Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Udanganyifu wa aina yoyote ungetokea ilitakiwa uchaguzi urudiwe..
Suala la kura feki CCM , magufuli na NEC wenyewe hawana sehemu ya kutokea.
Katika nchi ambayo ni rahisi kuuzwa ni tz. Wananchi wake ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona.
Kuna pesa feki zinafanana sana halisi, je utazigundua kwa kuziona kwenye video au kuambiwa?
kuna haya maswali tujiulize kwanza kabla ya kuhukumu.
1. Tumejirizisha vipi kuwa zile ni kula feki? zina alama zote muhimu kama karatasi hasili ya kupiga kura? coz karatasi mtu yeyote anaweza kutengeneza.
2. Kwanini waliozikamata wamekimbilia kuzichoma moto au kuziharibu au kuwapa polisi wakati zinatakiwa zitumike kama ushahidi mahakamani au kungineko kunapo patikana haki?
3. karatasi feki sio njama za vyama pinzani kukichafua chama tawala?
4. Kwanini viongozi wa vyama pinzani hawataki kwenda mahakamani na ushahidi wa karatsi feki? badala yake wanataka wananchi ndio waingie barabarani ilhali ushahidi wanao wao?
TUSIPO ANGALIA TUTACHEZA NGOMA ISIYO YETU.
 
Udanganyifu wa aina yoyote ungetokea ilitakiwa uchaguzi urudiwe..
Suala la kura feki CCM , magufuli na NEC wenyewe hawana sehemu ya kutokea.
Katika nchi ambayo ni rahisi kuuzwa ni tz. Wananchi wake ni wepesi sana kuamini kila wanachokiona
Kuna pesa feki zinafanana sana halisi, je utazigundua kwa kuziona kwenye video au kuambiwa?
kuna haya maswali tujiulize kwanza kabla ya kuhukumu.

1. Tumejirizisha vipi kuwa zile ni kura feki? zina alama zote muhimu kama karatasi hasili ya kupiga kura? coz karatasi mtu yeyote anaweza kutengeneza.

2. Kwanini waliozikamata wamekimbilia kuzichoma moto au kuziharibu au kuwapa polisi wakati zinatakiwa zitumike kama ushahidi mahakamani au kungineko kunapo patikana haki?

3. Karatasi feki sio njama za vyama pinzani kukichafua chama tawala?

4. Kwanini viongozi wa vyama pinzani hawataki kwenda mahakamani na ushahidi wa karatsi feki? badala yake wanataka wananchi ndio waingie barabarani ilhali ushahidi wanao wao?

TUSIPO ANGALIA TUTACHEZA NGOMA ISIYO YETU.
 
katika uchaguzi huu kuna vitu vingi ambavyo ww mtoa mada utakua hujavisoma nje ya pazia!

kwanza watu hao 14 milioni wanaosemekana kupiga kura si kweli ukiangalia watu waliojitokeza.

hilo linajibiwa na idadi ndogo ya kura za wabunge maeneo mengi ukizichanganya kura zote hazizidi 70 elfu lakini za urais nec inasema ni laki 2 (huu ni mfano), yaan kwamba watu 200% wampigie rais tuu?? wabunge wawakatae?

haijawahi kutokea hili. hii pia ni hesabu ya kujua wapi tumetoka. hapa unapata picha ya kura za kubumba ambako hakuendani na kubumba kwa kura za ubunge.

utauliza kwa nini wameongeza figa? jibu ni moja kwamba ingekua ni aibu kwa tume kuwa na wananchi wachache wanaojitokeza kwenye kura, na kilichorudisha sana nyuma ni uchaguz wa wenyeviti.
 
Ulipiga kura? If yes, uliona mawakala 17?!

Mimi niliona watatu tu tena wapo hoi bin taabani huku wawili wakiwa busy na simu zao. Sikuona mtu serious mule ndani.
yes.

Kinachotuponza sisi tz ni kutokuwa wazalendo na mambo ya kitaifa. Wewe mwenyewe unatoa mfano kuwa wengine wapo busy na simu. sasa hapo utalaumu ccm? kwanini wewe unaibiwa then mimi nnachekelea au sijishuhurishi kukusaidia? kwani kura zikiwa zinahesabiwa huwa wanaita wakala mmoja mmoja?

