Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan