Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Kadri unavyotoa povu na matusi ndo unazidi kuthibitisha kuwa ni kweli uwezo wako Wa kufikiri ni mdogo mno.
Lakini usijali...ni uumbaji Wa Mungu tu, si unajua kazi ya Mungu haina makosa.
Na hapa ndiyo unadhihirisha jinsi gani "You're Foolish"

Of course... Ni kipaji pia... Fool...
 
kwani NEC wametoa tofauti ya karatasi zao za kupigia kura na hizo zilizokamatwa?
 
mwenye mamlaka NEC lakini ufafanuzi atoe aliyekamatwa nazo?..
NEC wamefanya nini kuwakamata hao mnaosema wametengeneza hizo kura feki?
 
Na Kama kuna makaratasi ya KURA yaliibiwa NEC waseme imekuwaje mpaka zikaibiwa?.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Kwahiyo Lissu hajaibiwa ila wapiga kura 17 Milion hajapiga kura kwa kutokua na imani na Tume?
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Jumla ya kura za Wabunge zote zinalingana na kura za Uraisi Zote?
 
Ila mitandao ya kijamii wametuzimia mpaka leo. Ukijiuliza wanaficha nini? Utapata jibu....

Msiwafanye watu ni watoto wadogo...hakuna haja ya kuwa na uchaguzi Tanzania ni kupotezea muda.
 
Ni Kanuni gani ya JF unayotumia kunipangia lugha ya kutumia?

Show us your prowess as an analyst!
Ur trying too hard to hide your foolishness using English.

Lugha haioneshi intelligence ya MTU kuna matahira jiji LA London wanaongea very fluid english.
 
Mkuu umeongea point kabisa..mimi nilikuwa wakala kituo fulani hapa DSM..vituo vingi chadema hawakuwa na mawakala.na pia hata vituo vilivyokuww na wakala wa chadema bado mawakala hao hawakuwa na uelewa wa kukinda kura.ni mawakala wa kuokoteza tuu.lakini kiukweli kura ziliibwa nilishuhudia hilo..ccm walijipia kura kabla ya mchakato.mawakala tulizuiliwa kuingia ndani ya polling station hadi saa tatu asbh muda ambao watu walikuwa washaanza kupiga kura.chadema hawana uelewa wa kulinda kura kabisa
 
Ulikuwa wakala wa CHADEMA? Chama kiliwalipa posho au mlijitolea bure?
..lakini kiukweli kura ziliibwa nilishuhudia hilo..ccm walijipia kura kabla ya mchakato...
So, by the time wanawaruhusu kuingia ndani mkakuta tayari masanduku yana kura za kutosha? Na mkatulia tuli?
 
Ur trying too hard to hide your foolishness using English.

Lugha haioneshi intelligence ya MTU kuna matahira jiji LA London wanaongea very fluid english.

No substance at all! You’re a typical blind follower of Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema).

Hakuna shaka kwamba mtu anenacho ni kielelezo cha ubora wa ubongo wake. Ubongo hafifu hautarajiwi kuja na mchango wa mawazo yenye tija. Hazina kuu ya ubongo hafifu ni matusi na lugha isiyo na staha!
 
That's the fact
 

Perceptions and reality aren’t always the same!

Dictatorship comes in many forms. Even forcing others to support your preferred candidate or assuming that whoever holds political views that deviate from yours is egocentric is a form of dictatorship.

There’s no way I can embrace the Savimbis you’re trying to force every Tanzanian to support. I would rather support an autocrat who builds bridges, schools, hospitals, airports, roads, railroads, seaports, ships, hydroelectric power plants, etc. that I know he cannot take away with him when he leaves the state house!
 
Ila mitandao ya kijamii wametuzimia mpaka leo. Ukijiuliza wanaficha nini? Utapata jibu....

Msiwafanye watu ni watoto wadogo...hakuna haja ya kuwa na uchaguzi Tanzania ni kupotezea muda.

Hivi unafahamu kwamba upo uwezekano wa chama fulani kufanya mpango wa kuvuruga uchaguzi kwa kutengeneza kura bandia ambazo mnufaika wake wa kusingiziwa ni chama kingine?

Hatupaswi kuwa na closed mind. Hapa kuna Savimbis ambao tangu kabla hata ya campaigns kuanza rasmi walionesha ishara zote za kutokukubali kushindwa uchaguzi!
 
Mkuu 'Pulchra Animal' kuna aina ya watu, wewe ukiwa mmoja wao hawana uwezo wa kuelewa ya nini kupoteza muda na watu kama nyinyi?

Mimi sio Animal, mkuu. Labda kama umeamua kunibatiza!

Kama uwezo wa kuelewa maana yake ni kuwaunga mkono vibaraka (Savimbis) mlionao na kuwa na political views zinazofanana na zenu makamanda, siwezi kujutia kutokuwa nao!

Pamoja na hayo, makamanda mlio wengi ni mzigo kwa chama chenu. Wengi wenu hamna mnachochangia zaidi ya matusi. Hivi akili zenu zinawatuma kwamba mnaweza kukuza support ya chama chenu kwa kufungulia floodgate ya matusi? That’s disservice to the party!
 
Hiyo difference ya 10milioni kulikua na vituo zaidi ya 85,000+ hivyo kila kituo namaanisha kituo sio vile sub vituo vimepiga zaidi ya kura 117 au zaidi je unazan vimeshindwa, kwa mfano kawe mtu mmoja kakutwa na kura bandia 500

Hiyo theory ya kura bandia zaidi ya 10 million sio plausible hata kidogo! Pia haiwezekeni kura halali ziwe less than 4 million (i.e., turnout rate ya 13% - 15%). Historically, hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na turnout rate ya kiasi hiki!
 
Ni ngonjera zilezile kutoka viwanda vilevile vya maneno ,matusi na malalamiko wakati CCM inahubiri sera mbadala na kutekeleza!
 
Hiyo theory ya kura bandia zaidi ya 10 million sio plausible hata kidogo! Pia haiwezekeni kura halali ziwe less than 4 million (i.e., turnout rate ya 13% - 15%). Historically, hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na turnout rate ya kiasi hiki!
Nilidhani unakanusha uwepo wa kura bandia, kumbe unakubali zikuwepo ila hazikufika 10mil. Na vip labda kura za TAL akapewa JPM? Je hakuna maeneo ambayo walibaki mawakala wa CCM peke yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…