Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiomba hio documentNililenga chemo lakin pia kwa mujiwa hiyo makala wanasema hata radio sio nzur katika mwili wa binadamu zote zina madhara
Marcy Hivi kweny kesi 100 za cancer, ikatokea chemo proved to be advantageous kwa case 95 na 5 zilizobakia chemo ikafeli, do we rule out kwamba chemo is bad?Nililenga chemo lakin pia kwa mujiwa hiyo makala wanasema hata radio sio nzur katika mwili wa binadamu zote zina madhara
Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Hapana lakin huo ni mfano tu kiuhalisia sio hivyo mrMarcy Hivi kweny kesi 100 za cancer, ikatokea chemo proved to be advantageous kwa case 95 na 5 zilizobakia chemo ikafeli, we do we rule out kwamba chemo is bad?
Nipe locationNjoo uchukue
Hizo ni side effects za chemo Marcy haziepukiki, lakini kwa research tumekuja kugundua kwamba chemo pamoja na side effects zake can be advantageous, chemo ni chemicals ambazo kazi yake mainly ni ku-target na ku-interfere na process za cell division in cancer cells ambazo zina proliferate uncontrollably, so aim ni ku-target cancer cells but somehow kuna baadhi ya cell ambazo sio cancerous zinakuwa affected, chemo is not 100% efficient, same as radiotherapy, but both are good na zinasaidia, nimeona wagonjwa wengi sana wakija hapa ocean road wakiwa na hali mbaya then baada ya matibabu wanatoka hali zao ziko vizur.Hapana lakin huo ni mfano tu kiuhalisia sio hivyo mr
ni kwann mgonjwa anapopatiwa hayo matibabu afya huzorota na matatizo ya viungo vya ndani na pengine kifo
Sawa wanatoka na hali nzur lakin baada ya muda huanza kusumbuliwa na magonjwa kama figo kufel ,shambulio la moyo ,mapafu nkHizo ni side effects za chemo Marcy haziepukiki, lakini kwa research tumekuja kugundua kwamba chemo pamoja na side effects zake can be advantageous, chemo ni chemicals ambazo kazi yake mainly ni ku-target na ku-interfere na process za cell division in cancer cells ambazo zina proliferate uncontrollably, so aim ni ku-target cancer cells but somehow kuna baadhi ya cell ambazo sio cancerous zinakuwa affected, chemo is not 100% efficient, same as radiotherapy, but both are good na zinasaidia, nimeona wagonjwa wengi sana wakija hapa ocean road wakiwa na hali mbaya then baada ya matibabu wanatoka hali zao ziko vizur.
Ukipata muda njoo ocean road hapa tupige story
Kuongeza elimuKwann unaihitaji sana hiyo makala
Marcy matibabu ya cancer yapo very complicated, nakuambia hivi kwasababu mimi mwenyew nipo kweny hio field, ningekwambia mengi but ku-type nachoka, but trust me kungekuwa na other ways of curing cancer zaidi ya hizi common kama chemo, surgery na radiotherapy, ungeona zinatumika but kwa hapa bongo bado sana.Sasa uzur wake hapo upo wapi
Story za chemoTupige stori za aina gani
Sawa nimekuelewa🤨Marcy matibabu ya cancer yapo very complicated, nakuambia hivi kwasababu mimi mwenyew nipo kweny hio field, ningekwambia mengi but ku-type nachoka, but trust me kungekuwa na other ways of curing cancer zaidi ya hizi common kama chemo, surgery na radiotherapy, ungeona zinatumika but kwa hapa bongo bado sana.
Story za chemo
Hio emoji vipi? Ume-mind😆Sawa
Sawa nimekuelewa🤨
Hiyo taarifa inaukweli flani,wagonjwa wawili ninaowafahamu walipoanza hayo matibabu,hawakuchukia roud.Waliaga dunia.Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Lakin wataalamu wenyew wanatuambia ni njia nzur huku watu wakizidi kupukutika sijui wana agenda ganiHiyo taarifa inaukweli flani,wagonjwa wawili ninaowafahamu walipoanza hayo matibabu,hawakuchukia roud.Waliaga dunia.
Wataalam wachimbe zaidi kuhusiana na chemotherapy.Unless otherwise wamebuni njia ya kuwawahisha akhera wanao sumbuliwa na saratani
Asante sana ndugu yangu. Hii kitu naifahamu sana ila sikufahamu.