chemotherapy pia imeokoa maisha ya watu wengi wenye saratani. Kuna njia mbalimbali za matibabu ya saratani, kulingana na aina ya saratani na hatua yake madaktari wengi naona wanatumia Radiotherapy na immunotherapy
Kuna Tiba mpya za saratani kama vile immunotherapy, targeted therapy, na gene therapy ambazo naona zingetumika kwa wagonjwa kwa kuwa zina madhara madogo kuliko chemotherapy.Sawa lakini hawachukui muda huanza kuugua magonjwa ya moyo ini figo nk
Maana yake kina madhara pia
hata ukienda india,kwa mwamposa n.k
ukishaugua kansa tu anza kutubu dhambi tayari kwa safari
Mkuu kabla sijachangia chochote naomba kqanza useme kama andiko lako linahusu tiba ya mionzi (radiotherapy) au matibabu ya ndani ya mwili (chemotherapy). Naona kama tayari umenichanganya.Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza kupata matatizo ya viungo vya ndani na hili madaktari hawawez kamwe kutueleza
Na hii nilisha shuhudia kwa watu wawili wa karibu wenye saratan baada ya kupiga mionzi haikupita muda walifariki
Je kuna ukweli wowote
Kama ni kweli upi mbadala wa matibabu ya saratan
Mmh,huo ugonjwa Mungu apishilie mbaliSema neno huenda unajua jambo
Nikupe mfano wa dada .moja ambaye aliishi na saratan ya kwenye ziwa ndani ya miaka miwili lakini baada ya kufanya chemo ndani mwezi alianza kukohoa sana na baadae alifariki baada ya mapafu kushindwa kufanya kaziMtu akienda hospitali na saratani stage kubwa, akafanya chemotjerapy, akafariki, utajua vipi tatizo ni chemotgerapy au ni mtu kuchelewa kwenda hospitali?
Watu wetu wangapi wnafanya checkuos za kila mara na kuwahi kwenda hospitali mapema wakigundulika na saratani ya stages za awali?
Wewe huoni kuishi na saratani ya ziwa zaidi ya muaka miwili tu ni tatizo?Nikupe mfano wa dada .moja ambaye aliishi na saratan ya kwenye ziwa ndani ya miaka miwili lakini baada ya kufanya chemo ndani mwezi alianza kukohoa sana na baadae alifariki baada ya mapafu kushindwa kufanya kazi
Wakati mwanzo hakuwa na shida yoyote katika mapafu
Binafsi nashindwa kuelewa ndio maana nimekuja kuuliza
Cancer ni Disorder..Hivi Cancer Ni ugonjwa au dalili ?
DR Mambo Jambo
Hilo jibu lake ni hatari
Oncogenes are bad or signals are bad ?Cancer ni Disorder..
Ila Inaweza Kuwa Ugonjwa na Kuwa Dalili Pia Inategemea na Muktadha