Matibabu ya chemotherapy hupelekea vifo zaid kwa wenye saratani

Nililenga chemo lakin pia kwa mujiwa hiyo makala wanasema hata radio sio nzur katika mwili wa binadamu zote zina madhara
Marcy Hivi kweny kesi 100 za cancer, ikatokea chemo proved to be advantageous kwa case 95 na 5 zilizobakia chemo ikafeli, do we rule out kwamba chemo is bad?
 

Unachanganya madesa

Chemotherapy sio mionzi
 
Marcy Hivi kweny kesi 100 za cancer, ikatokea chemo proved to be advantageous kwa case 95 na 5 zilizobakia chemo ikafeli, we do we rule out kwamba chemo is bad?
Hapana lakin huo ni mfano tu kiuhalisia sio hivyo mr
ni kwann mgonjwa anapopatiwa hayo matibabu afya huzorota na matatizo ya viungo vya ndani na pengine kifo
 
Hapana lakin huo ni mfano tu kiuhalisia sio hivyo mr
ni kwann mgonjwa anapopatiwa hayo matibabu afya huzorota na matatizo ya viungo vya ndani na pengine kifo
Hizo ni side effects za chemo Marcy haziepukiki, lakini kwa research tumekuja kugundua kwamba chemo pamoja na side effects zake can be advantageous, chemo ni chemicals ambazo kazi yake mainly ni ku-target na ku-interfere na process za cell division in cancer cells ambazo zina proliferate uncontrollably, so aim ni ku-target cancer cells but somehow kuna baadhi ya cell ambazo sio cancerous zinakuwa affected, chemo is not 100% efficient, same as radiotherapy, but both are good na zinasaidia, nimeona wagonjwa wengi sana wakija hapa ocean road wakiwa na hali mbaya then baada ya matibabu wanatoka hali zao ziko vizur.

Ukipata muda njoo ocean road hapa tupige story
 
Sawa wanatoka na hali nzur lakin baada ya muda huanza kusumbuliwa na magonjwa kama figo kufel ,shambulio la moyo ,mapafu nk
Sasa uzur wake hapo upo wapi

Tupige stori za aina gani
 
Sasa uzur wake hapo upo wapi
Marcy matibabu ya cancer yapo very complicated, nakuambia hivi kwasababu mimi mwenyew nipo kweny hio field, ningekwambia mengi but ku-type nachoka, but trust me kungekuwa na other ways of curing cancer zaidi ya hizi common kama chemo, surgery na radiotherapy, ungeona zinatumika but kwa hapa bongo bado sana.


Tupige stori za aina gani
Story za chemo
 
Sawa Sawa nimekuelewa🤨
 
Hiyo taarifa inaukweli flani,wagonjwa wawili ninaowafahamu walipoanza hayo matibabu,hawakuchukia roud.Waliaga dunia.
Wataalam wachimbe zaidi kuhusiana na chemotherapy.Unless otherwise wamebuni njia ya kuwawahisha akhera wanao sumbuliwa na saratani
 
Hiyo taarifa inaukweli flani,wagonjwa wawili ninaowafahamu walipoanza hayo matibabu,hawakuchukia roud.Waliaga dunia.
Wataalam wachimbe zaidi kuhusiana na chemotherapy.Unless otherwise wamebuni njia ya kuwawahisha akhera wanao sumbuliwa na saratani
Lakin wataalamu wenyew wanatuambia ni njia nzur huku watu wakizidi kupukutika sijui wana agenda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…