Kuna picha ipo katika instagram ya Yeriko Nyerere ikimuonyesha mpiga kura anaingiza kura feki kwa mujibu wake. Imagine, wakala anapata muda wa kupiga picha lakini anashindwa kuzuia uharamia kama huo. Anaituma nje ya kituo ili wapate story za vijiweni badala ya kutimiza wajibu wake. CHADEMA wanaishi kwa kiki, hilo ndilo lililowagharimu. Wakala kama huyu unamfanyaje? Mawakala wengine hata kulipwa hawajalipwa na vyama vyao na hata pesa ya kula hwakuwa nayo then utegemee akulindie wewe kura yako.?
 
Na hiki ndicho kilichofanyika, NEC wamelifanya hili kupitia wasimamizi
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Pili kwenye kituo chenye wamejiandikisha 300,000 wanapiga kura wa halali 50,000 Kisha akajaziwa zingine hata 200,000 utashtukaje hapo?

Conclusively mostly probably za TAL kapewa JP, na Nec wakaongezea zao kwa JP again
 
Kuna mawakala wa CHADEMA niliwashuhudia wakihongwa na wakasaidia kuweka tiki kwa kura feki za CCM. Poor CHADEMA mawakala wanaoweka wananjaa ata wakipewa tu buku 10 wanasaliti chama
Kuna scenario nyingi ila mojawapo ni kuwa kila kituo kilikuwa na kura zake prefilled already na walichofanya ni kureplace kabisa na zile kura zoote zilizopigwa kwenye vituo husika. Basically hakukuwa na uchaguzi.

Na hili liliwezekana tu kwa kuwa vituo vingi CHADEMA hawakuweka mawakala kabisa (poor organisation na/ama ukosefu wa fedha), au mawakala walizuiwa kuingia ndani, au mawakala walitolewa nje wakati wa majumuisho au mawakala wa CHADEMA walitishwa na kuhongwa fedha au mawakala walikuwa dhaifu sana (low reasoning capacity) na wakatii kinachofanyika bila kuhoji

Kuna mengi ya kujifunza ila hakuna haja ya Upinzani kushiriki tena chaguzi kwa matumaini ya kuambulia viti vichache ili Ruzuku kiduchu ipatikane
 
Mawakala wengine hata kulipwa hawajalipwa na vyama vyao na hata pesa ya kula hwakuwa nayo then utegemee akulindie wewe kula yako.?
Karibia wote waliombwa wajitolee kusimamia bure kutetea makamanda.

Kuna baadhi walinunuliwa humo kwa wali biriyani na elfu 30 tu. Hatari sana.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Wale ambao hawajapiga kura wangepiga kura Magufuli angeshinda zaidi ya asilimia 90
 
Karibia wote waliombwa wajitolee kusimamia bure kutetea makamanda.

Kuna baadhi walinunuliwa humo kwa wali biriyani na elfu 30 tu. Hatari sana.
Hapo mkuu ndio tatizo lilipo coz kam kuna mishe ya pesa imeingia lazima nitaacha tu kazi yako nitaenda na yangu. Hawa mawakala lazima wajengewe uzalendo wa vyama vyao sio kuokoteza tu watu. Je, kama kuna mamluki kaingia?

Kuna makosa wameyafanya sasa wanataka tucheze ngima yao.

Jukumu letu ni kupiga kura tu. Kulinda, kuhesabu na kujua kama ameshinda ni jukumu la mgombea mkuu na wakala wake.
Hawa wasituchoshe, wao ndio wanaotakiwa kutetea ushindi wao.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Then kutokupiga siyo kuibiwa kura. Think the difference!
 
Bila shaka Wewe ulikuwa ni mmoja kati ya mawakala waliofanya fraud ya kura for CCM.

Shame on you, God curse be on thieves and those behind the fraud.
Ukiona unakuwa provoked by facts basi jua huna base za complain zaidi ya emotions...Tulia, kunywa maji halafu tafakari kama kweli madai haya ya wizi yana mashiko au hisia tu mbaya...
 
Ninachokiona, kura za vituoni hazijakwenda kujumlishwa NEC... Kura za vituoni na zile kule NEC ni tofauti...

Ushindi halali kabisa wa kimatokeo ni ule wa jimbo la Nkasi Kaskazini... Alikoangushwa yule babu mwenye kelele Kessy....
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
The Boss kama Magufuli kapata 12m votes out of 15m votes is rejection, what can we say for Lissu who got only 1.9m votes?
 
Back
Top Bottom