Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, nina ushahidi.Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Shida zina gharama sanaKuna Tiba mpya za saratani kama vile immunotherapy, targeted therapy, na gene therapy ambazo naona zingetumika kwa wagonjwa kwa kuwa zina madhara madogo kuliko chemotherapy.
Ni kweli, nina ushahidi.
Nina shemeji zangu wawili waliougua saratani kwa wakati mmoja. Niwaite A na B.
Huyu A ilianza kama jipu kwenye ziwa. Akakamliwa. Hali ilipozidi kuwa mbaya, alikwenda hospitali yenye matibabu ya juu kidogo. Huko ndiko walikomwambia hii ni saratani, aende hospitali husika na saratani kwani iko level ambayo wao wasingemudu kutibu. Wakati huo wote alikuwa anajimudu na kufanya kazi zake barabara, afya kama yote.
Huko alianzishiwa matibabu ambayo pia yalihusisha chemotherapy. Aisee, alikuwa akioewa hiyo tiba anatepeta kama ndo anakufa. Kilichofuata alinyonyoka nywele zote mwilini. Ninamaanisha alikuwa hana hata unywele popote katika mwili wake. Alizidi kudhoofika hadi sasa ana hali mbaya kiasi kwamba hawezi tena kumudu chemo. Na hali hadi sasa ni mbaya, lolote linaweza kutokea wakati wowote.
Nije kwa B, alikwenda hospitali akiwa hoi kabisa. Alianzishiwa matibabu ya mwanzo ya saratani.
Haikuwezekana kupewa chemo kutoka na kutokuwa na nguvu. Ikashauriwa apewe tu matibabu mengine hadi aimarike kiafya ndipo apewe chemo.
Afya yake ilipoimarika, wakamwambia arudi akala vizuri hadi afikie uwezo wa kumudu chemo.
Cha ajabu ameimarika kiasi kwamba anamudu majukumu vizuri sana na tunamshauri aishi kwa matumaini aachane na chemo.
Imekuwa kinyume, A aliannza matibabu akiwa na nguvu, sasa kawa mahututi. Wakati B tuliemkatia tamaa kwa namna alivyochoka, sasa kawa imara.
Acha upotoshaji, huna unachujua kuhusu unachojaribu kueleza. Chemotherapy si tiba ya mionzi, ni tiba ya vidonge na sindano. Mionzi ni radiotherapyWakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Asante kwa kunirekebisha ila nililenga chemo sema uandishi tuAcha upotoshaji, huna unachujua kuhusu unachojaribu kueleza. Chemotherapy si tiba ya mionzi, ni tiba ya vidonge na sindano. Mionzi ni radiotherapy
Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Ukweli mtupu. Sema hawatakuelewa ambao hawajakumbwa na hilo. Mfano biopsy ni petrol Kwa mgonjwa wa cancer Bora hata akaachwa aendelee na maombi pamoja na dawa za maumivu ata savaivu kidogoWakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Shida hujui utakufa na nini. Ila cáncer ni moto wa mateso Hatari sanaKuna Dr aliwahi niambia hakuna mtu anapona kansa, kinachotokea ni kuchelewesha ugonjwa tu.
Mungu aniepushie na huu ugonjwa jamani nauogopa sana
Swali lako liko very trickey 😃😃Oncogenes are bad or signals are bad ?
B alikuwa anazingatia lishe ipi? Mmejaribu pia kumpatia soursop? Embu mpatieni kwa wingi kisha muone hali yake itakavyokuwa, inaweza kumsaidia sana.Ni kweli, nina ushahidi.
Nina shemeji zangu wawili waliougua saratani kwa wakati mmoja. Niwaite A na B.
Huyu A ilianza kama jipu kwenye ziwa. Akakamliwa. Hali ilipozidi kuwa mbaya, alikwenda hospitali yenye matibabu ya juu kidogo. Huko ndiko walikomwambia hii ni saratani, aende hospitali husika na saratani kwani iko level ambayo wao wasingemudu kutibu. Wakati huo wote alikuwa anajimudu na kufanya kazi zake barabara, afya kama yote.
Huko alianzishiwa matibabu ambayo pia yalihusisha chemotherapy. Aisee, alikuwa akioewa hiyo tiba anatepeta kama ndo anakufa. Kilichofuata alinyonyoka nywele zote mwilini. Ninamaanisha alikuwa hana hata unywele popote katika mwili wake. Alizidi kudhoofika hadi sasa ana hali mbaya kiasi kwamba hawezi tena kumudu chemo. Na hali hadi sasa ni mbaya, lolote linaweza kutokea wakati wowote.
Nije kwa B, alikwenda hospitali akiwa hoi kabisa. Alianzishiwa matibabu ya mwanzo ya saratani.
Haikuwezekana kupewa chemo kutoka na kutokuwa na nguvu. Ikashauriwa apewe tu matibabu mengine hadi aimarike kiafya ndipo apewe chemo.
Afya yake ilipoimarika, wakamwambia arudi akala vizuri hadi afikie uwezo wa kumudu chemo.
Cha ajabu ameimarika kiasi kwamba anamudu majukumu vizuri sana na tunamshauri aishi kwa matumaini aachane na chemo.
Imekuwa kinyume, A aliannza matibabu akiwa na nguvu, sasa kawa mahututi. Wakati B tuliemkatia tamaa kwa namna alivyochoka, sasa kawa imara.
Soursoup ni nini?B alikuwa anazingatia lishe ipi? Mmejaribu pia kumpatia soursoup? Embu mpatieni kwa wingi kisha muone hali yake itakavyokuwa, inaweza kumsaidia sana.
Weka ushuhuda wa maandishi mkuu, ulikuwa na kansa ya nini na ilikuwa stage gan? Ukapelekwa hospital ipi? Ulitibiwa mizunguko mingapi ya Chemo?Chemotherapy imeniponya.
Nililenga chemo lakin pia kwa mujiwa hiyo makala wanasema hata radio sio nzur katika mwili wa binadamu zote zina madharaMarcy Umeanza kuzungumzia chemotherapy then ukamalizia na radiotherapy, which is which? Unachanganya mambo.
Nakuomba hilo jarida ulilosoma uliweke hapa jukwaani