
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.
Milioni 17 hawakupiga kura??
Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..
This is rejection mchana kweupe
Nendeni mahakamani?
Hiyo difference ya 10milioni kulikua na vituo zaidi ya 85,000+ hivyo kila kituo namaanisha kituo sio vile sub vituo vimepiga zaidi ya kura 117 au zaidi je unazan vimeshindwa, kwa mfano kawe mtu mmoja kakutwa na kura bandia 500To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.
Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?
Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.
Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Maendeleo (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Anapata ground za kusema hivyo kwani kulikuwa na matukio ya kuingiza kura feki. Walioshiriki kutekeleza hayo tunaishi nao.Lakini tofauti ya kura milioni kumi ni kubwa sana. Tundu Lissu hawezi kusema kwamba ameshindwa kwasababu ya udanganyifu. Hali halisi ni kwamba haku chaguliwa na watanzania walio wengi.
Nani anajali?Haa
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Mnaanza Kuchokoa Huku Mnaweka Utambi Kwenye Jipu Liive Haraka
What about the disparity between total Presidential Votes v/s Total Votes for Parliamentary Seats?I think the disparity in votes counted between President Magufuli and Tundu Lissu is just too large. Tundu Lissu was just not elected by the majority of Tanzanians
Kutokupiga kura maana yake ni hata wakipiga zitaibwa tu.Kutokupiga kura maana yake ni kukubali status quo. Wangekuwa hawataki utawala uliopo, wangepiga kura kuonyesha chaguo lao. Lissu hakufanikiwa kuwahamasisha watu kupiga kura dhidi ya Magufuli.
Mahakama ipi? Hujui kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais haupingwi katika mahakama yoyote hata kama hajashinda kihalali?Nendeni mahakamani? Hao mawakala wenu walikuwa wapi haya yote yakifanyika?
Katika nchi ambayo ni rahisi kuuzwa ni tz. Wananchi wake ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona.
Kuna pesa feki zinafanana sana halisi, je utazigundua kwa kuziona kwenye video au kuambiwa?
kuna haya maswali tujiulize kwanza kabla ya kuhukumu.
1. Tumejirizisha vipi kuwa zile ni kula feki? zina alama zote muhimu kama karatasi hasili ya kupiga kura? coz karatasi mtu yeyote anaweza kutengeneza.
2. Kwanini waliozikamata wamekimbilia kuzichoma moto au kuziharibu au kuwapa polisi wakati zinatakiwa zitumike kama ushahidi mahakamani au kungineko kunapo patikana haki?
3. karatasi feki sio njama za vyama pinzani kukichafua chama tawala?
4. Kwanini viongozi wa vyama pinzani hawataki kwenda mahakamani na ushahidi wa karatsi feki? badala yake wanataka wananchi ndio waingie barabarani ilhali ushahidi wanao wao?
TUSIPO ANGALIA TUTACHEZA NGOMA ISIYO YETU.
Katika nchi ambayo ni rahisi kuuzwa ni tz. Wananchi wake ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona
Kuna pesa feki zinafanana sana halisi, je utazigundua kwa kuziona kwenye video au kuambiwa?
kuna haya maswali tujiulize kwanza kabla ya kuhukumu.
1. Tumejirizisha vipi kuwa zile ni kura feki? zina alama zote muhimu kama karatasi hasili ya kupiga kura? coz karatasi mtu yeyote anaweza kutengeneza.
2. Kwanini waliozikamata wamekimbilia kuzichoma moto au kuziharibu au kuwapa polisi wakati zinatakiwa zitumike kama ushahidi mahakamani au kungineko kunapo patikana haki?
3. Karatasi feki sio njama za vyama pinzani kukichafua chama tawala?
4. Kwanini viongozi wa vyama pinzani hawataki kwenda mahakamani na ushahidi wa karatsi feki? badala yake wanataka wananchi ndio waingie barabarani ilhali ushahidi wanao wao?
TUSIPO ANGALIA TUTACHEZA NGOMA ISIYO YETU.
Hakuna hata sehemu moja. Nilienda eneo lenye wananchi wengi na ni maarufu. Ni kama msiba
So unataka Tumpe Urais Lissu??? Au shida yako Nini????????To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.